Acha uvivu, deco alikuja chelsea akiwa na umri gani? Alikuja kula pension kama kawaidaDeco akiwa kwenye ubora wake katoka Barcelona kaenda Chelsea je Barcelona Ni team ndogo? Ronaldo katoka Man United kaenda Madrid je man u Ni team ndogo?
Muda utasema !!! Mmemuovareti sanaAcha kupigapiga kelele kama mrevi kama Chelsea wamepigwa wewe inakuhusu nini nyinyi mnauhakika gani kuwa wachezaji wenu mliosajili hawataflop.
Mtoto wakiume punguza wivu usije ukapata ugonjwa wa moyo.Muda utasema !!! Mmemuovareti sana
Kijana acha uongo, hatukuwahi kumuhitaji Thiago wakati tuna Luiz ,Thiago kasema sababu mojawapo iliyomfanya aje Chelsea ni kwa sababu Chelsea ni mojawapo ya timu kubwa 10 duniani. Nadhani Arsenal kama kawaida yao kupenda vya free walijaribu wakagota mwamba kwa sababu ni katimu kadogo maskini kwa sasa kischoweza kununua wala kuwalipa vizuri wachezaji wake. Kama watabisha niwaletee data za mishahara Arsenal VS Chelsea
Hatukuwahi kumuhitaji thiago ,usitusingizieThiago kasema sababu mojawapo iliyomfanya aje Chelsea ni kwa sababu Chelsea ni mojawapo ya timu kubwa 10 duniani. Nadhani Arsenal kama kawaida yao kupenda vya free walijaribu wakagota mwamba kwa sababu ni katimu kadogo maskini kwa sasa kischoweza kununua wala kuwalipa vizuri wachezaji wake. Kama watabisha niwaletee data za mishahara Arsenal VS Chelsea
Thiago kasema sababu mojawapo iliyomfanya aje Chelsea ni kwa sababu Chelsea ni mojawapo ya timu kubwa 10 duniani. Nadhani Arsenal kama kawaida yao kupenda vya free walijaribu wakagota mwamba kwa sababu ni katimu kadogo maskini kwa sasa kischoweza kununua wala kuwalipa vizuri wachezaji wake. Kama watabisha niwaletee data za mishahara Arsenal VS Chelsea
Haya data za mishahara hizi hapa.... Njoo sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatukuwahi kumuhitaji thiago ,usitusingizie
Tuna Luiz , Thiago wa nini?/
Arteta alihitaji LCB , ambaye kaletewa Gabriel Magalhaes
Kuhusu mishahara ,kuanzia mwaka Jana labda ,napo ni baada ya kuondoa wachezaji ,
Willian sasa hivi anapokea 220k , Auba 250, Ozil 350
Beki zetu hakuna anayelipwa chini ya 100k
Usiongee shitView attachment 1558327
Tulia wewe chelwowowo na katimu kako kadogoHawa matakataka acheni kuwa mna wa reply
Yeee babaaa zigooo hilooooCHELTAKO[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1558726
.£71m from£100
Bado mmepigwa nyie takataka...£71m from£100
Bado mmepigwa nyie takataka..
Hivi unadhani timu gani ingekubali kuchukua kiungo kama huyo kwa £70m?
Ndio maana hakuna timu nyengine iliyoleta shobo baada ya kumuona boya boya Cheltyako kashaingia kwenye mtego.
Naona dogo amefosi sana dili likamilike mpaka kafanikiwa![emoji23][emoji23]
Hili mlijue mapema kuwa MMEPIGWAA![emoji23][emoji23][emoji23]
Unaota wewe, amka usingiziniIKO SIKU KILA GOTI LITAPIGWA NA KILA ULIMI UTAKIRI YA KWAMBA BLUE IS THE COLOR AND LONDON IS BLUE NA HIVI VIRUSI VILIVYOTUINGILIA HATUTAVIONA TENA HUMU
Bado mmepigwa nyie takataka..
Hivi unadhani timu gani ingekubali kuchukua kiungo kama huyo kwa £70m?
Ndio maana hakuna timu nyengine iliyoleta shobo baada ya kumuona boya boya Cheltyako kashaingia kwenye mtego.
Naona dogo amefosi sana dili likamilike mpaka kafanikiwa![emoji23][emoji23]
Hili mlijue mapema kuwa MMEPIGWAA![emoji23][emoji23][emoji23]
Kakwambia nani kama tunadeni la Pepé?Kalipe deni la pepe ndio uje kuleta shobo humu.
GayGooners fc
Sasa wewe unataka umfananishe Pepé na takataka zenu!Kwan pepe nyie ilikuaje