England wanatakiwa watolewe haraka iwezekanavyo, nyumbu wanaona kama england ni untd ndogo. Wakati michezaji yao inazurura zurura tu uwanjani.[emoji599]: At least one of Chelsea’s Players will be Euro 2020 Champions Winner [emoji91][emoji91]
[emoji1022] - Mount, Chilwell, James.
[emoji1087]- Christensen.
[emoji634] - Jorginho, Emerson.
[emoji633]- Azpilicueta.
Chelsea’s Dominated
Huyu Bayern hawamuuziTumchukue Joshua Kimmich = 10 Rice
Chelsea sasa wanamfukuzia Ben White wa Brighton
Yaungana na Arsenal, Mancity na Everton
Mchezaji mwenyewe kadai anaitaka Chelsea kwa sababu wanaweza kuoffer UEFA na wanaweza kulipa mil 50 wanayotaka Brighton
View attachment 1841468
Tumchukue Yule marquinhos as alternative to Declan rice ambaye ana thamani ya pesa kubwa... Uzuri anaweza kucheza holding midfielder pia
Nani Declan?TT akili yake yote iko kwa huyo jamaa
Nani Declan?
SureRice ni overrated hamna mtu mle
Wow hongera Sana, Hawa ndio wachezaji wa CHELSEA waliofika semi final Euro?[emoji599]: At least one of Chelsea’s Players will be Euro 2020 Champions Winner [emoji91][emoji91]
[emoji1022] - Mount, Chilwell, James.
[emoji1087]- Christensen.
[emoji634] - Jorginho, Emerson.
[emoji633]- Azpilicueta.
Chelsea’s Dominated
Tumchukue marquinho na saul halaf issue ya rb/rwb tuanze kumpa nafas livramento kutoka academy dg yuko vizuri tim nying now zinamtaka huyu dogo tusipoangalia tutafanya same mistake kama za lampteyTT anamuona Reece James kama CB zaidi ya RB, kwa hiyo RB mwingine anatafutwa baada ya Chelsea kumkosa Hakimi sasa wanamtaka Marquinhos wa PSG na kiungo wa Atletico Madrid: Saul Niguez
BadoHello my fellow CHELSEA fans ..it's me from Singapore
I miss you guys, I miss home sweet home
Tz Kilimanjaro [emoji1241][emoji1241][emoji630][emoji630]
Bado hatujasainisha yeyote?
Anapangwa sana tuThiago Silva Brazil anapangwa kikosini? Sijaangalia mechi za copa America.
Yeye ndo captain wa BrazilThiago Silva Brazil anapangwa kikosini? Sijaangalia mechi za copa America.