Hahaha sometimes inabidi mtu umuamini kocha kuliko wachezaji. Wewe sasa hivi unamuamini kochaUsitufananishe sisi na man u kabisa unatukosea heshima sisi tunapokuwa na jambo letu nobody can stop sisi tunasumbuliwa na team za kupack bus lakini sio zinazoshambulia kama man city hao Man city utawakataa leo
Hakika leo man city atapigiwa mpura mwingi Sana na kumbua AGUERO bado hajabeba taji la UEFA anazindia na KANTE ambae yeye ameshika kombe la UEFAUsitufananishe sisi na man u kabisa unatukosea heshima sisi tunapokuwa na jambo letu nobody can stop sisi tunasumbuliwa na team za kupack bus lakini sio zinazoshambulia kama man city hao Man city utawakataa leo
Fainali zote za uefa tulikuwa na wachezaji tegemezi karibia kila sekta na zote tulifanya vizuri
Goalkeeper Peter Cech
Beki John Terry
Kiungo super Frank
Forward Drogba
Leo mchezaji tegemezi ni ngolo kante pekee. Hao waliobaki labda muujiza utokee. Tena wakifanya ujinga kama ile gemu ya Leicester tutapigwa hata goli tano.
De bruyne ni mwiba,kwakweli leo nimejiandaa kupokea kipigo heavy
Kikosi Cha Chelsea ni hikihiki kinachocheza reo kilichomtoa man city nusu fainal na ndio kikosi kilichomfunga man city 2 moja reo man city hatoboi
Mkuu na we punguza mteru,...hyo fainali ya 2012 Mbona tulicheza bila John Terry ..na winger ya kushoto alicheza bwana mdogo Bertrand ....kwanini Una mashaka na uwezo wa Mendy, thiago Silva,rudiger,? ...timu zote zinazoingia final inamaana zimefanya vizuri hatua zilizopita na zina litaka kombe......kwani viralleal wameshindaje mbele ya nyumbu ya kina cavani, Bruno, rashford?Fainali zote za uefa tulikuwa na wachezaji tegemezi karibia kila sekta na zote tulifanya vizuri
Goalkeeper Peter Cech
Beki John Terry
Kiungo super Frank
Forward Drogba
Leo mchezaji tegemezi ni ngolo kante pekee. Hao waliobaki labda muujiza utokee. Tena wakifanya ujinga kama ile gemu ya Leicester tutapigwa hata goli tano.
De bruyne ni mwiba,kwakweli leo nimejiandaa kupokea kipigo heavy
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Mkuu angalia mchezo mitatu walizokutana Kati ya man city na chalsea man city kashinda Mara moja chalsea kashinda Mara mbili najua hapo utaenderea kuona tofauti kwa timu mbili zilizoingia fainally kwer nzote ni mbola ila ludi kuchambuachezaji mmoja mmoja bado tuuu Chelsea utawapatia nafasi ya kusonga mbele zaidi ya kuchukua kikombe Cha reoWaungwana mfahamu kuwa Mchezo wa leo ni fainali sio ligi na mchezo unachezwa mara moja tu kwa dakika tisini. Timu zote mbili Chelsea na Man City, wachezaji wote wa timu mbili yaani wachezaji wa Chelsea na Man City na makocha wote wawili Pep na TT wote hili kombe wanalihitaji sana. Niwambie tu timu zote mbili leo zitacheza kwa nidhamu kubwa mno, pia tusitalajie mchezo mzuri bali tutalajie mchezo mgumu sana. Timu zote mbili naona zikiingia kwa mfumo wa kujilinda na kushambulia kwa kushtukiza. Pep tayari ana onyo kutoka kwa TT hivyo hawezi kuja kijinga jinga tu, akija kijinga jinga tena atapokea za uso. TT nae anaelewa uzuri wa Man City na madhaifu ya safu yake ya ushambuliaji hivyo lazima leo atabadilika tu.
Mshindi wa leo atatokana na mbinu tu, na si ubora wa wachezaji. Mchezo wa leo ndio mtajua umuhimu wa kocha ama mwalimu katika mpira. Leo msitishwe na majina ya wachezaji kama KDB, Mahrez, Foden, Gundogan, Dias, Rudiger, Kante, Mount, Pulisic na wengineo wote. Hao wote na wengineo leo mtawakataa na kusema ndio hawa kweli, naam watakuwa wao na wala si wengine. Leo ni vita ya mbinu tu, leo ni ugomvi baina ya TT na Pep hao wachezaji wataingia uwanjani wakiwa kama wajumbe wa kufikisha hizo mbinu za walimu wao.
Msitarajie mechi kuanza kwa kasi, mechi itaanza kwa kila kocha kumsoma mwenzake yuko vipi ama amekuja vipi. Na kipindi cha kwanza kinaweza malizika kwa suluhu ya bila kufungana, kipindi cha pili kitabadilika kidogo tofauti na kipindi cha kwanza. Kama nilivyo sema huko juu leo timu zote mbili zitacheza kwa kujilinda sana, mchezo utabadilika baada ya timu moja kupata angalau goli moja.
