Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,321
Mbio za sakafuni huishia ukingoni ..Breaking.. Chelsea imeingia kwenye mbio za kuwania saini ya Messi
wivu2 bakini na lokonga wenu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Cheltakoo ni bora mbaki na Tammy Abraham kuliko huyo Lukamavi.
Tammy Tunataka kuwauzia Mbona mnambwela?Cheltakoo ni bora mbaki na Tammy Abraham kuliko huyo Lukamavi.
Kwa kweli hata mimi sijafurahishwaHivi ina maana tumeshinda mbili tu? Hatupo serious kwa kweli.
Hii Arse8 ilikuwa inastahili kipigo cha mbwa koko..
Mbio za sakafuni huishia ukingoni ..
Chelsea kumsaini mess ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Stop to give us Fake hopes brotherKlabu pekee ambayo Messi anaweza kuajiriwa ni Chelsea
Kwa nini?
- PSG wako kwenye process ya kupunguza mishahara ya wachezaji na wafanyakazi wengine kwa sababu inayokaribiana na ile ya Barcelona kwa hiyo PSG hawataweza kabisa kumuajiri Messi
- Man City wameshaingia gharama ya kumleta Grealish Etihad na bado wanamfukuzia Kane, huo mzigo wa matumizi City hawataweza na wakilazimisha FA watawapelekea Auditors. Pep kashasema hawatamsajili Messi
- Chelsea wakiacha dili la Lukaku FFP hawataweza kuwaingiaza kwenye uvujaji wa pesa. Mimi naamini Chelsea wakicheza karata zao vizuri Messi anaingia darajani kama alivyokaribia kuingia mwaka 2014
Rumours era hadi usajili uisheStop to give us Fake hopes brother
According to fabrizio,amekanusha hizi habari, anasema focus yote kwa sasa iko kwa lukakuBreaking.. Chelsea imeingia kwenye mbio za kuwania saini ya Messi
Klabu pekee ambayo Messi anaweza kuajiriwa ni Chelsea
Kwa nini?
- PSG wako kwenye process ya kupunguza mishahara ya wachezaji na wafanyakazi wengine kwa sababu inayokaribiana na ile ya Barcelona kwa hiyo PSG hawataweza kabisa kumuajiri Messi
- Man City wameshaingia gharama ya kumleta Grealish Etihad na bado wanamfukuzia Kane, huo mzigo wa matumizi City hawataweza na wakilazimisha FA watawapelekea Auditors. Pep kashasema hawatamsajili Messi
- Chelsea wakiacha dili la Lukaku FFP hawataweza kuwaingiaza kwenye uvujaji wa pesa. Mimi naamini Chelsea wakicheza karata zao vizuri Messi anaingia darajani kama alivyokaribia kuingia mwaka 2014
Means akija Lukaku Harvetz hana nafas?---------- WERNER ------ LUKAKU ----------
-----------------------MOUNT ---------------------
CHILWELL --- KANTE -- JOGINHO -- AZIPI
--------RUDGER- --- THIAGO ---- KOUNDE ---
Hilo la Jules Kounde sidhani kama litafanikiwa---------- WERNER ------ LUKAKU ----------
CHILWELL --- KANTE -- MOUNT -- AZIPI
------------------ JOGINHO ------------------
--------RUDGER --- THIAGO ---- KOUNDE ---