Jumamosi tuko na Man United. Timu tuliyonayo sio pana na ni lazima baadhi ya wachezaji wapumzishwe, Kwanza Kante kucheza ilikuwa ni ku-risk. Group stage ina mechi 6 kuna room kubwa ya kupata points za kutosha kushika nafasi ya kwanza au ya pili. Kwa hiyo naombeni shime tunzeni hisia na hasira zenuUnampiga bench azplicueta mtu anaepush timu kisa James kweli?
Huwezi kumlinganishga hata kidogo kipa na Mchezaji wa ndani ya uwanja. Makipa wanadaka hata wakiwa zaidi ya 40Wakati Arsenal wamemtema Ozil kwenye squad, Chelsea wamefanya hiki [emoji1541]View attachment 1606988
Halaf kingine wanachoshindwa kuelewa issue ya ozil ni tofautiHuwezi kumlinganishga hata kidogo kipa na Mchezaji wa ndani ya uwanja. Makipa wanadaka hata wakiwa zaidi ya 40
Akikujibu nitagKwa nini team zinapopata injury ya magk kwa nini wasitumie hao from U18,U21 na badala yake huwa wanaenda kunua kipa mwingine
Mninu ndio kitu gani mzee? RelaxSioni mninu zozote zaidi tu ya uwezo wa wachezaji alafu upuuzi mwingine anaweza kuufanya nikumbakisha jorginho naona muda si mrefu atakula red card Pulisic anamchezesha out of position ilamradi mtoto wake mpendwa acheze
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu fala alifungisha magoli ya kizembe kule baku, akikanyaga nyasi tena wamtoe kichwa hkoKajumlishwa kama kipa wa dharura endapo ikitokea makipa wote wa 3 wamepata maambukizi ya corona kwa wakati mmoja au kwa kutofautiana siku chache, hapo ndipo tutamuona cech
Na yeye ajiweke kabisa maana karavati hatumwelewi,Haitowezekana, coz nafasi yake wamesema ni kama emergency cover ndio maana lamps amesema hategemei kumuona cech akicheza ila kutokana na hali ilivyo ya corona wameamua kumjumuisha tu endapo atakapohitajika atacheza ikiwa tu magk wote wanaumwa/majeruhi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hawawezi kukuelewa, maana kocha wao nae anasema karavati akizingua anaingia mwenyeweNa kwako unaona kama ni jambo la kawaida [emoji23], au unataka watu wachukulie ni kawaida [emoji2379]
Hapa tunaongelea technical director ujue,
Emergency could be U23, U21, U18... Why Technical Director [emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hawawezi kukuelewa, maana kocha wao nae anasema karavati akizingua anaingia mwenyewe
Sasa kwahiyo na nyinyi mkaamua kusajiri TD akadake? [emoji23] [emoji23] Kwanini usikubali tu kuwa makipa yenu ni magarasa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cech kasema hayafundishiki, inabidi adake mwenyewe...Kwa nini team zinapopata injury ya magk kwa nini wasitumie hao from U18,U21 na badala yake huwa wanaenda kunua kipa mwingine
Mendy Ni garasa?Sasa kwahiyo na nyinyi mkaamua kusajiri TD akadake? [emoji23] [emoji23] Kwanini usikubali tu kuwa makipa yenu ni magarasa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cech kasema hayafundishiki, inabidi adake mwenyewe...
Mkuu hii ya ozil hebu iweke vizur mkuu ozil alifanyeje china [emoji630]..?Halaf kingine wanachoshindwa kuelewa issue ya ozil ni tofauti
Ozil issue yake kubwa ni ile ya china juu ya mauaji yalikuwa yanafanyika, na hii kitu imeigharim tim kisoko kama mtu anajua asia ndipo hela ilipo
Hatukatai vijana ila vijana wote huazia Beach wanaingia kwa mfumo taratibu yye anawaingiza wote vuuuuuhh afukuzwa tu hajui kugungisha yule alitakiwa uzurule kwanza ndio aje darajan muda wake ulikuwa bado tumemuwaisha kuku ile halafu inazingua sanUnampiga bench azplicueta mtu anaepush timu kisa James kweli?
Mkuuu hata kusiwe na injury kocha ni zwazwaGood news
Chelsea tuna injury moja tu ambaye ni Bill Gilmour naye anarudi tar 21/11/2020
Pitia hiyo linkMkuu hii ya ozil hebu iweke vizur mkuu ozil alifanyeje china [emoji630]..?
Kwanini Christensen kwenye mabano umeweka homegrown wakati yule Ni mdemmakiChelsea's Premier League squad
GK:
Backline:
- Edouard Mendy,
- Kepa Arrizabalaga,
- Willy Caballero,
- Petr Cech.
RB
CB
- Reece James (U21),
- Cesar Azpilicueta,
LB
- Thiago Silva,
- Kurt Zouma,
- Andreas Christensen (homegrown),
- Fikayo Tomori (homegrown),
- Antonio Rudiger,
Midfielders:
- Ben Chilwell (homegrown),
- Marcos Alonso,
- Emerson Palmieri.
DM
CM
- N'Golo Kante,
- Jorginho,
CAM/AM
- Mateo Kovacic,
- Billy Gilmour (U21),
Forwards:
- Mason Mount (U21),
- Kai Havertz (U21),
RW
LW
- Hakim Ziyech.
- Callum Hudson-Odoi (U21)),
ST
- Christian Pulisic,
- Timo Werner
- Tammy Abraham (homegrown)
- Olivier Giroud
Kwa sababu kacheza kwenye academy kwa zaid ya mism 3 kabla hajatimiza miaka 21Kwanini Christensen kwenye mabano umeweka homegrown wakati yule Ni mdemmaki