Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

van Ginkel kakaa Chelsea miaka 8, duh. Ina maana miaka yote alikuwa majeruhi??

 
Barca wako serious na Alonso, kama inalipa auzwe, akibaki sawa
 
Werner ni 50/50
Havertz is a talented player lakini sio mfungaji kama Haaland
If we are serious hatuna chopice ila ni kusajili mfungaji wa magoli yatakayotosheleza kubeba ndoo
Tusipofanya hivyo, tujiandae kisaikolojia kugombea nafasi ya 4 na tukipata hiyo tushangilie kama tulivyofanya miaka yote minne iliyopita
 
Hao wotee uliotaja hapo juu Hamna uwezo wa kusajili hata mmoja ,....

Mnajitekenya na kucheka wenyewe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dirisha hata halijafunguliwa, bado nafasi ya kuwasajili hao wote upo
 
Jeshi kutoka kwenye mkopo watakuwepo kwenye pre-season akiwemo Bakayoko, Victor Moses, Malang Sar, Ross Barkley, Conor Gallagher, Armando Broja, RLC, Ampadu
 
Mzigo ule mtaukataa siku moja ukitua chelsea.
Lukaku ni better than strikers tulionao kwenye kufunga, at least anaweza kufunga 20+ goals kwa msimu. Kinachokuzingua wewe ni uzito wake na anaweza kumudu huo uzito, kwani alipohamia Inter alitisha lakini aliendelea kung'ara hata pamoja na uzito huo wa 90+ KG
 
Bahati mbaya ameshauzwa mil 4.5 kule alikokuwa mkopo, urusi
 
Marina anajua bargaining, anazushiwa au anatania
Haaland = Abrahama + paundi mil 60
 
Wala sishangai Marina hawezi toa hiyo cash tuu £154.2M kwa Haaland. Na kama Dortmund watang'ang'ania cash tuu bila kujumlishia wachezaji wetu tutamkosa Haaland.
Sasa nyie kunguni mna uwezo wa kumsajili halaand kweli ,humu ndani huwa mnajitekenya na kucheka tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
20, Julai wachezaji wataanza kuwasili kujiandaa na msimu wa 2021/22. Tarehe 1, Agosti tunacheza na Asenane, kisha tarehe 5, Agosti tunacheza na Tottenham mechi za kirafiki tu. Pia tarehe 11, Agosti tunacheza fainali ya Super Cup. Hivyo kwenye michezo hiyo miwili ya Pre Season baadhi ya wachezaji hawato kuwepo, full kikosi kitakuwa kwenye Super Cup.
 
Euro inafika tamati 11, Julai na ligi kuu inaanza 14, Agosti hapo kuna kama mwezi baada ya michuano ya Euro kuisha. Baadhi ya wachezaji watakosa michezo ya Pre Season ila kuanzia kwenye fainali ya Super Cup ni full kikosi.
Kante, Azipu & Rudger wapumzike mpaka August. Tunahitaji full energy zao msimu ujao.
 
Kuna taarifa za tetesi kuwa TT hataki Alonso auzwe
 
Rudiger anataka mshahara wake wa wiki uongezwe kwa paundi laki 60 kutoka paundi laki 140 ya sasa kwenda paundi laki 200 ya mkataba mpya
"Rudiger was looking for a £20,000 pay rise on his £140,000-a-week salary, but he now wants around £200,000-a-week to commit his future to the club"
 
Paundi laki 60? Ndio kitu gani mkuu ama ulimaanisha paundi elfu 60
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…