Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,052
- 27,455
Shida yako ww huelewi nachokimaanisha. Nimesema tutaanza kuwasema Villa pengine baada ya nusu ya mechi 38 aiyo sasa. Kwangu mimi bado atakua relegator mpaka hapo baada ya mechi 19-20 kama atakua ivi ivi nitabadili mawazo.Wewe sheikh Yahya? Leicester walisemaga hivihivi mwisho akautwaa ubingwa, soka halipo hivyo,
Ubishi ubishi
Hicho unachotumia kufikiria ndio kinakufanya usielewe,We jamaaa ujielewi mbona hoja haieleweki unasimamia Nini?
Pulisic ndio kwanza ana miaka 20 mkuu wakati Son ana zaidi ya miaka mitatu kwenye premier League . Tumpe dogo muda tu atakua wa moto kama au zaidi ya son.Sijasema ni mchezaji mbaya ila kumlinganisha na Son ni kumdhalilisha Son
Huyo Pulisic hata awe fit asilimia mia hawezi kumfikia Son, msijidanganye
Sidhani kama issue ni ugumu wa mifupa, unapopata injury haina maana mfupa umevunjika. Issue hapa kuna wachezaji hawana techniques za kukwepa injury, Pulisic akiwa ni mmoja wao. Kocha ndio kazi yake kuwapa mbinu wachezaji wasipate unneceesary injuries. Lampard kashasema atamsaidia Pulisic ili injuries zipungueNafasi anayocheza Pulisic na aina yake ya uchezaji kuforce kukatiza ngome za adui lazima ale makwanja mengi.
Hazard alikuwa anakula mabuti lakini miguu na mifupa yake iko very strong compaired na Pulisic.
Jack Grelish wa Villa anakula mabuti sana mifupa yake iko strong sana.
Labda Pulisic abadilishe style yake ya uchezaji la sivyo kwa mabeki wa EPL atalazwa sana Hospital
Kante sasa hivi amepona. Asichezeshwe tena attacking Mildfilder walikuwa wanagonga sana miguu. Akicheza DM yeye ndio anapiga mabuti.
-Lakini sio issue ya mifupa point yangu ya msingi ni hapoPulisic akichezewa rafu anazochezewa Grelish si atakufa. Pulisic anakwepa injury kwa kasi ya ukimbiaji, akipunguza kasi amekwisha. Hazard alikuwa anamiliki mpira, piga buti unavyoweza anasonga mbele.
Pulisic kupunguza injury ni kucheza na space ambazo ziko wazi.
Nakuunga mkono,Pulisic ndio kwanza ana miaka 20 mkuu wakati Son ana zaidi ya miaka mitatu kwenye premier League . Tumpe dogo muda tu atakua wa moto kama au zaidi ya son.
Huyu jack anagongwa buti si mchezo, lembu anakwambia umefufukia ktk intaneshino breki. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pulisic akichezewa rafu anazochezewa Grelish si atakufa. Pulisic anakwepa injury kwa kasi ya ukimbiaji, akipunguza kasi amekwisha. Hazard alikuwa anamiliki mpira, piga buti unavyoweza anasonga mbele.
Pulisic kupunguza injury ni kucheza na space ambazo ziko wazi.
wivu mbaya aiseeSijasema ni mchezaji mbaya ila kumlinganisha na Son ni kumdhalilisha Son
Huyo Pulisic hata awe fit asilimia mia hawezi kumfikia Son, msijidanganye
Mkuu ungemtaja na Aston Vila pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kwani zile 7 zilikuwa za msimu uliopita?
Liverpool 2 Vs Aston Villa 7
Arsenal 0 vs Aston Villa 3
Aston villa ni kiboko wa Liverpool na Arsenal kawatandika kule kule kwako bila huruma
Wivu ndio nini, hebu toa akili zenu mbovmbovu, inatakiwa uwe kichaa wa kiwango ili ukomae kusema pulisic ni zaidi ya Sonwivu mbaya aisee
Halafu kiuzoefu usimlinganishe Pulisic na Grealish na vitu viwili tofauti, mmoja ana umri mkubwa na uzoefu kwenye EPL na football kwa ujumla. Grealish ana miaka 25Pulisic anajifunza mbinu zote bado. Muache hizo comparison zisizotakiwa.Pulisic akichezewa rafu anazochezewa Grelish si atakufa. Pulisic anakwepa injury kwa kasi ya ukimbiaji, akipunguza kasi amekwisha. Hazard alikuwa anamiliki mpira, piga buti unavyoweza anasonga mbele. Pulisic kupunguza injury ni kucheza na space ambazo ziko wazi.
Huyu pulisic injury tu zinamzingua ila ni mchezaji hatari .....msimu uliopita tu alicheza mechi chache zaidi ya son lkn akatoka na goli 9 na huyo son aliyecheza mechi nyingi zaidi akiwa fit katoka na goli 11 .mi ningemuona hatari zaidi km angetoka na 15+ huko...so kusema huyu ni hatari zaidi ya wenzake baina ya hawa wawili nakataa kabisaWivu ndio nini, hebu toa akili zenu mbovmbovu, inatakiwa uwe kichaa wa kiwango ili ukomae kusema pulisic ni zaidi ya Son
Mkuu pulisic kakichafua sana huko akiwa na miaka 18 na kina dembele wa barca enzi hizo wako dortmund ...kashacheza sana uefa ana uzoefu wa champions league kuliko hata grealish iweje useme hana uzoefu ktk football kwa ujumla.....huyu grealish labda kamzidi uzoefu championship au labda alicheza EPL na timu nyingine m sijuiLiverpool
Halafu kiuzoefu usimlinganishe Pulisic na Grealish na vitu viwili tofauti, mmoja ana umri mkubwa na uzoefu kwenye EPL na football kwa ujumla. Grealish ana miaka 25Pulisic anajifunza mbinu zote bado. Muache hizo comparison zisizotakiwa.
Wapi nimefokeaAcha kufokea comment yangu.