Chelwowo ni tawi dogo la Italy naona jana mmechukua Euro tena. Hahahaha
Mimi sikuweza kuangalia penalti, Donnarumma alidaka ngapi jamani. Maana huyu kipa atakuja kuwa kipa tishio duniani katika umri wa miaka 22 tu!!
Hata sisi tumeanzaWenzetu wameanza kujiandaa na msimu ujao sisi hatuna habari.
"Erling is already in England," the sporting director was quoted by Sky Germany, after it was revealed that he had not reported to Dortmund's training complex as scheduled.
The 58-year-old further expounded to Bild over the weekend on Haaland's future however, insisting that they were planning for the 2021-22 campaign with their star forward at their disposal.
"Nothing has changed," he added when asked over whether there could be a departure for the attacker. "We are firmly planning with Erling for the new season,"
Tusubiri tuoneAlikuwa anatania sio kweli
Usishangae Dortmund wakamuachia Erling Haaland asepe for free kama Donnarumma alivyosepa bure kutoka AC Milan, Milan ni wazembe sana. Bora hata sisi hatuachii thumni hata kwa wazee kama Giroud, tutaambuliaga huko ka milioni moja
View attachment 1850997
Hujanielewa nini au wewe ndio unazinguaJamaa unazingua
Hujanielewa nini au wewe ndio unazingua
Acha upuuziHaaland in Chelsea training View attachment 1851483
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huyo ni Gallagher aliyekuwa West brom Kwa mkopoHaaland in Chelsea training View attachment 1851483
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app