Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yaani baada ya Pogba kupewa red sikuwa na hamu tena ya kuangalia hiyo game
Kwa sasa Norwich City ni timu bora kuliko Manure
 
Yaani baada ya Pogba kupewa red sikuwa na hamu tena ya kuangalia hiyo game
Kwa sasa Norwich City ni timu bora kuliko Manure
Halafu kuna mtu anatamani eti yule mvuta bange Pogba aje chelsea??! Anakuja kuchukua namba y nani pale chelsea?
 
pulisic akiwa full fit sidhan kama kuna winga ya kumueka bench shida yake kubwa n injury prone ila bado sjamkatia tamaa naamini atarud kukiwasha msimu uu

Sent using motorola 78
Kitakachomsumbua Odoi ni consistency, ila akimaintain hiyo consistency, Pulisic hana chake of course injury ikiwa kwenye equation. Kumbuka pia yuko Werner na Kai ambaye ameshaonyuesha dalili za mvua kubwa ya magoili yaja juu yake. Mount ndio huyo kashatoa matangazo. Wote hao ni mawinga
Ukifuatilia maelezo ya TT na mfumo mpya wa ushambuliaji ulianzia kwa Malmo na baadaye tukaona kwa Norwich city, tutegemee wachezaji wote wawe rejuvenated

Thomas Tuchel on Kai Havertz and Timo Werner:

“We have now set the bar pretty high for our own expectations. The incentive to play against us and to beat us has increased. We have to keep improving in order to deliver at least the same."
 
Hadi sasa Kovacic ana assists 5 haijawahi kutokea kwa mechi 9 kiungo wa Chelsea ana assists 5 tena ya ligi ya ndani tu
Only Fabregas alikuwea na huo uwezo

0_GettyImages-1236068518.jpg
 
Ralph Hasenhuttl on Armando Broja and Tino Livramento:

🗣️"We should not be surprised [by their talent]. They were in the youth team of a Champions League winner."

Even Hasenhuttl knows that La Cobham is the best in the world 💪
 
Kevin Friend will referee Chelsea vs Southampton in the Carabao Cup

Kevin Friend Last 5 Chelsea Games:
Chelsea 2-0 Fulham
Leeds 0-0 Chelsea
Sheffield Utd 1-2 Chelsea
Chelsea 3-1 Leeds
Chelsea 3-0 Watford
 
Chelsea conceded 0 goals and United conceded 11 goals since Paul Scholes said Chelsea have the weakest defense in the league.

That brudda needs to come outside 🤣🤣
 
Chelsea conceded 0 goals and United conceded 11 goals since Paul Scholes said Chelsea have the weakest defense in the league.

That brudda needs to come outside
Hiv huyu jamaa anakili kweli au ndio mapenzi ya man u mbovu yanamsukumu pusi mweupe yule hao ndio wanayoihalibu man u wanakelele kma wanajua kifundisha
 
Azpilicueta- 7 Months
Rudiger- 7 Months
Christensen- 7 Months
Thiago Silva- 7 Months
Chalobah- 1 Year, 7 Months

Class long term planning If it gets done. Great but why are 2 longer term defenders sitting on less than a year when we’re currently building towards a title winning team off the back of winning the CL?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom