Hata yeye hamtetei kwa sasa. Hakuna shabiki mwenye akili duniani atamtetea mchezaji asiyeleta raha hata kama ni baba au mama au mjomba. Abraham anahitaji kujifunza kwa kupewa muda mdogo, aongezewe muda jinsi anavyoimprove. Kama haimprove apigwe benchiTunaiita perfect hattrick hapa namsubili Southern Highland huyu anamtetea Sana Abraham anampenda kweli kweli Leo sijui atasemaje?
Lampand anaujinga fulanina anajichekesha tuKwan alichokionyesha giroud leo Ni kusahihisha makosa ya Tammy yote, Sasa sijui lampard amejifunza kitu au vip?
Jana Giroud kafanya makusudi
Maana yake anaweza kufunga kwa pande zote, viungo vyote
- Goli la kwanza guu la kushoto
- Goli la pili guu la kulia
- goli la tatu kichwa safi hadi Lampard akacheka kupita maelezo
Keppa tulipigwa hamna goalkeeper hapoDaah watu hata hawana habari na Keppa
So kovacic azpi na mendy kwako huwaamn coz nao wameanza leo piaTusipofushwe na matokeo haya, bado akina Christensen, Emerson sio wa kuamini kwenye defense. Hata misimu iliyopita walikuwa na inconsistency kama hiii hiii.
Pili Jorginho bado second half syndrome ya kuchoka na kupwaya anayo na sidhani kama imemtoka
Kwa maoni haya kwenye first team ambaye nina uhakika atafanya vizuri wa kwanza ni Giroud tu katika timu iliyocheza leo
Mkuu hii comment ilibidi ije ile siku ya mechi na Spurs lakini pamoja na ivyo niliongea kuhusu huyu dogo siku ileile. Kitu ambacho hukujui mimi simchukii Giroud kama ambavyo unadhani na nilishasema Giroud is far way better than Tammy ila Lampard anampa nafasi dogo kwa sababu ya long term plan na kwa hilo huwezi kumlaumu Lampard. Kilichotokea game na Spurs dogo anastahili kupunguziwa playing time ili ajifunze kama alivyowahi kufanya kwa Alonso, Rudiger, Christensen na kadhalika.Tunaiita perfect hattrick hapa namsubili Southern Highland huyu anamtetea Sana Abraham anampenda kweli kweli Leo sijui atasemaje?
Hao tayari wapo, mimi nawazungumzia wale ambao sio regular starter ndg. Kizungumkuti ipo kwa Azpi kwa sababu azpi ni mzuri na Reece ni mzuriSo kovacic azpi na mendy kwako huwaamn coz nao wameanza leo pia
Mkuu hakuna mechi hatuhitaji point 3 au ushindi kila mechi ni muhimu ilakwa alichokifanya Tammy dhidi ya Spurs anastahili kupewa adhabu ya bench na kutokea sub. Mech na Spurs hata mimi nilisema alistahili kuanza Giroud.Sawa Mkuu hatukatai Tammy apewe long playing time lakini kuna baadhi ya mechi kubwa na muhimu hastahili kuanza 1st eleven atokee benchi.
Mechi kama ile ya tote alihitajika experienced striker like Giroud, mechi zote zilizobaki ndogo ndogo Tammy apangwe mpaka akinai mwenyewe.
Ila zile mechi kubwa na ngumu tunazotaka point 3 muhimu Lampard awe serious kumpanga Giroud
Nazungumzia consistency, na nimeliweka hilo neno makusudi. Walicheza jana vizuri jana, kesho utashangaa wakaboronga. Na sikuzungumzia wachezaji wote niliwataja specifically Christensen na Emerson. Mashabiki wote wa Chelsea wanawajua sio wachezaji wenye consistencyTusiwaamini kivipi? Wachezaji mabeki wanapotoa clean sheet wapongezwe. Lampard amewaamini watatoa clean sheet na kushinda mechi ndio maana akawapanga. Tuache kulaumu kila kitu. Tulaumu jambo kwa wakati sahihi.
Tungekuwa tumeshinda 4-3 hapo tungewanyooshea kidole Emerson na Christensen. Tuwapongeze kwa clean sheet
Kocha wa hovyo kabisa hakuna alichojifunza, ana chuki na Giroud.Kwan alichokionyesha giroud leo Ni kusahihisha makosa ya Tammy yote, Sasa sijui lampard amejifunza kitu au vip?
Ila sidhani kama ni Long term plan. Nadhani kocha wetu ana u England fulani haujamtoka. Nadhani kuna kipindi anajisahau kudhani ni kocha wa Timu ya Uingereza.Mkuu hii comment ilibidi ije ile siku ya mechi na Spurs lakini pamoja na ivyo niliongea kuhusu huyu dogo siku ileile. Kitu ambacho hukujui mimi simchukii Giroud kama ambavyo unadhani na nilishasema Giroud is far way better than Tammy ila Lampard anampa nafasi dogo kwa sababu ya long term plan na kwa hilo huwezi kumlaumu Lampard. Kilichotokea game na Spurs dogo anastahili kupunguziwa playing time ili ajifunze kama alivyowahi kufanya kwa Alonso, Rudiger, Christensen na kadhalika.
Kinachonikwaza kwenu ni kumdharau kabisa na wakati dogo kajitahidi msimu uliopita pamoja na mapungufu yake lakini ndio top score hatukupasa kumtreat namna ile ni pamoja na uchanga na pressure alokua nayo.
Anachuki na Giroud ndio maana akamchezesha jana πππKocha wa hovyo kabisa hakuna alichojifunza, ana chuki na Giroud.
Mkuu kumbuka kuna Timo WernerYaani jmosi asipo mwanzisha giroud kwenye game na Leeds itakuwa violence against sports
Unachosema ni sahihi kabisa ni lazima kikosi cha kwanza kiwe Gold cha pili TanzaniteIla sidhani kama ni Long term plan. Nadhani kocha wetu ana u England fulani haujamtoka. Nadhani kuna kipindi anajisahau kudhani ni kocha wa Timu ya Uingereza.
Kuna kipindi unaona kabisa unahitaji mabadiliko lakini bado kocha kauchuna kama hamna kinachoendelea. Tammy kupewa muda sawa, lakini sio kiasi cha kuathiri ushindi. Mechi ya Spurs haikuwa ya kufanya majaribio au build up.
Nadhani mechi ya jana imeonesha umuhimu wa kuwa na vikosi viwili vya kwanza.
Timo anauwezo wakutokea pembeniMkuu kumbuka kuna Timo Werner