Shida yetu sisi wa bongo huwa hatufatilii hata tetesi tuLampard yupo busy tu kununua strikers na midfielders wakati tuna matatizo makubwa sana kwenye eneo la ulinzi. Andreas Christensen, Reece James, Kurt Zouma na Emerson sio viwango vyetu kabisaa
Haaahaaaa Mkuu unaongea HV afu timu yako mid-table ...aisee sipatii picha ukichukua EPL sijui itakuajeHivi nyinyi mlikuwa mnashiriki UCL gani? Ya mabibo au[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1532679
Aisee dirisha LA usajili linafungwa baada ya siku 56 huko kama sikosei...unasema hvyo kama dirisha LA usajili limewekwa kwa wiki 2 tuLampard yupo busy tu kununua strikers na midfielders wakati tuna matatizo makubwa sana kwenye eneo la ulinzi. Andreas Christensen, Reece James, Kurt Zouma na Emerson sio viwango vyetu kabisaa
My point was speed ile ile iliyotumika kuwaleta strikers Hakim Ziyech na Timo Werner ingetumika pia kwenye maeneo ambayo kuna ubovu wa dhahiri kabisa. Anyway, endelea kuwa na matumaini tu. Bado mapema kama ulivyosemaAisee dirisha LA usajili linafungwa baada ya siku 56 huko kama sikosei...unasema hvyo kama dirisha LA usajili limewekwa kwa wiki 2
My point was speed ile ile iliyotumika kuwaleta strikers Hakim Ziyech na Timo Werner ingetumika pia kwenye maeneo ambayo kuna ubovu wa dhahiri kabisa. Anyway, endelea kuwa na matumaini tu. Bado mapema kama ulivyosema
Mbona zipo tetesi za Chelsea kutuma offer kwa baadhi ya club MF. José gimenez(atletico)My point was speed ile ile iliyotumika kuwaleta strikers Hakim Ziyech na Timo Werner ingetumika pia kwenye maeneo ambayo kuna ubovu wa dhahiri kabisa. Anyway, endelea kuwa na matumaini tu. Bado mapema kama ulivyosema
# | Club | Value - |
|---|---|---|
| 1 | Manchester City | €1.08bn |
| 2 | Liverpool FC | €1.01bn |
| 3 | Chelsea FC | €833.45m |
| 4 | Manchester United | €764.68m |
EPL NEVER DIE My best league
Ushawishi wa nini? ..wewe umemsajili nani hadi sasa?Hii timu watu washaichoka haina hata ushawishi
Arsenal ya buguruni.Chelsea ya Mombasa
Kumbe vi arsenal na vi liverpool tumeviacha mbali??