John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Kwamba anajua pia kuliko mapundits WA soka kina Owen ambao nao wamelalamikia Ile red card kuwa ilikuwa harshAcha uzwazwa wewe! Yani wewe una akili kuliko hata TT ambaye naye kalalamikia maamuzi ya huyo Refa wenu mliomnunua Man City ili aje awafanyie hujuma Chelsea FC mabingwa wa ulaya?
Acha kukaza fuvu ,kaangalie marudio vizur ,mpira ulikuwa unaingia kabisa golin baada ya kugonga goti lake ,then akasogeza mkono maksudi kuuzuia ....Acha uzwazwa wewe! Yani wewe una akili kuliko hata TT ambaye naye kalalamikia maamuzi ya huyo Refa wenu mliomnunua Man City ili aje awafanyie hujuma Chelsea FC mabingwa wa ulaya?
Vipi Rudiger na christensen?Cesar CB
ila ile ya 2-2 ilikuwa kiboko.Point moja ya Jana pengine ni point moja Bora Sana nilizozishuhudia wakipata Chelsea ni hyo ya Jana 1-1 tukiwa pungufu dhidi ya watu 12*.....na Ile ya 2-2 Torres anawafunga Barca uefa.........
Christesen alimkwatua mtu wa mwisho... unafananishaje na hiyo ya jana?Shule kidogo, maana naona watu mnafarijiana humu
Swala siyo kuwa deliberate(makusudi) au la,
Ila denying a clear goal scoring chance either kwa foul au handball (iwe ndani ya box au nje) ni straight red card.
Wakuu kwani mmesahau ule umeme alokula Christensen msimu uliopita mechi ya Liverpool
Si tunacheza mfumo WA beki wa tatu nyuma...so Kwa Jana Cesar alikuwa RCB alikuwa upande WA kulia Kwa wale mabeki watatu wakiwemo Christensen n rudigerVipi Rudiger na christensen?
Sijui aliwaza nini hapaBado hawajazoeana, kuna pasi moja jana yaani Havertz aliudhi, Lukaku yuko kwenye golden space ya kufunga yeye akaremba kama ile ya james na arsenal second chance iliyopotea tu. In TT we trust, atawafanya wazoeana tu na nadhani wakati wa kutadhmini mchezo hayo makosa wanayapitia ili wayarekebishe next game
Halafu Lukaku sio mchezaji wa kuwatoka kihivyo mabeki, na pia sio mchezaji wa kufanya drible kama Grealish au HazardMapema sana kuhukumu, tumpe muda.
Mmh Ila Kama sitakuwa Sawa nahitaji kusahihishwa kumbukumbu zangu nakumbuka km lampard alikuwa anamtaka nick Pope wa Burnley... Ila Petr cech alimshauri aachane n pope amchukue Mendy kutoka ufaransa...so naona wakushauriwa zaidi hapo n cech...maana lampard alikuwa anataka kutengeneza waingereza kibao ...kuna wakati pia alimtaka John stones WA city[emoji23]Mendy angecheza ile penati liver wangejiharishia, mzigo ungelala 1bila
Hili jamaa linadaka sio mchezo, tunamshukuru Lampard kwa huu usajili.
View attachment 1914282
Exactly, nilikuwa nazungumzia hiyo nafasi. Nafasi kama hizo ndizo za striker kama Lukaku na amejiposition vizuri kweli halafu mnasema hakucheza. Si ajabu hilo goli ndilo lingetupa ushindi janaSijui aliwaza nini hapaView attachment 1914309
Mendy angecheza ile penati liver wangejiharishia, mzigo ungelala 1bila
Hili jamaa linadaka sio mchezo, tunamshukuru Lampard kwa huu usajili.
View attachment 1914282
Jana CB ni watatuVipi Rudiger na christensen?
Jana Antony Taylor katualibia ushindi na mbinu mpya kutoka kwa king TTKaka jana ndio kwanza mechi ya 2 ya Lukaku.
Lukaku bado hajacheza full match combination na:-
Harvetz - Lukaku - Ziyech/Pulisic/Odoi
Pulisic - Lukaku- Mount/Ziyech/Odoi
Werner - Lukaku - Ziyech/Kai/Mount/Pulisic/Odoi
TT mechi 2 amejaribu combination ya Lukaku, Kai na Mount na sub ya Ziyech na Werner mechi ya kwanza.
Sioni cha kumlaumu Lukaku hapa, kocha anaendelea kutafuta combination nzuri pale mbele.
Tena usije ukashangaa combination ya Werner + Lukaku ikaja kuwa moto.
Mashabiki tutulie tumuachie TT atafanyie kazi hizo combination hapo mbele.
Hii match ilikuwa inaishia hapaSijui aliwaza nini hapaView attachment 1914309
Inawezekana uko sawa kiongoziShule kidogo, maana naona watu mnafarijiana humu
Swala siyo kuwa deliberate(makusudi) au la,
Ila denying a clear goal scoring chance either kwa foul au handball (iwe ndani ya box au nje) ni straight red card.
Wakuu kwani mmesahau ule umeme alokula Christensen msimu uliopita mechi ya Liverpool
Mount ni habari nyingine weweJamani mnamuangalua Conor Callagher?
Jana game ya Crystal palace dogo katia goal 2 nzuri sana.
Akiendelea kuwasha moto vile akina mason mount wajitafakari msimu ujao.
Aweke consistency tuJamani mnamuangalua Conor Callagher?
Jana game ya Crystal palace dogo katia goal 2 nzuri sana.
Akiendelea kuwasha moto vile akina mason mount wajitafakari msimu ujao.