Ndio shida ya kuandika huku unakimbia kwenye appointment, nimeandika kihindi. Wahindi wao wanaelewa. Kwa Tanzania nilimaanisha elfu 60Paundi laki 60? Ndio kitu gani mkuu ama ulimaanisha paundi elfu 60
Deal doneRafael Benítez to Everton
Ramos hawezi cheza team ya kidwanzi kama hiiRamos to Chelsea
Hahahahahah wewe Jamaa hivi Ni team gani maana unawashwa washwa na Mambo ya chelseaRamos hawezi cheza team ya kidwanzi kama hii
Si kweli mkuuuRamos to Chelsea
Hahahahahah wewe Jamaa hivi Ni team gani maana unawashwa washwa na Mambo ya chelsea
Kumbe shabiki wa underdogs man shit.[emoji1787]Jamaa ana hasira na Chelsea. Hujui kuwa Chelsea ilimtandika mara tatu mfululizo atimae ikanyua UEFA mbele yake?
Chelsea ilimuwasha mpaka sasa hivi bado motoHahahahahah wewe Jamaa hivi Ni team gani maana unawashwa washwa na Mambo ya chelsea
Huyo man city bado ana kumbukumbu ya alichofanywa na Chelsea [emoji1787]Hahahahahah wewe Jamaa hivi Ni team gani maana unawashwa washwa na Mambo ya chelsea
Kuna taarifa za tetesi Tuchel anamtaka leornado spinazolla kutoa competition Kwa chilwell....wakati huu tutasikia habari na tetesi nyingi tuKuna taarifa za tetesi kuwa TT hataki Alonso auzwe
Najaribu kuonyesha wakati huu kuna tetesi nyingiTulizeni ball wajemeni, Marina atatusprize na sajili ambazo hatukutegemea. Naamini mama yuko kazini kimya kimya.
Ramos hawezi cheza team ya kidwanzi kama hii
Ndg tunajua kuwa wakati huu ni wa tetesi na taarifa zote tunazoleta hapa ni tetesi ili kuchangamsha group lisisinzie. Yeah!Najaribu kuonyesha wakati huu kuna tetesi nyingi