Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tarehe kama ya leo mwaka 2005, Chelsea ilitangaza kukamilisha usajili wa kiungo, Michael Kojo Essien kwa dau lililomfanya kuwa mchezaji kutoka Afrika mwenye thamani kubwa zaidi, paundi milioni 24.

Unakumbuka nini kutoka kwake!
#kalenda

Huyu mwamba na King Drogba ndiyo waliyonifanya nipende Chelsea.
 
Tarehe kama ya leo mwaka 2005, Chelsea ilitangaza kukamilisha usajili wa kiungo, Michael Kojo Essien kwa dau lililomfanya kuwa mchezaji kutoka Afrika mwenye thamani kubwa zaidi, paundi milioni 24.

Unakumbuka nini kutoka kwake!
#kalenda
Esien alikuwa ni kiungo anayejituma sana na alikuwa na mapafu kweli kweli. Ile combi yake na Makelele kisiki kile hakipitiki na ukibahatisha kumpita unakutana na John Terry mtuliza dhoruba. Golini yupo Petr Cech mtunza usalama. Kule mbele wako wanyama wasioangalia sura ya kipa, yupo Lampard,, yuko Drogba na the Co's
Sasa hii Chelsea ya sasa imejengwa kwenye msingi wa hawa jamaa
 
🎙Thomas Tuchel's Full Pre-Arsenal Press Conference:

🔹Tuchel on Lukaku: "We have one more training session to go but the week was a heavy load. He was with the group with the late starters, so it was an overload week so far. Today was low intensity and tomorrow we will have an important session before the match. We hope he will be on the pitch on Sunday and it looks likely."

🔹Tuchel on Lukaku: "Is Romelu the missing piece? We hope it is. At the same time we need to find the right solution in the games. We are a squad and it is a team effort."

🔹Tuchel on Chalobah: "He did a fantastic pre-season for us. He is a very good player and a top character. He has both feet on the ground and took his chance very impressive."

🔹 Thomas Tuchel confirms Trevor Chalobah is STAYING at Chelsea: "Trevoh is the guy we want to keep. It's not a gift, it's what he deserves."

🔹Tuchel doesn't know whether Trevoh Chalobah will get a new contract but talks are being planned. That bit is out of the manager's hands.

🔹Thomas Tuchel joking around when asked how many goals he expects Romelu Lukaku to score: "50 or 60 before winter! No we will set a clear target later in the season."

🔹Thomas Tuchel says Chelsea will prepare for the best Arsenal possible on Sunday, but focus on themselves to 'push the standards to the limit'.

🔹Tuchel on Team News (1/2): "Christian has unfortunately had a postive test and needs to follow the protocols. He's not been training and is not availible for the game."

🔹Tuchel on Team News (2/2): "Hakim Ziyech and N'Golo both trained yesterday so we need to have more physical intense session tomorrow and decide tomorrow. Right now, it seems very positive that both can be in the squad for Sunday."

🔹Tuchel says Trevoh Chalobah could be a solution for #Chelsea as a fourth midfielder in the future but there is things to work on for that to happen if he was needed to be used there.

🔹Thomas Tuchel says he would give two votes for N'Golo Kante and Jorginho for UEFA Player of the Year.

🔹Tuchel on Men's Coach of the Year award: "I heard about it but it's not the most important thing before or between a match. It includes me, the staff, every player. It's a team sport and it will always stay like this."

🔹Tuchel on Ziyech (1/2): "He was decisive in every friendly and in the Super Cup against Villarreal. It was unfortunate he got injured but now we have to take care with him. We're happy he's back on the pitch but a shoulder injury can be tricky. Tomorrow is decisive for him and we'll see how things go."

🔹Tuchel on Ziyech (2/2): "The good thing is that with a shoulder injury you can still keep your fitness. He has training in his legs. Once he feels totally free, hopefully he can find his performances from pre-season very quickly."

#ARSCHE | #CFC | #Interviews

📲 The blue fans (CHELSEA)
 
RATIBA YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2021/2022.

