| Season 13/14 | ||||||
| Andre Schurrle | £18,000,000 | Adam Phillip | Released | |||
| Marco van Ginkel | £8,000,000 | Amine Aflane | Released | |||
| Mark Schwarzer | Free | Archange Nkumu | Released | |||
| Cristian Cuevas | £1,700,000 | Aziz Deen-Conteh | Released | |||
| Samuel Eto'o | Free | Ben Gordon | Released | |||
| Willian | £30,000,000 | Benayoun | Released | |||
| Christian Atsu | £3,500,000 | Conor Clifford | Released | |||
| Isaiah Brown | £209,000 | Florent Malouda | Released | |||
| Stipe Perica | Undisclosed | Hilario | Released | |||
| Bertrand Traore | Free | James Ashton | Released | |||
| Nemanja Matic | £21,000,000 | Nortei | Released | |||
| Mohamed Salah | £11,000,000 | Paulo Ferreira | Released | |||
| Kurt Zouma | £12,500,000 | Rohan Ince | Released | |||
| Ross Turnbull. | Released | |||||
| Samuel Bangura | Released | |||||
| Tom Howard | Released | Prem | ||||
| Yossi | Released | |||||
| Jeffrey Bruma | £2,500,000 | PTS | POS | |||
| Kevin De Bruyne | £17,000,000 | |||||
| Juan Mata | £37,100,000 | |||||
| Sam Walker | Undisclosed | |||||
| Michael Essien | Free | |||||
| Total | £105,909,000 | £56,600,000 | £49,309,000 | 82 | 3 |
We fala si ndio ulikua unamtetea huyo mume wako hapa. Hujui chochote boya ww.Jamani tujikumbushe matarajio ya mashabiki kwa Rose Barkley
Sasa amegeuka kuwa "CHELSEA FORGOTTEN MAN"
- The next Lampard
- The next Ballack
- The next .............................. Je wewe ulimuitaje?
Kwani lazima uongee lugha zisizo na staha unaweza kumkosoa kwa lugha nzuri na akakuelewWe fala si ndio ulikua unamtetea huyo mume wako hapa. Hujui chochote boya ww.
Hilo ndio linafiki likubwa kwenye hili jukwaa lenuWe fala si ndio ulikua unamtetea huyo mume wako hapa. Hujui chochote boya ww.
Tuikivipata hivi tutashukuru sana chief lembuChief lembu tunaweza kupata data za:-
[emoji117] Mapato yote ya club kwa mwaka
- Mauzo ya jezi
- Mauzo ya wachezaji
- Ticket uwanjani
- Pesa kutoka kwa wadhamini
- Haki za matangazo
- Zawadi za makombe
[emoji117] Matumizi ya Club kwa mwaka
- Mishahara/Bonus/ Allowance
- Usajili wa wachezaji
- Uwekezaji wa Miundombinu
- Nauli za ndege
- Bills
- Etc
[emoji117] Faida ya kila Mwaka
Kama Tuchel alivosema anataka kuifanya Chelsea kuwa team ya kuogopeshaOle Gunnar Solskjaer privately views Chelsea as Manchester United’s biggest title rival ahead of Manchester City and Liverpool
Solskjaer privately fears Thomas Tuchel’s European champions Chelsea more than Man City and Liverpool, according to The Sun
We nawe tuliza mshono, hujui nina nini na huyu msengerema, we yadandie tu yasiyokuhusu.Kwani lazima uongee lugha zisizo na staha unaweza kumkosoa kwa lugha nzuri na akakuelew
Hiii timu inayoenda kupigwa na astonvilla ndio inaogopwa ,acha ufala wewe ....Kama Tuchel alivosema anataka kuifanya Chelsea kuwa team ya kuogopesha
Na kichwani ni mweupe kabisa kuhusu mpira. anachojua ni kucopy mahabari ya mitandao mingine na kutupestia hapa.Hilo ndio linafiki likubwa kwenye hili jukwaa lenu
Huyo Mallan Sarr si alisajiliwaga na F.L toka Barcelona kuja hapo the Blues?Hatimaye wachezaji watatu waliokuwa waende kwenye mkopo wakakosa timu wamepewa namba ya jezi
Ross Barkley A.K.A Muoka mikate 18
Malang Sarr 31
Lewis Baker 32
Kuna na huyu Harvey Vale no. 68 nimemuona naye yuko kwenye orodha iliyopelekwa UEFA
Chelsea | UEFA Champions League 2026/27
Visit UEFA.com to find out how Chelsea are doing in the UEFA Champions League 2026/2027, including latest match news, stats, squad list and news updates.www.uefa.com
Kama sijakosea Sarr alitokea Ufaransa na sio Barcelona kwa kuona kwamba TT hakumuhitaji kubaki kwenye team ila atolewe kwa mkopo na pre season alikua nae lakini amependelea kubaki na Trevor badala yake inaonekana TT hajafurahishwa naeHuyo Mallan Sarr si alisajiliwaga na F.L toka Barcelona kuja hapo the Blues?
Hajafiti kwenye mfumo wa Kocha TT au shida ni nini haswa?
Asante kwa kunisahihisha, ila pia Chifu Lembu itabidi tumsaidie kuwa dogo bado ana 22, japo nadhani yeye kamuyakinsha kuwa ana over 22 years old.Kama sijakosea Sarr alitokea Ufaransa na sio Barcelona kwa kuona kwamba TT hakumuhitaji kubaki kwenye team ila atolewe kwa mkopo na pre season alikua nae lakini amependelea kubaki na Trevor badala yake inaonekana TT hajafurahishwa nae
Hizo ni namba za jezi sio miaka.Asante kwa kunisahihisha, ila pia Chifu Lembu itabidi tumsaidie kuwa dogo bado ana 22, japo nadhani yeye kamuyakinsha kuwa ana over 22 years old.
Alitokea Barcelona baada ya kukataa kusaini mkataba mwingineKama sijakosea Sarr alitokea Ufaransa na sio Barcelona kwa kuona kwamba TT hakumuhitaji kubaki kwenye team ila atolewe kwa mkopo na pre season alikua nae lakini amependelea kubaki na Trevor badala yake inaonekana TT hajafurahishwa nae
Sio kweli alitokea Nice ya UfaransaAlitokea Barcelona baada ya kukataa kusaini mkataba mwingine
Yap waweza cheki hiyo biography yake ya sokaAlianzia Academy ya Nice had senior Nice ndo akaja Chelsea au sivyo chief?