Barcelona hawawezi hata kumnunua Eric Garcia wa Mancity kwa milioni 2.7 je watamuweza Haaland wa mil 150? GOAL wadai kuwa huwezi kuamini ni kama sikukuu ya wajinga jana tarehe 1/4/2021 Raliola na baba yake na Haaland kwenda Camp Nou kujadili uuzwaji wa Haaland. Barcelona kwa sasa wanadaiwa zaidi ya Paundi bilioni 1 na ndio maana hizo story za Raliola na baba yake na Haaland kupokelewa Airport ili wakajadili ununuzi wa Haaland ni sawa na sikukuu ya wajinga
"Even accounting for further wage cuts, loan repayment deferrals to existing creditors, and the potential sale of unwanted players on massive salaries, Barca clearly need financial aid just to balance the books, let alone fund an expensive signing such as Haaland"
Hata mishahara ya wachezaji kwa muda sasa inalipwa kupitia mkopo wa Goldman Sachs