Kwa uchache hayo ndio naona leo yakienda kutokea, karibu kwa masahihisho.
Oky tusubiri tuone leo nani atatutoa kimasomasoMkuu na we punguza mteru,...hyo fainali ya 2012 Mbona tulicheza bila John Terry ..na winger ya kushoto alicheza bwana mdogo Bertrand ....kwanini Una mashaka na uwezo wa Mendy, thiago Silva,rudiger,? ...timu zote zinazoingia final inamaana zimefanya vizuri hatua zilizopita na zina litaka kombe......kwani viralleal wameshindaje mbele ya nyumbu ya kina cavani, Bruno, rashford?
Hicho ndio kitatucost sana, tunacheza na timu inayopachika magoli hovyo hovyo. Huku Timo Warner short on target 30Ukiondoa utegemezi wa Mchezaji mmoja mmoja, Kitimu tuko vizuri nyuma na katikati.
Tatizo ni kule mbele hatuna wachezaji wakatili mbele ya goli, wenye uwezo wa kumaliza mechi.
UEFA ianzishe sheria ya kuazima wachezaji kwenye special mechi kama fainali [emoji41], tungeenda pale spurs tumuazime KANE mechi ya leoView attachment 1801075
We unaongelea tulitufunga wakat kocha alikua ni yule ndugu yake na Arteta, Lampard. Sahv usifananishe hii timu na utopolo ule w Lampard timu yoyote ilikuaga inajichukulia tu point kwetu kirahisi.Unajua mara ngapi Aguero hajakuepo na City anashinda? Siku hizi mlinde Mahrez kuliko Jesus na Aguero.
Sikatai tutashinda kwa sababu wachezaji wanajua ni fainali na wanalitaka sana hilo kombe ila tujue pia kuwa PEP na wachezaji wanahamu na hilo kombe pengine kuliko hata sisi na wachezaji wa kulibeba hilo kombe wanao tena wamekamilika. Unaweza shangaa leo ndio akina Werner na wenzake wa kupanic ndio wakapanic kabisa. Wachezaji wa kuaminiwa Chelsea nio wachache sana na ndio shida tena hapolembu Leo Chelsea tuna shinda kumbuka hii ni fainal na wachezaji wetu wanalitaka Hili kombe kweli kweli so tegemea Leo tutapiga mpira mkubwa kama ule wa Madrid sijui wewe una wasi wasi gani hao Man city una waoverrate Sana ila Leo utawakataa mzee namna tutakavyowashinda kimbinu Man city ni weupe wakikutana na team yenye mbinu ndio maana ole anamgonga kweli kweli Guardiola Make it in your mind.
Mkohoti
Cash Money Forever
Papaa Gx
42774277
Mkuu mimi nimekuelewa. Lakini kaa ukijua man city hana watu wa kulinda lango muda wote. Pale nyuma beki ni Diaz tu. waliobaki wapo kawaida.Mkuu umeelewa nilicho kiandika? Hebu rudia kusoma aya ya kwanza na ya pili kwa umakini.
Man city sijui atacheza mbinu gani leo. maana akifunguka anakufa kama madrid.lembu Leo Chelsea tuna shinda kumbuka hii ni fainal na wachezaji wetu wanalitaka Hili kombe kweli kweli so tegemea Leo tutapiga mpira mkubwa kama ule wa Madrid sijui wewe una wasi wasi gani hao Man city una waoverrate Sana ila Leo utawakataa mzee namna tutakavyowashinda kimbinu Man city ni weupe wakikutana na team yenye mbinu ndio maana ole anamgonga kweli kweli Guardiola Make it in your mind.
Mkohoti
Cash Money Forever
Papaa Gx
42774277
Inatakiwa man city tumfunge magoli ya ungwana mawiliUtabiri wangu leo Mancity anakufa 3---0 anayebisha tukutane baadae.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Bahati how. Kwann arsenal hajawa top four kwamba hana bahati?Kocha bora anapimwa kwa kuifikisha team top 4 sio? Top4 tumebaki kwa mbinde kibahat bahati hapo hakuna kocha
City akifunguka anakufa nakuonya mapema. No matter what tunacheza formation gani? hata kama ni 1111 mpaka mwisho.Kila timu iko motivated bro. Jinsi united ilivyoonyesha maandalizi ulitarajia kilichomkuta?
Inasemekana Mbappe Alikuwa na injuryMan city sijui atacheza mbinu gani leo. maana akifunguka anakufa kama madrid.
Akipaki basi sina imani kama atatoboa sababu hana watu wa kupaki basi. Ile match ya pili na psg alipaki basi ila pochetino akawa mdwanzi. We mbappe anaanziaje benchi match kama ile?
Kwenye list ya sub alikuwemo na hakuingia.Inasemekana Mbappe Alikuwa na injury