Katika research hizo ni anomalies ndogo sana na hazitaaffect general results. Watu wanaofuata timu ambazo aio zao ni wachache mno na wasoio na msimamo kama weweHoja yako ni nini hapo? Mbona hueleweki unasimamia wapi? Unakumbuka mfano huu muliukataa[emoji1787][emoji1787]kipindi tunajadili masuala ya fan base! Mliposema chelsea ina mashabiki wengi kuliko Arsenal na mukitumia kigezo cha mitandao ya kijamii!
Nikakataa kwasababu hata mimi nimeifollow Chelsea, Liverpool, na Manchester united lengo likiwa ni kupata habari japo sishabikii timu hizo, lakini nimeongeza idadi ya followers,
Hoja hizi zina madhaifu
Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Magwaya kawauza dakika ya 30, Beki ghali anafuata nyayo za KEPAMason Mount kaanza kwenye kikosi cha England dhida ya Denmark ambayo hata Christensen naye kaanza.
Jorginho naye kaanza kikosi cha Italy
Kawachoma wenzake wameshindwa kupata hata sareMagwaya kawauza dakika ya 30, Beki ghali anafuata nyayo za KEPA
Sasa kwa nini meshabiki wa Arsenal hamtaki kufollow account za timu yenu kwenye mitandao?Hoja yako ni nini hapo? Mbona hueleweki unasimamia wapi? Unakumbuka mfano huu muliukataa[emoji1787][emoji1787]kipindi tunajadili masuala ya fan base! Mliposema chelsea ina mashabiki wengi kuliko Arsenal na mukitumia kigezo cha mitandao ya kijamii!
Nikakataa kwasababu hata mimi nimeifollow Chelsea, Liverpool, na Manchester united lengo likiwa ni kupata habari japo sishabikii timu hizo, lakini nimeongeza idadi ya followers,
Hoja hizi zina madhaifu
Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Hizi mada huwa wanakimbia wenyeweKatika research hizo ni anomalies ndogo sana na hazitaaffect general results. Watu wanaofuata timu ambazo aio zao ni wachache mno na wasoio na msimamo kama wewe
Njia pekee reliable ya kuestimate fanbase ya timu duniani ni social media nothing else. Ukija na njia nyingine rahisi na reliable zaidi ya hiyo nitafunga domno langu kabisa
Ni sababu ndogo kwako labda, then sababu gani inakufanya useme mimi sina msimamo? Kwahiyo mimi kama ni shabiki wa Arsenal siwezi kuifollow official account ya Barcelona kwa lengo la kuhabarika kisoka?[emoji848]Katika research hizo ni anomalies ndogo sana na hazitaaffect general results. Watu wanaofuata timu ambazo aio zao ni wachache mno na wasoio na msimamo kama wewe
Njia pekee reliable ya kuestimate fanbase ya timu duniani ni social media nothing else. Ukija na njia nyingine rahisi na reliable zaidi ya hiyo nitafunga domno langu kabisa
Wewe mwenyewe msimamo huna[emoji1787], kwa mujibu wa lembu maana umejirundikia mijezi ya kila aina[emoji23],Hizi mada huwa wanakimbia wenyewe
Hizo ni personal interest mzee, mwingine sio mdau kabisa social networks,Sasa kwa nini meshabiki wa Arsenal hamtaki kufollow account za timu yenu kwenye mitandao?
@lembu soma hii comment ya nduguyo kisha ulinganishe na unachokiteteaWewe ndugu utakua mshamba sana. Labda ni kwambie kwa ufupi nina jezi ya Chelsea, Everton, Leicester, Liver, Yanga, Roma, Madrid. Jiulize tuko wangapi tunaonunua jezi tofauti tofauti kama mimi.
Hizi mada za mashabiki tukianzisha huwa mnakimbia wenyewe pamoja na kuwaletea sources zote. Inatosha mimi nimechoka
Majibu ni kwamba manunuzi ya jersey haiashirii ndio una mashabiki wengi. Ila swala mitandao ni linaingia kupima fanbase ya club kwa saba mitandao ipo mingi Instagram, Twitter, Facebook kwanini Madrid iongoze kuwa na followers wengi kuliko club nyingine?@lembu soma hii comment ya nduguyo kisha ulinganishe na unachokitetea
Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Ni sawa na kusema Juma Nature, AY, FA wana mashabiki wengi kuliko Diamond eti kisa Diamond kaibuka kipindi ambacho kuna SN. Hao kina FA na AY mpaka sasa si wanafanya muziki kwa nini nawao wasifikie level alizonazo Diamond? Jibu unalokuja kupata kwasasa watu wanatazama current issue watu wanataka kuona kwa sasa unafanya nini na ndicho kinachompa Diamond mashabiki wengi lakini haiondoi ukweli kuwa kabla yake walikuwepo wenzake wakang'ra na sasa ni wakati wake.Hizo ni personal interest mzee, mwingine sio mdau kabisa social networks,
Na ikumbukwe hizi social networks zimekuja miaka ya hivi karibuni,
ulishawahi jiuliza hapo kabla walitumia vigezo/njia gani kukusanya hizo sampuli?