Droo ya makundi ya Uefa Champions league msimu wa 2021/2022 imepangwa kufanyika tarehe 26 August 2021 huko jijini Istanbul nchini Uturuki.

Na mashindano yamepangwa kuanza tarehe 14 September 2021 na kumalizika tarehe 28 May 2022.

Mechi za kundi A zitachezwa tarehe 14 September 2021 na 15 September 2021.

Mechi za kundi B zitachezwa tarehe 28 September 2021 na 29 September 2021.

Mechi za kundi C zitachezwa tarehe 19 October 2021 na 20 October 2021.

Mechi za kundi D zitachezwa tarehe 2 November 2021 na 3 November 2021.

MARUDIANO:

Mechi za marudiano kundi A zitachezwa tarehe 23 November 2021.

Mechi za marudiano kundi B zitachezwa tarehe 24 November 2021.

Mechi za marudiano kundi C zitachezwa tarehe 7 December 2021.

Mechi za marudiano kundi D zitachezwa tarehe 8 December 2021.

HATUA YA 16 BORA:

Mechi za kwanza zitachezwa kati ya tarehe 15 au 16 February 2022 na 22 au 23 February 2022.

Na mechi za pili zitachezwa kati ya tarehe 8 au 9 March 2022 na 15 au 16 March 2022.

HATUA YA ROBO FAINALI:

Mechi za kwanza zitachezwa kati ya tarehe 5 au 6 April 2022 na mechi za pili zitachezwa kati ya tarehe 12 au 13 April 2022.

HATUA YA NUSU FAINALI:

Mechi y kwanza itachezwa kati ya tarehe 26 au 27 April 2022 na mechi ya pili itachezwa kati ya tarehe 3 au 4 May 2022.

MCHEZO WA FAINALI:

Mechi ya fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya kwa msimu wa 2021/2022 imepangwa kuchezwa tarehe 28 May 2022, katika uwanja wa Zenith ST Petersburg nchini Urusi.

Jee Chelsea tutafanikiwa kuchukuwa tena taji hilo msimu huu?.
Tusubirie toune kama itawezekana.

#updates
 
Mnaishi kwa kubahatisha bahatisha ,et mchukue CL tena ,motherf**k
 
Who was your best No. 9?
Tammy Abraham 9️⃣
Gonzalo Higuain 9️⃣
Alvaro Morata 9️⃣
Falcao 9️⃣
Fernando Torres 9️⃣
Franco Di Santo 9️⃣
Steve Sidwell 9️⃣
Khalid Boulahrouz 9️⃣
Mbona alina Hasselbank, Flo et al hawapo. Weka wote tuchague
 
FB_IMG_1629456092813.jpg
 
GOOD NEWS

Trevo Chalobah anabaki na ataipigania namba yake ya CB

Can you confirm that Trevoh Chalobah is staying?

"Well, I think he did a fantastic pre-season with us, he's a very good player and even more important a top character.

"He has both feet on the ground, he took his chance very impressively, he played very good matches in pre-season, he performed for 120 minutes against Villareal and then another strong 90 minutes against Crystal Palace.

"So now I think it's very logical that he stays with us, and he's looking for his chance here. We let some players go but Trevoh is a guy we absolutely want to keep, and this is the status for him."

Will he be signing a new contract?

"This actually I don't know, actually I absolutely know nothing about the contract situation. I just know that we had a talk yesterday, and I think his situation was he went out on loans, he had the loans he needed to develop, but now is a good moment to stay with us and be a part of the group.

And to take further steps towards fulfilling his dream which is to be part of a strong Chelsea squad, which he is at the moment. We trust him, he deserves, this is not a gift this is what he deserves for now and this is a good situation for us and for him right now but I'm absolutely not aware of the contract."
 
TT adai ana mpango wa kumtumia Ziyech kwenye kujenga safu ya washambuliaji watakaoshirikiana na ROM Lukaku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom