Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,525
- 14,874
Na Ancelotti kasema hawezi kumtumia, jamaa January atafute timu tuTangu Hazard ahamie Real Madrid takwimu zake hizi hapa
mechi 38 za ligi kafunga goli 4 tu na assists 6 tu kwa misimu miwili jumlisha huu hadi sasa
UEFA mechi 12 goli 1 na assist 1
Zile addons zetu jamani zitakuwa zimeenda na upepo
View attachment 1991777
We takataka hujui hata kuwa leo unacheza na nani.Leo tunakipiga na Nani wakuu
Saa 11 jioniMech yetu saa ngapi wakulungwa?
Me nazani akirudi chelseafc kiwango chake kitarudi maana pale ni kama mfalme na kipenzi Cha mashabikiNa Ancelotti kasema hawezi kumtumia, jamaa January atafute timu tu
Na Newcastle saa 11 jioni tupo awayLeo tunakipiga na Nani wakuu
Ni saa 11jioni sio saa 10 jioniSaa kumi jioni
Saa 11 jioni East Africa TimeMech yetu saa ngapi wakulungwa?
Akirudi TT atainua kiwango chake uhakika huo upo ila Chelsea ilipe tu paundi mil 20Me nazani akirudi chelseafc kiwango chake kitarudi maana pale ni kama mfalme na kipenzi Cha mashabiki
Ancelotti hajasema direct kwamba hamtaki ila kasema kwa sasa wako wachezaji wengi wanamzidi kwenye team selection kwa sababu ya injuries za mara kwa mara. Ila kasema ana uhakika mwaka huu atarudi kwenye kiwango chake na akifanya hivyo atapata muda zaidi wa kucheza kuliko alivyo kwa sasa.Na Ancelotti kasema hawezi kumtumia, jamaa January atafute timu tu
Hivi jamaa hupo dunia gani maana hujui hata team unayoishabikia inacheza na nani kila siku nakuona unauliza either matokeo au mechi na naniLeo tunakipiga na Nani wakuu
Yuko bussy kwenye majukwaa ya Liverpool Arsenal na Manure. Kule kote jamaa ni maarufu kweli kweliHivi jamaa hupo dunia gani maana hujui hata team unayoishabikia inacheza na nani kila siku nakuona unauliza either matokeo au mechi na nani
[emoji3][emoji3]sasa inakuaje hajui timu yake inacheza na nani maana mwanzo nilidhani labda jamaa yupo sehemu ambazo mtandao ni shida labda kijijini huko analimaYuko bussy kwenye majukwaa ya Liverpool Arsenal na Manure. Kule kote jamaa ni maarufu kweli kweli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yuko bussy kwenye majukwaa ya Liverpool Arsenal na Manure. Kule kote jamaa ni maarufu kweli kweli
UchafuKovacic alianza kuleta ile nyota ya Fabregas halafu kapata injury
Hapo sasa inabidi hata akina Chilwell na Chalobah wacheze kiungo maana wanaweza, Game iliyopita nadhani Chilwell aliingia akacheza kiungo badala ya Barkley. Hata Chalobah naye ni mzuri kwenye kiungo, attaching na DM
- Jorgninho ---------------------------- N"golo Kante
- Jorgninho ---------------------------- Ross Barkley
- Jorgninho ---------------------------- Ruben Loftas Cheek
- Jorgninho ---------------------------- Saul Niguez
- N"golo Kante ---------------------------- Jorgninho
- N"golo Kante ---------------------------- Ross Barkley
- N"golo Kante ---------------------------- Ruben Loftas Cheek
- N"golo Kante ---------------------------- Saul Niguez
- Ross Barkley ---------------------------- Jorgninho
- Ross Barkley ---------------------------- N"golo Kante
- Ross Barkley ---------------------------- Ruben Loftas Cheek
- Ross Barkley ---------------------------- Saul Niguez
- Ruben Loftas Cheek ---------------------------- Jorgninho
- Ruben Loftas Cheek ---------------------------- N"golo Kante
- Ruben Loftas Cheek ---------------------------- Ross Barkley
- Ruben Loftas Cheek ---------------------------- Saul Niguez
- Saul Niguez ---------------------------- Jorgninho
- Saul Niguez ---------------------------- N"golo Kante
- Saul Niguez ---------------------------- Ross Barkley
- Saul Niguez ---------------------------- Ruben Loftas Cheek
Game ngumu Sana vip Arsenal na liverpool wamepangiwa na Nani?ROBO FINAL View attachment 1992030
Game ngumu Sana vip Arsenal na liverpool wamepangiwa na Nani?