Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Alafu anatokea pimbi mmoja anayeishi huku KWAMTIPULA eti anaenda kula pension, [emoji23][emoji23][emoji23]mimi nabaki kucheka kwa dhereu[emoji57][emoji57][emoji3]
Sasa unachokataa nini? Anaenda kula pension yule. Huwezi kuniambia Arteta atamuweka Kipepe nje amuanzishe Willian atakua anaumwa pepopunda. Willian anajua keshafika mwisho wake so anatafuta kwa kwenda kuhifadhi ungese wake.

Hivi hujiulizi mpaka ameamua kupunguza mshahara wake kwamba ana mapenzi sana na Arsenal? [emoji23] Anajua kwa uwezo wake hakuna watu wenye akili timamu watafikia kukubaliana na matakwa yake.

Anaenda kula pension.
 
What a Kipepe [emoji23][emoji23][emoji1544]
 
Hivi wewe mtu unafanya naye kazi unaweza kuja kumponda kisa anahamia ofisini nyingine hata kama ni ndogo lakini lazima utamuongelea vizuri. The same apply kwa Rudiger kwa sababu anajua hakuna mchezaji aliye juu ya Club kwa hiyo hata yeye akizingua anaondoshwa tu.

Kitu usichokijua kila inapofika wakati wa kuongeza mkataba Willian huwa anajituma sana na ndio chanzo cha record hiyo. Tena hujaiweka vizuri ametengeneza nafasi nyingi kuliko timu nzima ya Arsenal.
 
Mi nadhani nafasi ya Tammy angecheza Armando Broja aanze kupata experience mapema.
 
Mkuu hatumpondi na wala siyo garasa. Amepewa mkataba amekataa si bora umuache aende!!
 
Wakuu usiku mwema maana kwa mkoko waliokuja na Bayern sioni tukitoboa. Atakaye angalia hii game atatoa updates nitazisoma kesho.

Kila la kheri wanangu[emoji838][emoji838][emoji838]
Chelsea still has a chance !! Go go [emoji91][emoji23][emoji23]
 
Majirani mechi yenu hii 4 sio nyingi zinarudi sasa hivi tupo nyuma yenu................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…