Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakuna mshabiki atakae sema drogba au henry kuwa mmoja wapo ni mchezaji bora kywahi kutokea epl

Yoyote atakae sema hvyo bas huyo hajui mpira kbsa..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe nae unajua mpira? Bas sawa
 
[emoji23] Just a greetings to his neighbour..... Nyie
Your browser is not able to display this video.
 
Hehehe jezi ya Arsenal ilishika nafasi ya kwanza kwa mauzo mwezi uliopita. Kabla ya Arsenal kushika namba 1 iliyokua namba 1 ni liva nyinyi plastic fans labd mpo wengi ila hata kununua jezi hamuwezi.
Wewe ndugu utakua mshamba sana. Labda ni kwambie kwa ufupi nina jezi ya Chelsea, Everton, Leicester, Liver, Yanga, Roma, Madrid. Jiulize tuko wangapi tunaonunua jezi tofauti tofauti kama mimi.

Hizi mada za mashabiki tukianzisha huwa mnakimbia wenyewe pamoja na kuwaletea sources zote. Inatosha mimi nimechoka
 
Wewe ni kituko yan unajitekenya na unacheka mwenyewe. Hayo maneno yako wenyewe angekua amesema shabiki wa Chelsea sawa.

Yan unajitengenezea kastori basi tu ilimradi ujichangamshe. Umekosa kazi blaza.
 
Hahaha na ushamba tena boss?
 
Wewe ni kituko yan unajitekenya na unacheka mwenyewe. Hayo maneno yako wenyewe angekua amesema shabiki wa Chelsea sawa.

Yan unajitengenezea kastori basi tu ilimradi ujichangamshe. Umekosa kazi blaza.
Also as a bonus. Henry amekua kwenye kikosi kilichochukua kombe bila kupoteza hata mechi moja.
 
2nd paragraph. Nilidhani ni mlinganyo akiwa Arsenal peke yake.
Hahaha acha bwana kumbe ndiyo nnachojivunia
 
2nd paragraph. Nilidhani ni mlinganyo akiwa Arsenal peke yake.
Hii comparison imeenda mpaka levo ya kimataifa. Wote wamecheza levo ya kimataifa. Na kwakua wote walienda UCL na kuchukua ndiyo maana ikawa included. Kama unahisi Drogba kaonewa ruhusu tupretend Henry hajachukua UCL
 
[emoji23][emoji23] pretend wewe basi maana Drogba ana EPL 4 Henry anazo 2 naona hili hili hukuliona katika comparison zako.

Tupretend wote(mimi na wewe) Drogba anazo 2 nayeye hizo 2 nyingine pretend ni za kuokota. Naomba tusizungumzie FA Cup tupretend walikua hawashiriki [emoji1787][emoji1787]
 
Hadi mwezi July 2020 hizi timu 5 bora ndizo zinazoongoza kwa mashabiki duniani , kama timu yako haipo hapo kachongeni midoli itaongeza namba
  1. Real Madrid – 225m​

  2. Barcelona – 217m​

  3. Manchester United – 127.5m​

  4. Juventus – 83.8m​

  5. Chelsea – 82.2m​

Lazima watakuja kupinga
 
Germany Vs Swiss katika kikosi cha kwanza wameanza Timo, Kai na Rudiger

Huku Spain naona leo Keppa kaanzia benchi De Gea kaanza.
 
Mashabiki wa arsenal watabisha
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…