Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Man utd flop of the season
*Lingard*
3 goals
2 assist.

Their player of the season
*Kovacic*
2 goals
3 assist.

And u are telling me this life is balance[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Who is actually in charge of Chelsea awards?
 
Frank lampenalty [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Au kuna mwengine aliyemzidi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku ya game dhidi ya liver nilikuwa naumwa sana, ila nimecheck comment zenu wafuasi wa chelwowowo mnaonekana mmeumia sana, sasa nasema hivi.... Hilo ni trela tu.. [emoji23][emoji23]
 
Cheltyako harakati za maisha zinaendaje hamm//mm//
Nyie Makalio FC[emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni ulimbukenge nyie. Mmeanza kushabikia Arsenane juzi kwa hiyo haya ndio makombe pekee mliyoyashuhudia mnaweza jivunia mbele yetu katika ushabiki wenu.
Man utd flop of the season
*Lingard*
3 goals
2 assist.

Their player of the season
*Kovacic*
2 goals
3 assist.

And u are telling me this life is balance[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Who is actually in charge of Chelsea awards?
Ficha aibu hii mbele ya football intellectuals. Unaweza jikuta unarambwa makofi yasiyo na rangi kwa utumbo kama huu. Siyo kila kitu cha ku copy & paste tumia ubongo wako kufikiri wewe.
 
Zindukeni nyie mid table team kushinda FA Cup na CS imekua kero mngeshinda EL si JF ingefungwa kabisa.

Huo ulimbukeni wa kukosa makombe muda mrefu kwa hiyo mnatuliza machungu maana ni miaka kadha wa kadha mbele huko.
Kama inauma, chomoa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mashabiki wa arsenal mnazingua sidhani hata kweny jukwaa lenu huwa mnafinyiwa hivyo
Mara nyingi watu huwa wanakuja kwenye jukwaa lenu kama mmefungwa ila nyie mnazingua hakuna chchote mnachopost zaid ya ujinga humu
Mnazingua

Waache tu ndio arsenyeto jukwaa lao limepooza kama mate ya mgonjwa ndio wanakuja kukazia vibwebwe huku kwa wanaume.
 
We Arsenyeto kweli!! Yan mimi nijifanyie comparison na nyie? [emoji23][emoji23][emoji23] Hivi huoni hata aibu kusema ivyo mbele ya wanaume?

Mirembe inakuhitaji wewe. Si bure asee
Wewe kenge tulia hivo hivo ,

Hata Timu ya wanawake ya Arsenal inawazidi, unapayuka nini hapa
 
Wewe kenge ,tupo Arsenal kitambo, hata kabla Chelsea haijaanzishwa mwaka 2005

 
Unabishana na takwimu?
Be humble mkuu
 
Mashabiki wa arsenal mnazingua sidhani hata kweny jukwaa lenu huwa mnafinyiwa hivyo
Mara nyingi watu huwa wanakuja kwenye jukwaa lenu kama mmefungwa ila nyie mnazingua hakuna chchote mnachopost zaid ya ujinga humu
Mnazingua
Mnavyokujaga kule kwetu kuleta vurugu ,mnaonaga raha sana?

Pumbaff , Tutakuja kuwawashieni moto humu hadi mkimbie Uzi wenu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa amba ruti njoo nikupakate [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…