Hapo ni BRENDAN RODGERS TUContenders to replace Frank Lampard
1. Thomas Tuchel
2. Brendan Rodgers
3. Andriy Shevchenko
4. Julian Nagelsmann
5. Massimiliano AllegriView attachment 1670144
Mason Mount ana offer vitu vingi Sana kuliko kua na assist tu kwa mimi Kati ya wachezaji wanaojituma kwa saizi pale kwetu basi siwezi kumuacha mount labda na kaka thiago na ben wengine wote Bado sijaonaKinachochekesha zaidi Mason Mount amecheza mechi nyingi sana kumzidi Kai Harvetz mnayemuita Flop lakini bado Kai amemzidi assists!!
Huyo mtoto hajui kupandisha mashambulizi, kazi yake kupiga square pass tuu , hajui kupiga pasi za mwisho, through balls ndio hajapiga hatamoja msimu huu, hivi kwanini anaanza game zote?
Kazi ya kiungo mshambuliaji ni nini katika mfumo wa Lampard kama mchezaji hajapiga through ball hata moja mpaka sasa! Huku assists zake nyingi zinatokana na mipira ya Kona ..
Lampard sio kocha at all
Umepataaaaaa.....Chelkengeeeeee!
Usiwe mjinga weweee! aseno kashinda mechi tatu tu ndio usema yuko moto?
Huo tunaita upepo wa kisurisuri utapita na watarudi walipo toka.
Subiri mechi ijayo utaamini maneno yangu.
Hapo ndipo ninapoanza kuwashangaa..Mason Mount ana offer vitu vingi Sana kuliko kua na assist tu kwa mimi Kati ya wachezaji wanaojituma kwa saizi pale kwetu basi siwezi kumuacha mount labda na kaka thiago na ben wengine wote Bado sijaona
Mount ana kaba anarudi chini pia anapandiaha timu ingawa kwenye assist tu anatakiwa ku ongeza juhudi tu ila ni mchezaji mzuri Sana pia ndio msimu wake wa pili Sasa full kwenye timu tiendelee jumla nafasi apate uzoefu zaidi
Ila kwa kai naona kabisa tumepigwa basi tu mtoto raini Sana yule kama mpemba vile yani [emoji16][emoji16]
Hapo namba 4 ndio sahihi.Contenders to replace Frank Lampard
1. Thomas Tuchel
2. Brendan Rodgers
3. Andriy Shevchenko
4. Julian Nagelsmann
5. Massimiliano AllegriView attachment 1670144
Hahahaha unasemaje mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkimleta kocha mwingine atahitaji muda for Reformation
Bora muendelee na lampard ambae yupo hatua za mwisho Chelsea kuwa invisible
Pia kocha mpya kutaka baadhi ya sajiri, coz kila kocha ana falsafa zake na mbinu zake
Anaweza akamkataa kai au Werner,
Mtu kama ollachugu ana comments kijinga kijinga ata team ya jumuiya hajawai ku-manage
Harudi aje akomboe jahazi
Mount ni mchezaji mzuri lakini anahitaji muda.Kinachochekesha zaidi Mason Mount amecheza mechi nyingi sana kumzidi Kai Harvetz mnayemuita Flop lakini bado Kai amemzidi assists!!
Huyo mtoto hajui kupandisha mashambulizi, kazi yake kupiga square pass tuu , hajui kupiga pasi za mwisho, through balls ndio hajapiga hatamoja msimu huu, hivi kwanini anaanza game zote?
Kazi ya kiungo mshambuliaji ni nini katika mfumo wa Lampard kama mchezaji hajapiga through ball hata moja mpaka sasa! Huku assists zake nyingi zinatokana na mipira ya Kona ..
Lampard sio kocha at all
Tangu lini Mount kacheza no. 10? na Pulisic au Werner anacheza namba ipi?Hapo ndipo ninapoanza kuwashangaa..
Mason Mount anacheza kama namba 10 almost mechi zote na kimsingi hana uwezo wa kupiga assists au through balls, nitajie wewe kazi ya kiungo namba 10 ni ipi kama mchezaji hawezi kutoa assists wala kucreate chances !!
Hivi ulishawahi kusikia kiungo namba 10 anasifiwa kukaba!! Kama Mason Mount mnamsifia kwa kukaba kazi ya Ngolo kante ni ipi sasa wakuu!!