Ulishhajiuliza kwanini Liverpool wana wafuasi wachache katika SN kuliko chelsea japo kulinganisha hizi timu ni mbingu na ardhi[emoji1787] si kwa ukubwa wa klabu kimafanikio wala ukongwe,
JIBU: chelsea ni timu ndogo iliyochipuka zama za Instagram na Facebook na ndio maana wafuasi wake wengi ni wa nyakati hizi, washabiki wake wengi ni wadau wa hiyo SN,
Baba yangu, uncle zangu 99% ni washabiki wa liver, man na arsenal kidogo na sio watumiaji wa SN.....
Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Tofauti kabisa[emoji1787][emoji1787], hao unaouzungumzia kina Juma Nature, FA, AY wanafanya mziki serious? Wengi wamejikita katika shughuli nyingine tofauti zinazowaingizia vipato na muziki wanafanya for fan au ku-maintain popularity inayofanya wasisahaulike ktk jamii,Ni sawa na kusema Juma Nature, AY, FA wana mashabiki wengi kuliko Diamond eti kisa Diamond kaibuka kipindi ambacho kuna SN. Hao kina FA na AY mpaka sasa si wanafanya muziki kwa nini nawao wasifikie level alizonazo Diamond? Jibu unalokuja kupata kwasasa watu wanatazama current issue watu wanataka kuona kwa sasa unafanya nini na ndicho kinachompa Diamond mashabiki wengi lakini haiondoi ukweli kuwa kabla yake walikuwepo wenzake wakang'ra na sasa ni wakati wake.
Ukizungumzia wazee kwan hao wapo kwenye hizo timu zenu pekee?
Sasa si ndio sawa na nyie Arsenal siwaoni kama mpo serious na mpira mpo mpo tu nadhani mna shughuli nyingine mmejikita nazo halafu leo hii unataka ufananishe na sisi.Tofauti kabisa[emoji1787][emoji1787], hao unaouzungumzia kina Juma Nature, FA, AY wanafanya mziki serious? Wengi wamejikita katika shughuli nyingine tofauti zinazowaingizia vipato na muziki wanafanya for fan au ku-maintain popularity inayofanya wasisahaulike ktk jamii,
Huwezi fananisha diamond na prof J kimuziki kwa sasa, au Sugu na Country boy tofauti yao hao wengine wanafanya mziki kazi ila wengine wanafanya mziki burudani,
Kama utaorodhesha nyimbo ambazo hao kina AY wamezitoa mwaka huu sawa, kama ni kinyume na hivyo basi mfano wako ni batili,
Maana hizo timu zipo katika ushindani kwa generations,
Alafu usifananishe muziki na soka, mfano Simba na Yanga zipo enzi na enzi toka kipindi cha kina Marijani Rajab wamepita wengi sana na kupotea katika ramani, mpaka leo kuna kina Zuchu lakini Simba na yanga hazijawahi kutetereka.
Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Uachage bangeSasa si ndio sawa na nyie Arsenal siwaoni kama mpo serious na mpira mpo mpo tu nadhani mna shughuli nyingine mmejikita nazo halafu leo hii unataka ufananishe na sisi.
Kwa anavyoonekana kiumri huyo lazima atakuwa Dully Jr akipandisha mashetani baada ya bangi kumuingia kisawasawa
🤣🤣🤣🤣🤣Kwa anavyoonekana kiumri huyo lazima atakuwa Dully Jr akipandisha mashetani baada ya bangi kumuingia kisawasawa
We arsenyeto jiandae kesho kipigo ha kikwepekiTunasikitika kutokuwepo kwa wachezaji wetu tegemezi kama Djenepo na Armstrong kwenye jeshi la So'ton kesho.
Ila sio mbaya, bado tunalo jambo letu kesho, tunawashikisha ukuta hapo hapo kidarajani
Muulize nilichomfanya mara ya mwisho huyo City, hawezi kuelezea..We arsenyeto jiandae kesho kipigo ha kikwepeki