Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Mara ya mwisho kufika nusu ilikua 2014God is Good. Tujipongeze kwanza kwa Kuquolifai hatua ya nusu fainali since 2012 baada ya kubeba Champion Legue.
Naamini kocha atapanga kikosi imara kumkabili Gardiola. Tho kwasasa naona wachezaji wote wako imara kwa chochote.
Yaani Jana ilikua balaa. Matumbo jotoFor sure. Jana poto wangekuwa makini na zile shambulizi zake basi tungeumia au tungebaki kushika viuno tu baada ya mechi[emoji23][emoji23][emoji23]. But yote kheri naamini kocha amelitazama hilo
Bora ushindi tu..Japo jana Kante hakuwa fit kwa sababu ya majeruhi ila combination ya Jorginho na Kante huwa haikubali sijui shida ni nini. Kovacic akicheza na Kante au Jorginho katikati inatulia, lakini Jorginho na Kante wakicheza huwa tunazidiwa
Hawana uwezo wa kudribo mipira. Hicho ndio Kova anawazidi. Kante na Jorginho wao ni watu wa kutoa pass tu walau kidogo Kante unaweza muona mara moja moja anakokota mpira na kwenda nao mbele lkn Jorginho yeye akipewa pass basi unakuta ameshajianda kutoa basi sehemu au km atakabwa atampa mwili adui kuulinda mpira kisha anatoa pass...Japo jana Kante hakuwa fit kwa sababu ya majeruhi ila combination ya Jorginho na Kante huwa haikubali sijui shida ni nini. Kovacic akicheza na Kante au Jorginho katikati inatulia, lakini Jorginho na Kante wakicheza huwa tunazidiwa
Ivi kaumia kweli au vipi jamani?Kutokuwepo kwa kovacic game ya city ni pengo kubwa sana
Ilitarajiwa hivyo kwasababu fc porto Ndiyo waliitaji matokeo zaidi to fightback..For sure. Jana poto wangekuwa makini na zile shambulizi zake basi tungeumia au tungebaki kushika viuno tu baada ya mechi[emoji23][emoji23][emoji23]. But yote kheri naamini kocha amelitazama hilo
Kutojua muda wanaocheza kaka zako ni utovu wa nidhamu.Ivi ni leo au kesho?[emoji23]
Tangia siku za nyuma huwa ipo hivo.Japo jana Kante hakuwa fit kwa sababu ya majeruhi ila combination ya Jorginho na Kante huwa haikubali sijui shida ni nini. Kovacic akicheza na Kante au Jorginho katikati inatulia, lakini Jorginho na Kante wakicheza huwa tunazidiwa
Angalia huyu takataka ..Leeds anakukalisha unakuja kupiga mboyoyo huku.Nyie tunawapiga goli 6
Chealsea kumfunga city ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano ...
Kama Leeds yenye watu pungufu inakufunga ..hawa Dortmund usiwachukulie poaNyie tunawapiga goli 6
Chealsea kumfunga city ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano ...
City hana nguvu ya kupambania makombe yote mwaka huu, mechi za Man U na Leeds inaonyesha jinsi City alivyoishiwa pumzi. Tutegemee city mechi za mwishoni atafungwa sana au droo sana na pia makombe kama UEFA na FA hataweza kupambania yote pamoja na EPL. Tumtegemee PEP akiweka kipaumbele zaidi kwenye EPL ili Man U asimkuteNyie tunawapiga goli 6
Chealsea kumfunga city ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano ...
Kutojua muda wanaocheza kaka zako ni utovu wa nidhamu.
Ilitarajiwa hivyo kwasababu fc porto Ndiyo waliitaji matokeo zaidi to fightback..
Ikumbukwe fc porto huwa hawatabiriki mpaka dakika 180..
Man utd ya Mzee Ferguson ilijiona Imemaliza kazi, waliposafiri hadi old Trafford 2nd leg kilichowakuta man utd waliadithia, ilikuwa ni fc porto ya Mourinho ikiwa na nyota wa South Africa mkata umeme aliyepeleka kilio Trafford Benny McCarthy.
Nyie tunawapiga goli 6
Chealsea kumfunga city ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano ...
😄 Ni noma ila fresh. Tukichukua kombe utajua kila kituMkuu wee nikumbushe tu manake nawaona kule midtable tu hata sijui mnacheza kombe gani[emoji23][emoji23]