John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Labda atumike kama back up ya winger za Julia coz michuano mingi labda atumike game za mwanzo za FA carabao n.kMosses mkopo wake umeisha Inter amerudi darajani, je atapata namba mbele ya James?
Wale Ac Milan wamemsajili Sandro Tonali sioni dalili za wao kumsajili tena Bakayoko labda wamchukue kwa mkopo.Deal la BAKAYOKO kuuzwa Ac Milan limefikia wapi?
Sioni Victor Mosses akipata nafasi yoyote kwa Lampard kutokana aina ya uchezaji mpira wa Lamps kwa Mosses itakua kazi sana. Alipata namba kwa Conte coz mfumo wa 3-5-2 ndio ulimfavor sana na ndio ulitupa ubingwa chini ya Conte. Sasa Lampard yeye huwa anapenda sana mabeki wa pembeni waanzie chini ndio maana hata Alonso tunamuona mzigo anapata shida sana kwa Lampard.Mosses mkopo wake umeisha Inter amerudi darajani, je atapata namba mbele ya James?
Labda atumike kama back up ya winger za Julia coz michuano mingi labda atumike game za mwanzo za FA carabao n.k
Inter wanatoa mil 25, Chelsea wanataka mil 30Deal la BAKAYOKO kuuzwa Ac Milan limefikia wapi?
Victor Moses ni winga nadhani sio RB. Anacheza sanasana winga wa Kulia na mara chache winga wa kushotoMosses mkopo wake umeisha Inter amerudi darajani, je atapata namba mbele ya James?
Nasemea atumike kama winga Wa kulia na sio beki coz michuano mingi naona tumtumie michuano ya carabao au FA hatua z mwanzo au awe backup in case of any injuriesSioni Victor Mosses akipata nafasi yoyote kwa Lampard kutokana aina ya uchezaji mpira wa Lamps kwa Mosses itakua kazi sana. Alipata namba kwa Conte coz mfumo wa 3-5-2 ndio ulimfavor sana na ndio ulitupa ubingwa chini ya Conte. Sasa Lampard yeye huwa anapenda sana mabeki wa pembeni waanzie chini ndio maana hata Alonso tunamuona mzigo anapata shida sana kwa Lampard.
Sawa anaweza kutumika lakini kwenye mfumo gani atafit? Kwa sababu Lampard anapenda zaidi kutumia aidha 4-3-3 au 4-2-3-1 hapo ina maana katika mifumo yote hiyo anaweza kupangwa ila bado tusione potential ya Mosses.Nasemea atumike kama winga Wa kulia na sio beki coz michuano mingi naona tumtumie michuano ya carabao au FA hatua z mwanzo au awe backup in case of any injuries
Poa tuone maamuz watakayofanya lamps pmj n board ...ila mi naona ana fit tuSawa anaweza kutumika lakini kwenye mfumo gani atafit? Kwa sababu Lampard anapenda zaidi kutumia aidha 4-3-3 au 4-2-3-1 hapo ina maana katika mifumo yote hiyo anaweza kupangwa ila bado tusione potential ya Mosses.
Mara nyingi mfumo unategemea wachezaji wanafit wapi. Mfano Alonso anafit 3-4-3 ya Wing-back wa kushoto zaidi ya 4-3-3 ya LB, kuna key players ambao wanacheza vizuri kwenye mfumo fulani, kocha ndie anatakiwa kujua key players wake wanafit mfumo upiHivi mfumo wa 4 - 2 - 3 -1 na 4 - 3 - 3 upi ni mfumo bora? Au inategemeana na mechi husika?
Sidhani kama ukicheza na timu kama liverpool utatumia 4-2-3-1 naona kama katikati pembeni utaacha gaps kwa Anold na Robertson kuserereka.
Nadhani sababu ni kuwa 4-4-2 hautumii mawinga (Natural Wingers) badala yake viungo wengi (central MF wawili na viungo wa pembeni au wide wingers wawili) na striker wawiliSawa kwanini siku hizi mfumo wa 4-4-2 hautumiki sana barani ulaya. Mfumo huu umekosa wachezaji sahihi?
Pia nadhani upepo wa makocha wengi kupenda possesive football inawalazimisha kutumia mifumo mingine hasa 4-3-3 au derivatives zakeSawa kwanini siku hizi mfumo wa 4-4-2 hautumiki sana barani ulaya. Mfumo huu umekosa wachezaji sahihi?
Yeah pia mifumo ya kisasa kumeibuka pia inside forwards kwenye front 3 za mfumo Wa 433 ....kwahyo ma fullbacks wanaplay part pia km mawinga...MF liverpoolNadhani sababu ni kuwa 4-4-2 hautumii mawinga (Natural Wingers) badala yake viungo wengi (central MF wawili na viungo wa pembeni au wide wingers wawili) na striker wawili
Timu nyingi unakuta ina natural wingers wengi na striker wa kuaminika mmoja
Hivyo kuwa na wachezaji wa 4-4-2 unakuwa na timu ambayo sio flexible kwa sababu mifumo mizuri yenye kuwatumia winga ndio ziko nyingi
Kuna sehemu jamaa wamemchambua Furgusson na MOU kama ndio pioneer wa hii mifumo ya 442 na 433Sawa kwanini siku hizi mfumo wa 4-4-2 hautumiki sana barani ulaya. Mfumo huu umekosa wachezaji sahihi?