Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Asije tu kuwa uchochoro kama Alonso. Alonso amekuwa akiipa timu mzigo tangu enzi za Lampard. Anacheza vizuri mechi chache halafu ghafla anaenda likizo, uwanjani anakosa concetration. Saul yeye ni weak labda kocha angemchezesha kwenye winger kama ni mzuri kwenye kushambulia, bora angewajaribu Azpilicueta kwenye hiyo nafasi
 
Oyaa The Blues niajee
Kwema kabisa.

Leo kama Lukaku atakuwa fit nadhani ni busara kama ataanza, manake westham ni wazuri sana kwenye tafu game. Wanagonga zile beki zao balaa.

Kwa Kai pamoja na ubunifu wake naona kama anaweza shindwa hivi
 
Kumtegemea mchezaji mmoja akufungue magoli ni wastage of time. Striker anawekwa mfukoni magoli hayapatikani.

Kai, Odoi, Ziyech, Pulisic wacheze pale mbele wapishane pishane kushoto na kulia kuwachanganya mabeki.
Sawa sisi tunasubiri tuone mtakavyo wachanganya mabeki wa Westham [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kumtegemea mchezaji mmoja akufungue magoli ni wastage of time.

Striker anawekwa mfukoni magoli hayapatikani.

Kai, Odoi, Ziyech, Pulisic, Mount wacheze pale mbele wapishane pishane kushoto na kulia kuwachanganya mabeki wa timu pinzani.
Ssa mkuuu tulimsajiri wa nini ssa kma hatumuamini tumuuze ssa tubaki na hao wa kupisha pishana kulia kushoto kuwachanganya timu pinzani kma usemavyo
 
Kumtegemea mchezaji mmoja akufungue magoli ni wastage of time.

Striker anawekwa mfukoni magoli hayapatikani.

Kai, Odoi, Ziyech, Pulisic, Mount wacheze pale mbele wapishane pishane kushoto na kulia kuwachanganya mabeki wa timu pinzani.
Lukaku ni wa muhimu kuongezewa muda wa sub hata kama hataanza
 
Azplicueta pumzi ishakata, akicheza rwb tu inakuwa shughuli

Ni bora kumchezesha CHO lwb kuliko alonso/azp if tunataka mtu anayeweza kutupa alichokuwa anatupa chilwel
 
Kumtegemea mchezaji mmoja akufungue magoli ni wastage of time.

Striker anawekwa mfukoni magoli hayapatikani.

Kai, Odoi, Ziyech, Pulisic, Mount wacheze pale mbele wapishane pishane kushoto na kulia kuwachanganya mabeki wa timu pinzani.
We unazani kila utake mchanganya atachanganyikiwa? Ngoja mkajichanganye wenyewe.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…