Hapana mkuu hao kina modric ,kross,casemiro na hazard wako vizur ndio maana Madrid iliweza kumfuna man city nje ndan mwaka Jana mpaka man city ikatolewa ....
Hii Chelsea ni ya moto Sana' ndio maana imeweza kumtoa madrid ..
Watu wanaumia sana na hii chelseaSawa mkuuu hii Chelsea haifungwi ,hakuna mwenye uwezo wa kuifunga Chelsea dunian kote ....
Hata CL na FA mnaenda kuchukua vyote kwa pamoja,hakuna wa kuwagusa ..!
Kawa mpole baada ya kichapo.
Kabaki saizi na hoja moja dhaifu sn.
Yeye kikosi chake imara ni hiki.
Edison
Walker, Stone, Diaz na Zichenko.
Gudogan, Fenandinho, Benado Silva.
Mahrez, KDB na Foden.
Sasa swali la kumuuliza. Hawa washambuliaji wake watatu wana ubora kuwazidi kina Benzima, Vini Jr, Asensio, Hazard?
Swali jingine.
Hao Mid wake watatu ni wazuri sn kuzidi Mid za Madrid kina Casemiro, Modric na Kroos?
Hawa wachezaji wa Madrid walipotezwa kabisa game zote mbili walizocheza na Chelsea tena hawa wachezaji wa madrid wana uzoefu mkubwa sn lkn walipotezwa sn seuzi hawa kina Mahrez wasiokuwa na uzoefu wowote?
Huwezi ku unlock defence ya chelsea mkuu ,kwa sababu hakuna club hapa dunian inayoweza kuifunga chelsea mpaka sasa ..!Huyo kilaza achana nae tu, mi nilimuuliza swali moja tu kwamba, amepata mbinu ya ku unlock defense ya Chelsea? Akabaki anajibu jibu tu kwa kupaniki. Hiyo tarehe 29 ndio tutampeleka milembe kabisa maana anafikiri mpira ni kuongea ongea tu unavyo jisikia.
Huwezi ku unlock defence ya chelsea mkuu ,kwa sababu hakuna club hapa dunian inayoweza kuifunga chelsea mpaka sasa ..!
Defence ya chelsea ni sold !!
Hata hivo inaweza kuchukua EPL
Hii chelsea haifungiki mkuu inaenda kuchukua EPL ,fa,cl ...NGURUWE kama NGURUWE [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Awe mpole kwa vichapo sio kichapo na bado atachapwa, hakuna njia nyingineKawa mpole baada ya kichapo.
Kabaki saizi na hoja moja dhaifu sn.
Yeye kikosi chake imara ni hiki.
Edison
Walker, Stone, Diaz na Zichenko.
Gudogan, Fenandinho, Benado Silva.
Mahrez, KDB na Foden.
Sasa swali la kumuuliza. Hawa washambuliaji wake watatu wana ubora kuwazidi kina Benzima, Vini Jr, Asensio, Hazard?
Swali jingine.
Hao Mid wake watatu ni wazuri sn kuzidi Mid za Madrid kina Casemiro, Modric na Kroos?
Hawa wachezaji wa Madrid walipotezwa kabisa game zote mbili walizocheza na Chelsea tena hawa wachezaji wa madrid wana uzoefu mkubwa sn lkn walipotezwa sn seuzi hawa kina Mahrez wasiokuwa na uzoefu wowote?
Anarudi darajaniLoftus Cheek wetu pale fulham nae ndo ameshuka daraja hivyo.
Tuchel aliwaambia atatengeneza timu ambayo hakuna timu itataka kucheza na wao... Sasa yameanza kutimiaAwe mpole kwa vichapo sio kichapo na bado atachapwa, hakuna njia nyingine
Bingwa wa UEFA na EPL mwakani lazima aonyeshe kuwa hatakuwa na mchezo mchezo msimu ujao, ni kuwachapa tu anayekutwa njiani
Aliyefunga ni alonso mkuuTuchel akimpa maelekezo Odoi kwenye sub ya dk ya 76 badala ya Ziyech
Goli la Mount lililotupa ushindi dhidi ya Man city aliyeanzisha kwa ustadi mkubwa ni Odoi ambaye alimpelekea mpira Werner nay werner kwa timing nzuri akampasia Mount
View attachment 1780700