Kante anamfaa mchezaji mwenye uwezo wa kukaba kwa sababu anafuata mpira hata ukienda mbele, saul anaweza kuwa best matchWadau anayemfahamu vizuri SAUL (style yake ya kiuchezaji, strengths & weakness) zake, atueleze combination ipi itakuwa kali pale katikati:-
Kante & Saul
Kovacic & Saul
Joginho & Saul
Nimeangalia interview yake amesema kwa namna Anavyocheza anaweza akasema yeye ni box to box midfielder ila pia anaweza kusaidia kukaba kama akihitajika kufanya hvyo na kwa game Kadhaa nilizowahi kumuangalia akiwa Madrid yanathibitisha hayo aliyosema kwa maana hiyo nahisi Jojo atakuwa perfect pair kwa Saul Kwan J5 ni sit back midfielder then Saul anatembea na kuachia atomic bombs that's my view ila kuna game zitahitaji Uwepo wa Kanté na akiwepo kante kati na Saul trust me wapinzani muda wote watakua wanakabiwa juu hivyo kulazimishwa wafanye makosa Kwan wote tunamjua kante how good hee is katika kukaba na kufanya forward runningWadau anayemfahamu vizuri SAUL (style yake ya kiuchezaji, strengths & weakness) zake, atueleze combination ipi itakuwa kali pale katikati:-
Kante & Saul
Kovacic & Saul
Joginho & Saul
Yote yanaweza kua majibu chief depth na aina tofaut ya uchezaji kwani saul ana vertical pass flan hiv from midfield to striking force direct kama Malinovyski wa Atalanta yule yaan mbunifu katika kutengeneza nafasi tunaweza tukawa tumepata kiungo mtengeneza magoli hususan kwenye zile counter attack zetuTT atakuwa amechukua SAUL kuongeza mildfliders kwa wingi wa mechi na injuries?
Au amemchukua kwa kuwa ana uwezo wa tofauti kulingana na baadhi wa mildfliders wetu hivyo Saul hatakosa 1st eleven?
Matic slow sana Saul fast yaan katika final third ya wapinzan ana kitu ambacho Viungo wetu hawana, maamuzi ya haraka na sahihi huyu Saul yuko attack minded hivyo katika miguu yake naona creation of many chancesSAUL anafikia uwezo wa MATIC wa Chelsea?
Au ni wachezaji wawili tofauti kwenye style ya uchezaji?
Ile Heda ya Kai ilikuwa Kali sana halafu kuna maboya wa Liverpool wanakuambia ni ilikuwa free Heda. Kwangu Mimi hilo ndio goli of manthi.Pigia kura goli la mwezi wa nane hapa Vote for your August Chelsea Goal of the Month | Official Site | Chelsea Football Club
- Marcos Alonso’s brilliant free-kick against Crystal Palace
- Trevoh Chalobah’s long-range goal against Crystal Palace
- Kai Havertz’s improbable header against Liverpool
Pundit wengi hata wale wasioifagilia Chelsea wameikubali hiyo Header, fans achana nao wao kila kitu kutoka kwa mpinzani ni kawaida, ukiwauliza kama ni kawaida mbona wachezaji wao hawafungi hivyo, kimya, mbona kipa wao bora hakuiweza, kimya, mbona karibia wakabaji 10 (ni Mo Salah tu ndi hakuwepo kukaba) walibaki wanaduwaa badala ya kumfuata Kai, kimya. Hilo goli wasipoangali linaweza kuwa goli la mwezi kwa EPL nzima. Mimi nimeipigia kura mara tatu browser tofauti, hata ningeweza ningepiga mara kumi na zaidiIle Heda ya Kai ilikuwa Kali sana halafu kuna maboya wa Liverpool wanakuambia ni ilikuwa free Heda. Kwangu Mimi hilo ndio goli of manthi.
Kuna jamaa ana channel YouTube anaelezea vzuri wachezaji strengths and weaknesses zao aliahidi atatoa clip youtube kumhusu Saul kule Twitter ..... Anaitwa nouman nadhani bado hajatoa Ila yupo vzuriWadau anayemfahamu vizuri SAUL (style yake ya kiuchezaji, strengths & weakness) zake, atueleze combination ipi itakuwa kali pale katikati:-
Kante & Saul
Kovacic & Saul
Joginho & Saul
Uchezaji wa SAUL na ule wa MATIC unatofauti gani?
Wote wanauwezo wa kukaba na kwenda mbele. Kante najua yuko very mobile ila sijui mobility ya Saul ikojeKwahiyo uchezaji wa Kante & Saul, utafanana kama ule wa Kante na Matic under Conte?
Wanapishana Kante mbele saul nyuma, Kante nyuma saul mbele
Tusisahau pia kuwa yupo Mount naye mara chache anachezeshwaga kwenye MFWadau anayemfahamu vizuri SAUL (style yake ya kiuchezaji, strengths & weakness) zake, atueleze combination ipi itakuwa kali pale katikati:-
Kante & Saul
Kovacic & Saul
Joginho & Saul
Uchezaji wa SAUL na ule wa MATIC unatofauti gani?
| Season 08/09 | ||||||
| Deco | £8,000,000 | Steven Sidwell | £5,000,000 | |||
| Carlos De Silva Minerio | Free | Claude Makelele | Free | |||
| Carlo Quaresma | Loan | Tal Ben-Haim | £5,000,000 | |||
| Jose Bosingwa | £16,200,000 | Andrei Shevchenko | Signed | |||
| Shaun Wright Phillips | £9,000,000 | |||||
| Khalid Boulahrouz | £4,000,000 | |||||
| Hernan Crespo | Free | |||||
| Wayne Bridge | £12,000,000 | Prem | ||||
| Carlo Cudicini | Free | PTS | POS | |||
| Total | £24,200,000 | £35,000,000 | -£10,800,000 | 83 | 3 |
| Season 09/10 | ||||||
| Daniel Sturridge | £4,000,000 | Ben Sahar | £1,000,000 | |||
| Ross Turnbull | Free | Jimmy Smith | Free | |||
| Yuri Zhirkov | £18,000,000 | Frank Nouble | Undisclsoed | |||
| Nemanja Matic | £1,500,000 | Sergio Tejera | Undisclsoed | |||
| Claudio Pizarro | £5,000,000 | |||||
| Andrei Shevchenko | Free | Prem | ||||
| Tom Taiwo | Undisclosed | PTS | POS | |||
| Total | £23,500,000 | £6,000,000 | £17,500,000 | 86 | 1 |
| Season 10/11 | ||||||
| Yossi Benayoun | £5,000,000 | Michael Ballack | Released | |||
| Ramires | £18,300,000 | Juliano Belletti | Released | |||
| Fernando Torres | £50,000,000 | Joe Cole | Released | |||
| David Luiz | £21,300,000 | Seth Ofori-Twumasi | Free | |||
| Matej Delac | Free | Miroslav Stoch | £2,500,000 | |||
| Deco | Free | |||||
| Scott Sinclair | £500,000 | |||||
| Ricardo Carvalho | £7,000,000 | Prem | ||||
| Franco Di Santo | £2,000,000 | PTS | POS | |||
| Total | £94,600,000 | £12,000,000 | €82,600,000 | 71 | 2 |
| Season 11/12 | ||||||
| Thibaut Courtois | £6,000,000 | Gokhan Tore | £1,000,000 | |||
| Oriol Romeu | £4,350,000 | Jacopo Sala | Undisclosed | |||
| Romelu Lukaku | £20,000,000 | Michael Mancienne | £3,000,000 | |||
| Ulises Dávila Plascencia | £1,750,000 | Jack Cork | £1,200,000 | |||
| Juan Mata | £23,500,000 | Danny Philliskirk | Free | |||
| Raul Meireles | £12,000,000 | Yuri Zhirkov | £13,200,000 | |||
| Gary Cahil | £7,000,000 | Slobodan Rajkovic | £2,000,000 | |||
| Kevin De Bruyne | £6,700,000 | Philipp Prosenik | undisclosed | |||
| Patrick Bamford | £1,500,000 | Alex | £4,200,000 | Prem | ||
| Lucas | £5,000,000 | Nemanja Matic | Undisclosed | PTS | POS | |
| Total | £87,800,000 | £24,600,000 | £63,200,000 | 64 | 6 |
| Season 12/13 | ||||||
| Marko Marin | £6,500,000 | Jacob Mellis | Free | |||
| Eden Hazard | £32,000,000 | Didier Drogba | Free | |||
| Thorgan Hazard | Undisclosed | Salomon Kalou | Free | |||
| Júnior Oscar Dos Santos Emboaba | £25,000,000 | Jose Bosingwa | Free | |||
| César Azpilicueta | £7,000,000 | Rhys Taylor | Free | |||
| Victor Moses | £9,000,000 | Daniel Sturridge | £12,000,000 | |||
| Demba Ba | £7,500,000 | Raul Meireles | £8,000,000 | Prem | ||
| Wallace | £5,000,000 | PTS | POS | |||
| Total | £92,000,000 | £20,000,000 | £72,000,000 | 75 | 3 |