Kai na Werner wanapaswa kupigwa sub. Jorginho pia naona hajatulia kati. Apigwe sub pia. Mbele hawakaina mipira kabisa!Chelsea hawachezi vizuri kama walivyocheza na Atletico Madrid. Makosa makosa mengi, Jorginho anacheza rafu na wachezaji wengi wanapoteza mipira hovyo japo wanamiliki mpira kwa 70% kama nilivyotabiri huko nyuma
Refa wenu huyu ila haina noma
Refa wenu huyu ila haina noma
Sawa na wewe subiri siku ya mechi yenu awe refu wenu
Porto 0 vs Chelsea 2
City vipi? Madrid?Fainali
PSG Vs Chelsea
Hatari sana. Nimeona wanavyocheza Chelsea wasingekuwa makini tungelala na viatu. Naamini kocha kaona atafanyia kazi.Chelsea game ijayo na Porto wanapaswa kucheza na viungo watatu. Maana kwa viungo wawili hawa Porto wanaweka marking kubwa sn kiasi wanashindwa kuchezesha mipira na inabidi Chelsea itumie sn kucheza pembeni.
Game ijayo Kante na Jorginho na Kovacic wote hawa waanze alafu Giroud na Meson Mount hawa wakae huko mbele tu.
Alafu huku nyuma wabaki hivyo hivyo km alivyo panga Leo maana Porto ktk game ijayo watakuja wakali sn na wana kasi na mbinu na movu za hatari.
Tafuta coment yangu niliyokoment siku hiyo. Mimi nilikubali matokeo na sikutowa lawama kwa mtu yeyote. Mpira ni mbinu mkuuMbona nyinyi mlivyopigwa tano mlisema refa ni wa West Brom?[emoji23] Mtuache Porto tutafute visingizio.
Wametusumbua snHatari sana. Nimeona wanavyocheza Chelsea wasingekuwa makini tungelala na viatu. Naamini kocha kaona atafanyia kazi.
But all in hongereni wanachelsea tumechez vizuri na tumeshinda
Mkuu hiyo 4 1 3 1 naamini umekosea.Wametusumbua sn
Yaani viungo wetu wa Leo walishindwa kufanya building up ya mashambulizi.
Maana jamaa walikua wanacheza 5+4+1
Lkn Hii 5+4+1 ilikuwa inajitega kimtindo.
Yaani wanakua 4+1+3+1
Hawa wanne wa nyuma walihakikisha Timo na Kai hawachezi kabisa na mipira haiwafikii.
Alafu huyo mmoja juu ya mabeki alihakikisha Mount hapo kati hafurukuti na ndio sbbu Mount alilazimika kua anatokea pembeni lkn sio nyuma ya Kai. Yaani hapo kati palikua pagumu.
Alafu hao watatu nao wakahakikisha Kovacic na Jorginho hawafanyi build up yoyote na muda wote waka wamekabwa huku striker ya Porto yule jamaa mweusi nae anarudi kuwasumbua kina Kovacic pamoja na beki zetu za kati.
Tumejikuta tunalazimishwa kucheza pembeni kwa kuwategemea kina James na Ben au kupiga pasi ndefu kutoka kwa Christiansen na Azpilicueta. Na ambazo hazikua nzuri.
Yaani Porto wametusumbua sn sema ni kwamba wamekosa umakini tu ktk kutumia nafasi zao maana wametengeneza nafasi nyingi na walistahili kupata magoli.
Kiukweli komenti ya hivyo haikua yako zilikua random comments zilizoandika hivyo.Tafuta coment yangu niliyokoment siku hiyo. Mimi nilikubali matokeo na sikutowa lawama kwa mtu yeyote. Mpira ni mbinu mkuu
Angalia coments kuanzia #83858Kiukweli komenti ya hivyo haikua yako zilikua random comments zilizoandika hivyo.