Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyie mbwa ,ni bora kesho mtoke mapema ,tukikutana mtajuta kuingia uwanjan ...

Nadhan mmeona nini tulichowafanya wale mabishoo PSG
[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri kwanza uone mpira. Sisi kuita watu mbwa sio jadi yetu. Ika kuwafunga Watu kama ManCity na Madrid ndio furaha yetu.
 
Sasa mashabiki mnaruhusiwa kuwepo kwenye kikao cha Bodi ya Wakurugenzi ili kuhakikisha maslahi ya mashabiki yanazingatiwa kwenye kupitisha maamuzi
Nafikiri ndio faida ya Super League nilijua tu italeta mabadiliko, na Mbado

Arsenal nao mabishano ya kubadilisha mfumo wa umilikiwa klabu ili kuwapa majority share mashabiki badala ya investors. Na wakifanya hivyo mashabiki ndio watakuwa na kura ya veto kwenye maamuzi ya bodi

EPL imeazisha Club Owners Charter ili waazibiane humo humo kama kuna ukiukwaji wa sheria kama ilivyotokea kwenye uanzishwaji wa ESL ambapo owners ndio walihusika zaidi
 
Mtu mzima hatishiwi nyau wewe,Chelsea fc siyo timu ndogo wanauzoefu mkubwa sana na wako tayari kwalolote tena bora mkutane na timu nyingine siyo chelsea kwenye hatua kama hii,tunza post yangu.
 
Man United wanaweza kupokonywa points kwa sababu ya mchezo wao na Liver kuvunjika kwa sababu ya mashabiki wao uchwara kuharibu amani kwenye uwanja. Ikitokea hivyo, Man City wanaweza kupewa ubingwa mezani badala ya uwanjani
 
Werner is the best prayer. I do appreciate him.
 
Wataelewa tuu
 
Tangu hii michuano ya UEFA kuanza tumefungwa tu mechi moja Tena sec leg na fc Porto ..hivyo tuna record tamu Sana.
Hivyo leo ni suala la lazima kushinda ili kuendeleza hii record.

Amini kwamba...

Chelsea to the final ..UEFA Championship
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Man United wanaweza kupokonywa points kwa sababu ya mchezo wao na Liver kuvunjika kwa sababu ya mashabiki wao uchwara kuharibu amani kwenye uwanja. Ikitokea hivyo, Man City wanaweza kupewa ubingwa mezani badala ya uwanjani
Sio tff ile ilo sahau
 
Ikipita hii owners kibao watatimuliwa
 
Wakuu ushauli wenu naitaji hii game yaleo nikaangalie ubanda au nitulie home na familia mana ramosi kaka siom2 kabisa
 
Madrid wenzangu mpo?

Ramos kapona, tumempumzisha Kroos na Modric game iliyopita ili waje kuuwasha moto huku.

Benzema yupo fit.

Marcelo kaonyesha uhai left wing game ya juzi na Osasuna.

Vinicius speed yake ni hatari.

Leo tunapiga chuma tatu.
 
Nyie ni wachumba tu hamna lolote mlishindwa kutufunga kwenu mtaweza ugenini ninachojua hadi sasa Madrid mmekuwa eliminated hasanteni kwa kushiriki.
 
Siyo Yanga iliyochangamka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mdomo wako huu mchafu utakuponza Instabul
 
Nyie ni wachumba tu hamna lolote mlishindwa kutufunga kwenu mtaweza ugenini ninachojua hadi sasa Madrid mmekuwa eliminated hasanteni kwa kushiriki.
Nyinyi mmeshindwa kutufunga tumecheza formation hatuijui na majeruhi 10.

Leo Ramos yupo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…