I don't buy ubebwaji and always make fun aout it, but leo...kali!
We will dust off and move on. But RDM has to be smart when he picks his team and especially on a critical and emotional game like today where the odds are naturally against you.
He should have started Moses or Sturrridge and not Torres!
Mzabina Wacha,
Leta picha basi kama kawaida yako
Sio sahihi, Man katika kudefence walitumia 5-5-1 na wakati wa kushambulia walitumia 4-3-4 maana ndani ya uwanja walikuwa 11 na kipa wa 12tatizo chelsea cheza yao ni nzuri kama wanacheza na kina wigan, west brom watawachezea bt ukikutana na team ambazo ziko organised wanawamaliza....ndo mana mlifungwa CL na leo pia...nyie mnacheza 4-2-3-1 tatizo ni kua hazard, eden na mata hawajui kudefend coz inatakiwa wakati mkipoteza mpira mrudi kwenye 4-5-1 muwasaidie mikel na ramires 2 holding midfielders..sasa leo tactic ya babu ilikua ni kujaza midfield so akaenda na 4-5-1 rooney valencia na young kazi yao ilikua ni kudefend na ku counter attack so wakienda mbele inabadilika inakua 4-3-3 and the plan worked very well..chezea babu fergie... na sasa hivi timu zinaangalia zinajifunza jinsi ya kuwafunga chelsea ni rahisi sana kwa sababu wale attacking midfield wao watatu hawajui kudefend so wakipoteza mpira mna counter attack unakuta midfield hakuna mtu mnaaenda mbele bao...
MENTOR MENTOR WHERE ART THOU!!! :biggrin1::happy:
lakini mwisho wa siku .....Mark Clattenburg was man of the match...tatizo chelsea cheza yao ni nzuri kama wanacheza na kina wigan, west brom watawachezea bt ukikutana na team ambazo ziko organised wanawamaliza....ndo mana mlifungwa CL na leo pia...nyie mnacheza 4-2-3-1 tatizo ni kua hazard, eden na mata hawajui kudefend coz inatakiwa wakati mkipoteza mpira mrudi kwenye 4-5-1 muwasaidie mikel na ramires 2 holding midfielders..sasa leo tactic ya babu ilikua ni kujaza midfield so akaenda na 4-5-1 rooney valencia na young kazi yao ilikua ni kudefend na ku counter attack so wakienda mbele inabadilika inakua 4-3-3 and the plan worked very well..chezea babu fergie... na sasa hivi timu zinaangalia zinajifunza jinsi ya kuwafunga chelsea ni rahisi sana kwa sababu wale attacking midfield wao watatu hawajui kudefend so wakipoteza mpira mna counter attack unakuta midfield hakuna mtu mnaaenda mbele bao...
MENTOR MENTOR WHERE ART THOU!!! :biggrin1::happy:
lakini mwisho wa siku .....Mark Clattenburg was man of the match...
nan kamwacha mwenziehivi nyie mnalalamika refa kwa sababu mmefungwa....mnajua ivanovich kapewa kadi nyekundu kihalali sawa? wote tunakubaliana na hilo kamkwapua young and he was the last defender hiyo ni straight red card...kafanya makosa mawili kumpa kadi torres sema torres tayari alikua ashapewa kadi mara ya kwanza ndio mana katolewa...alimpa pia kadi valencia kwa ku dive wakati ukiangalia replays hakudive so valencia angekua ashapewa kadi nyingine kabla ile ingekua ya pili angempa nyekundu na valencia pia...huyu refa kwa taarifa yenu ashampaga kadi nyekundu vidic, evans hata fergie hampendagi sasa mnavosema anatupendelea hata sielewi hayo ni maneno ya mfungwaji mngeshinda msingesema kitu....yameshapita lalamikeni lakini mkimaliza table inasema gap ni one point....mmekwisha habari nyie nguvu za soda hakuna kitu jana mmekutana na wanaume :biggrin1:
hivi nyie mnalalamika refa kwa sababu mmefungwa....mnajua ivanovich kapewa kadi nyekundu kihalali sawa? wote tunakubaliana na hilo kamkwapua young and he was the last defender hiyo ni straight red card...kafanya makosa mawili kumpa kadi torres sema torres tayari alikua ashapewa kadi mara ya kwanza ndio mana katolewa...alimpa pia kadi valencia kwa ku dive wakati ukiangalia replays hakudive so valencia angekua ashapewa kadi nyingine kabla ile ingekua ya pili angempa nyekundu na valencia pia...huyu refa kwa taarifa yenu ashampaga kadi nyekundu vidic, evans hata fergie hampendagi sasa mnavosema anatupendelea hata sielewi hayo ni maneno ya mfungwaji mngeshinda msingesema kitu....yameshapita lalamikeni lakini mkimaliza table inasema gap ni one point....mmekwisha habari nyie nguvu za soda hakuna kitu jana mmekutana na wanaume :biggrin1:
kusema kweli mpira unaharibika ikiwa refa anafanya mistake zinazoharibu mchezo Tores sio kadi na Rooney watu hawakuiona kwani alipiga mguu mtupu bila ya mpira na wala hakuwa na nia ya mpira
Chelsea walikuwa mbele ya Manu na kulikuwa na kila hali ya kushinda hapa tuzungumze mpira na sio ushabiki mimi sio Manu wala Chelsea