Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lampad baba lao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]


Stay away from kujinyonga, bado tunakuhitaji sana
Akiendelea kuwepo hapa Chelsea..mimi nitahamia rasimi Leicester.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
 
Acha unafiki kipindi kile sisi tunamponda Lampard kuwa hafai kuifundisha Chelsea, wewe na wenzako si ndio mlikuwa msitari wa mbele Kumtetea. Leo hii ndio umegundua hafai, toka Mwanzo nilikuwa nawambia LAMPARD hafai kuifundisha Chelsea mkaniona mm sijui mpira wengine mpaka mkaniita plastiki fan
 
Huu ndio uwezo wenu sasa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna unafiki, mwanzon ndio nilikuwa namtetea kutokana na hali iliyokuwepo ila kitu cha kujua mambo huwa yanabadilika, na si unafiki kutokana n mwenendo wa tim jinsi ulivyo

Hata leo hii lamps angekuwa anafanya vizuri wapo ambao wangempongeza japo huko mwanzo walimkataa,

Ushabiki wa mpira ni kama bendera vile, naweza leo nikasema hivi ila baada ya muda kupita nikaja kusema vingine kinyume na vile nilivyosema mwanzoni.
 

[emoji23][emoji23] naona bado mtamtafuta mchawi nani
 
IN FL WE TRUST
Lampard apewe muda, msimu uishe ndio tupige mahesabu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…