Msimu uliopitaWerner na Kai waje hajawahi kutumia 4-3-3
Daah kumkosa Mendy kesho ni changamoto bado. Hata Silva sina uhakika keshoKESHO NAPENDEKEZA HII LINE-UP
View attachment 1605122
Mendy,silva wote leo wamefanya mazoeziDaah kumkosa Mendy kesho ni changamoto bado. Hata Silva sina uhakika kesho
Hapa ws kupumzishwa huenda akawa jorginho,Kuna wanaosema Ziyech bado atatokea benchi, Ngolo Kante atapumzishwa na Azpilicueta
Kwa hiyo Predicted Line Up dhidi ya Sevilla itakuwa hivi
Kante anapumzishwa vipi na Azpi?Kuna wanaosema Ziyech bado atatokea benchi, Ngolo Kante atapumzishwa na Azpilicueta
Kwa hiyo Predicted Line Up dhidi ya Sevilla itakuwa hivi
Kufanya mazoezi siyo tiketi ya kucheza ila kama yupo fit aanze tusifanye majaribio mechi ya nyumbani ushindi muhimu. Sevilla mgumu sana kwakeMendy,silva wote leo wamefanya mazoezi
Silva hakuwa injury alipumzishwa kwa sababu ya safar ndefu aliyokuwa nayo kutoka national team
Kesho tutegemee kumuona
Wasi wasi upo kwa mendy tu
Hapo goalini akae yoyote naona una ugomvi na mashabiki wa Chelsea ila overall maoni yako Ni mazuri.Kwa namna chelsea mnaruhusu magoli naona kazi mnayo leo.
Asipocheza Thiago backline yote itakua na shughuli pevu. Golini akae yeyote tu, ishu ni akosekane beki mzoefu wa kupanga wenzake itakua mwendo wa forward zinascore beki zinaachia.
Hapo sijaandika kinafiki.Hapo goalini akae yoyote naona una ugomvi na mashabiki wa Chelsea ila overall maoni yako Ni mazuri.
Naona ujanielewa ukisema golini unamaanisha hapo nafasi ya kipa sio beki kwahiyo unamaanisha acheze kipa yoyote ndio maana nikakuambia una ugomvi na mashabiki wa ChelseaHapo sijaandika kinafiki.
Nimemuona zouma alivyocheza na thiago na zouma ambaye siku zingine hana muongozo. Hata juzi hakua na muongozo pia.
Kumbuka Thiago hakuwa injury bali sababu ya kukosa mchezo wa soton nikutokana na safari ndefu aliyekuwa nayo wakat anarudiKufanya mazoezi siyo tiketi ya kucheza ila kama yupo fit aanze tusifanye majaribio mechi ya nyumbani ushindi muhimu. Sevilla mgumu sana kwake
Anhaa basi pamoja.Naona ujanielewa ukisema golini unamaanisha hapo nafasi ya kipa sio beki kwahiyo unamaanisha acheze kipa yoyote ndio maana nikakuambia una ugomvi na mashabiki wa Chelsea
Kuna tetesi Eduardo Mendy amepona so Kama atacheza Chelsea itakuwa solid ukichanganya Silva + Zouma basi itakuwa 🔥 tofauti na hapo Hali itakuwa ngumuAnhaa basi pamoja.
Ila mi nasema mechi ya leo jumla ya magoli ni 3+
Shida lampard ndio tatzo silv eti kachoka kweli ndio asicheze kapimzka kwan wote wa Brazil [emoji1054] hawachezi kocha wetu mpka leo ana TEST MITAMBOPulisic-Werner-Ziyech
Chilwell--Kai-Kante-James
Zouma-Silva-Cesar
-Caballero/Mendy
Kama anapanga hivyo inaweza kutusaidia kusecure ushindi nyumbani.
Silva siyo kuchoka hajafanya mazoezi na timu so hakuana match fitness labda leo ndio tunaweza kumuona tena uwanjaniShida lampard ndio tatzo silv eti kachoka kweli ndio asicheze kapimzka kwan wote wa Brazil [emoji1054] hawachezi kocha wetu mpka leo ana TEST MITAMBO