Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,747
Tumeshachukua epl mara mbili mfululizo,nyie mnaweza au mshafanya hivo ... ....Sasa nyie mnauzoefu gani Kwanza tutapiga marufuku mtu ambaye Hana uefa kuja huku Kwa sababu bado ni watoto wadogo.
vp haliHao rent boys wengi wao hawajui mpira yaani wakikaa juu pale kwenye ligi Tayari wanakimbilia jukwaa la Liverpool kwenda kulingishia kwamba wanachukua ubingwa.
Epl sio ligi ya kitoto hiyo unakuja na matokeo yako utaumbuka.
Bado sijui watakuwa na maneno yao yale tunachukua ubingwa au sijui watakuwa wamebadilisha?[emoji3]
Sasa utaanza kuelewa mkuu watu tukisema hatukosei.Nyumbu na Ronaldo on fore na Kavani na Magwaya na Fernandos wote onfire mnawaweka 5/6
Manure ni title contender bana
Kashinda Manyuu?Manure anashinda jmos wewe we wataka shosha atimuliwe
Teh teh teh teh uje upite uone comment yako bwahahahaha!Umebakiza akili ya kunyea tu, nakushauri wahi milembe.
Naona siku hizi, unatembea kifua mbele kama umepigwa gumi la mgongo, sio!
Ila mpaka January utarudi kua mwembamba kama unakula Omo vile.
Cha ajabu jamaa na yy alienda na matokeo yake kabla ya game[emoji23][emoji23][emoji23]vp hali
Nakusalimu kwa jina la West ham kutoka jiji la LondonHao rent boys wengi wao hawajui mpira yaani wakikaa juu pale kwenye ligi Tayari wanakimbilia jukwaa la Liverpool kwenda kulingishia kwamba wanachukua ubingwa.
Epl sio ligi ya kitoto hiyo unakuja na matokeo yako utaumbuka.
Bado sijui watakuwa na maneno yao yale tunachukua ubingwa au sijui watakuwa wamebadilisha?[emoji3]
pt 1 ni muhimu inaweza ikatupa ubingwa, City alichukua ubingwa kwa point 1 2017/18 City 98, liverpool 97Kwahiyo ni bora tungefungwa kuliko kupata hiyo point 1?
Uwezo wa kuongeza gap utoke wapi sasa?
Wakati uwezo wetu wa leo umeishia kupata point 1.
Tuacheni kupiga ramli ya kushinda mechi za mbele wakati mechi ya sasa huna uhakika wa kushinda.
Na ikumbukwe washambuliaji wetu muhimu (Mount, Werner, Lukaku) + Kovacic wapo nje majeruhi huo uwezo wa kushinda asilimia 100 unatoka wapi?
Sifa ya kwanza ya bingwa ni consistency na kutokubali kupoteza points, akifunga moja anashinda 10+, akidroo moja anashinda 10+Sasa utaanza kuelewa mkuu watu tukisema hatukosei.
One Sasa na Liverpool anavyogagarazwa na West Ham Utd....
Yaani Chelsea ndio Bingwa watake wasitake....
Yaani Chelsea ni Bingwa Msimu huu wengine waache wavurugane wenyewe hapo chini
Una mahaba na Conte, amekabidhiwa timu mbovu, hapo kwenye 4 weka WesthamWakuu hbr zenu?
Nimekuwa adimu kidogo ktk kuleta uchambuzi hapa napenda tu kuwakumbusha maneno kadhaa ambayo aliyasema Thomas Tuchel wakati anaichukua Chelsea ile January ktk game za mwanzo alisema hivi.... Anataka kutengeneza timu ambayo hakuna timu itapenda kucheza nao!
Siku ingine akaenda mbele zaidi akasema kwa namna wanavyo cheza sio tu kwamba ni mfumo Fulani au sijui nini! Ni kwamba wanavyouishi huo mfumo na kuufanya wauzoee. Waelewe namna wanavyokaba, namna wanavyo shambulia! Namna wanavyo elewana na kuufanya huo mfumo uwe sehemu ya maisha yao!
Sasa hii ndio Chelsea aliyo itengeneza TT wala ha ihitaji kuja kufanya uchambuzi hapa! Yaani tunaacha vitu vijieleze vyenyewe....
Nawakumbusha tu msimu Man Utd haitakuwepo ktk top four.....
Nawapa msimamo wa ligi mpk Mwezi wa tano utakavyokuwa!
(1) Chelsea
(2) Liverpool
(3)Man City
(4) Spurs
Sasa ktk no tano na no 6 hapo Utd na Arsenal watakuwa wanapishana!
Goli la Zouma zuri sana na ndilo mlililoweka Heshima London StadiumZouma anawakilisha Chelsea vizuri kabisa.
Maana leo Liverpool kakinywea kikombe.
Swala sio mahaba na Conte.Una mahaba na Conte, amekabidhiwa timu mbovu, hapo kwenye 4 weka Westham
Chelsea kaonyesha hilo vzr kabisa.Sifa ya kwanza ya bingwa ni consistency na kutokubali kupoteza points, akifunga moja anashinda 10+, akidroo moja anashinda 10+
Tumeshachukua epl mara mbili mfululizo,nyie mnaweza au mshafanya hivo ... ....
Tuna league cup 7 nyie vinabo mnazo ngapi...
Were the champion ...
Zouma anawakilisha Chelsea vizuri kabisa.
Maana leo Liverpool kakinywea kikombe.