Lampard siyo coach aisei, tactically yuko hovyo mno, team psychologically iko down ameshindwa kujenga timu yenye tabia ya kupenda kushinda si kucheza mechi.Fulham RED card
Tushinde sasa
Fulham RED card
Tushinde sasa
Ngapi ngapi huko?
Lampard hana ubora wowote kuipa Chelsea, timu ni bora kuliko yeye. Ananufaika na timu kuliko timu inavyotakiwa kunufaika kwa ujumla timu ina mkochi badala ya yeye kuikochi.Tumeshinda ila hii tim ni kubwa kwa lampard
Nilikuwa na mtetea lampard ila kadri siku zinavyozidi kwenda hatuna mpira maalum tunaocheza
Kitu cha kuinusuru hii tim ili iwe inaweza kugombania ubingwa ni kumtimua lampard tu tofauti na hivyo itatumia hela nyingi kwenye usajili ila matokeo uwanjan yatakuwa ya kubahatisha hata tutakapokutana na magiant tutakuwa tunapigwa
Lampard hajui anafanya nini na ukiskia post n pree conference utaskia tu apewe muda blah blah nyingi
Kama kweli tunataka kuwa mabingwa lampard inabidi aondoke tofauti na hivyo tutaendelea kuwa tunapigania top 4 tu ila ubingwa tutauskilizia kwenye tundu la sindano
Ukiangalia msimu tunavyocheza tunacheza hovyo kuliko hata msim uliopitaLampard hana ubora wowote kuipa Chelsea, timu ni bora kuliko yeye. Ananufaika na timu kuliko timu inavyotakiwa kunufaika kwa ujumla timu ina mkochi badala ya yeye kuikochi.
Lampard kichwa maji hana mbinu yeyote ya kuifundisha Chelsea au kumwezesha kushinda game yeyote ngumu. Kiujumla sijui UVUMILIVU tunaupata wapi kubaki naye.Ukiangalia msimu tunavyocheza tunacheza hovyo kuliko hata msim uliopita
Msim uliopita atleast kuna kitu kilikuwa kinaonekana ila msim huu hakuna kitu yan tuna ruka ruka tu utasema mazoezini huwa anaenda kuchukua maudhurio
Duh ndo kasema au?🤔WERNER hana furaha anataka kuondoka dirisha la usajili kiangazi
Daagh n unahitajika uvumilivu kwelikweli😂 shida tunayoLampard kichwa maji hana mbinu yeyote ya kuifundisha Chelsea au kumwezesha kushinda game yeyote ngumu. Kiujumla sijui UVUMILIVU tunaupata wapi kubaki naye.
Sikwenda kabisa kuangalia mpira leo hii maana nilishajikatia tamaa na Lampard kujificha ktk kumiliki ball possession nyuma na katikati ya uwanja ilihalia mbele ni 0 kiufungaji na hata kimikakati ya kutafuta magoliDaagh n unahitajika uvumilivu kwelikweli[emoji23] shida tunayo
Nakushauri kesho asubuhi na mapema tukiamka salama/Mungu akipenda wahi siti yako ya mbele kabisa pale MLOGANZILA HOSPITAL ukatibiwe matatizo ya akili.Natabiri kuanzia Januari timu itarudi kwenye mkondo wa ushindi, ile nuksi ya akina Havertz, Werner, Mount kutofunga imetoweka hata kama iliyofungwa ni timu ndogo
Red card dkk 44 na bado FT ni 1-0, bado mnaendeleea kuwa na matumaini kwa Lampard kwa Chelsea fc?Fulham RED card
Tushinde sasa
Sasa kama anachezeshwa nafasi isiyo yake kiubora kufunga magoli unataka aendelee kubaki hapo Chelsea fc ili apoteze dira ya maisha yake? bora aondoke tu.WERNER hana furaha anataka kuondoka dirisha la usajili kiangazi
Labda Boss Abraham anadhani Lampard anaweza kuinufaisha Chelsea fc kupewa nafasi ya upendeleo kwa marefa inapocheza wakijua kuwa Muingereza ndiye anayeikochi Chelsea tokana na sababu za ugomvi wa UK & RUSSIALampard kichwa maji hana mbinu yeyote ya kuifundisha Chelsea au kumwezesha kushinda game yeyote ngumu. Kiujumla sijui UVUMILIVU tunaupata wapi kubaki naye.