Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa hyo munataka kusemaje?
 
Kesho twende na mfumo wa ulinzi shikikishi 3-4-3


----- WERNER --- LUKAKU --- MOUNT ------


ALONSO --- JOGINHO --- KANTE ------ AZIPI


--- RUDGER -- CHRISTENSEN - CHALOBAH --


SUB:- Silva, Chiliwell, Kai, James, Odoi, Zouma, Kovacic
Hao kina saka kesho watamsumbua Sana Alonso Bora akae chilwell
 
Game inayofuata nyie

Vs arsenal
Vs Liverpool
Vs astonvilla
Vs spurs
Vs man city



This is EPL keep watching
 
Usiku wa deni huwa haukawii na mtake au msitake hapa tunachukua 3
Na tatu tena

Saka anasimamia show,
Mendy anamjua huyu bwana mdogo
 
Kesho twende na mfumo wa ulinzi shikikishi 3-4-3


----- WERNER --- LUKAKU --- MOUNT ------


ALONSO --- JOGINHO --- KANTE ------ AZIPI


--- RUDGER -- CHRISTENSEN - CHALOBAH --


SUB:- Silva, Chiliwell, Kai, James, Odoi, Zouma, Kovacic
Kante sidhani kama ataanza kesho labda ataingia dakika za mwishoni, Atapumzishwa kwa ajili ya mechi inayofuata akiungana na Ziyech
 
Kuna discussion ya SkySports youtube kuhusu combined 11 ya Chelsea na Arsenal. Poor Arsenal hakuna hata mchezaji mmoja anayeingia kwenye hiyo combined labda kwa kupendelea ni Bukayo Saka na Tierney tu

Mfano mjadala ulijikita kwenye kati ya Silva na Ben White nanai aingie nafasi ya CB

Sasa Arsenal waweke ushabiki pembeni waseme ni nani anaweza kuingia kwenye combined 11 ya kesho

Strong line up yetu hii hapa


Werner ------------- Lukaku ---------------------- Mount

Chillwell -------- Jorginho ----- Kante -------- James

Rudiger ----------------Silva -------------------Azpilicueta

Mendy
​


Tuanze na Mendy nani kati ya makipa wenu wa kumuweka benchi Mendy?
Rudiger je
Silva je
Azpilicueta je
Kante je
Jorginho je
Chilwell je\James je
Lukaku je
Werner je
Mount je

Hata tukiweka team B bado wachezaji wengi wa Arsenal watakosa namba
 
Chelsea inapokuwaga na mablack wengi ndio inakuwa moto wa kuotea mbali

Kati ya wachezaji 11 kuna mablack OG wako 7

  1. Mendy
  2. Silva
  3. Rudiger
  4. Chalobah
  5. James
  6. Kante
  7. Lukaku
 
Sarr anaanza lini kucheza hapo darajani, au bado hajafiti kwenye mfumo wa TT?
 
Game inayofuata nyie

Vs arsenal
Vs Liverpool
Vs astonvilla
Vs spurs
Vs man city



This is EPL keep watching
Cheki huyu takataka. Wewe una hao wenzio vipigo bado ni vile vile hakuna namna. Mwaka huu mtachezea ukuni hadi mchakae kunguni nyie..
Liverpunga
Haya makuku wala siyo ya kuwa za sana mkuu ..tuhakikishe hizi mechi tano za kwanza tunashinda ili tujenge hofu kwa matakataka huko.
 
Kesho twende na mfumo wa ulinzi shikikishi 3-4-3


----- WERNER --- LUKAKU --- MOUNT ------


ALONSO --- JOGINHO --- KANTE ------ AZIPI


--- RUDGER -- CHRISTENSEN - CHALOBAH --


SUB:- Silva, Chiliwell, Kai, James, Odoi, Zouma, Kovacic
I think Thiago ataanza instead of christensen
 
Leo naziona goli tatu kabisa ..hawa takataka arse8 tunawalala vizuri tu..

CFC
 
Xhaka akikaaga dimba hakuna mbuzi wa Chelsea anaefanya fujo

Saka bukayo

Rowe smith

Lokonga

Mnabahati lipartey lipo majerui

goals 3+
Point 3
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…