Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Abraham kichwa panzi hakuna haja ya kumjadili takatakaNajaribu ku otea line up
Pulisic-Abraham-Willian
Mount-Kanté-Kovacic
Alonso-Rudiger-Christensen-Azpilicueta
Kepa
Nimepanga ivyo kwa kuzingatia aina ya uchezaji wetu. Sitegemei leo tucheze kwa kudefend na ndio maana hapo yupo Kanté akisaidiana na Kova kwa mashambulizi ya kushtukiza. Ninachotegemea kukiona leo ni Watford kuchezea kwenye box lao. Pia kwa kumuanzisha Tammy mechi iliyopita inaonyesha Lamps bado anaimani na dogo lakini lazima atafanyiwa sub badae Giroud. Lakini pia kwa performance ya Barkley mechi iliyopita sion akianza leo. Karibuni tujadili blues[emoji838][emoji838]
KTBFFH[emoji838][emoji838][emoji838][emoji1548]
Kovacic now day anazingua Bora tumpe jorginhoKatika hiyo line up ingekua vizuri Jorginho aanzie bench hapo akae Kovacic.
Kovacic hatakuwepo majeruhi nadhaniKatika hiyo line up ingekua vizuri Jorginho aanzie bench hapo akae Kovacic.
Mechi iliyopita Tammy alicheza hovyo kuliko hata mechi zote huko nyuma, apigwe benchi ni bora hata Batshuayi acheze ili ajifunzeNajaribu ku otea line up
Pulisic-Abraham-Willian
Mount-Kanté-Kovacic
Alonso-Rudiger-Christensen-Azpilicueta
Kepa
Nimepanga ivyo kwa kuzingatia aina ya uchezaji wetu. Sitegemei leo tucheze kwa kudefend na ndio maana hapo yupo Kanté akisaidiana na Kova kwa mashambulizi ya kushtukiza. Ninachotegemea kukiona leo ni Watford kuchezea kwenye box lao. Pia kwa kumuanzisha Tammy mechi iliyopita inaonyesha Lamps bado anaimani na dogo lakini lazima atafanyiwa sub badae Giroud. Lakini pia kwa performance ya Barkley mechi iliyopita sion akianza leo. Karibuni tujadili blues[emoji838][emoji838]
KTBFFH[emoji838][emoji838][emoji838][emoji1548]
Kwa matokeo ya leo kabla hatujacheza kuna kila dalili tutahamia kwa muda namba 7 kwenye mzimamo wa ligi. Chelsea imejitakia yenyewe kwa kuupoteza ule mchezo wa Derby na Westham
Ila huyu Bruno tungempata aisee sipati picha kabisa
Hajifunzi kitu huyo kichwa box, msimu ujao mkopo utamuhusu au atapigwa bei, hana sifa wala uwezo wa kuendelea kuitumikia the blues. Aende huko championship akabambiane.Kuna utofauti kati ya tammy na greenwood
Grenwood ni mdogo kwa tammy ila ukimuangalia kuna vitu vingi kamshinda tammy
Tammy bado anasafari ndefu ya kujifunza
Bure kabisa, yule ni mchezaji wa championship.Lampard anavyo mpenda atamuuza kweli? Ila Yule jamaa ni kichwa maji, takataka iliyo oza kabisa pumbavu kabisa
Mkuu badala ya Tammy ni Bora acheze Olivier giroud maana angalau game alizoanza amekuwa anafanya vizuri lakini siyo michy, michy nashukuru hata bench amekuwa hawekwi maana jamaa kashindwa kabisaaaMechi iliyopita Tammy alicheza hovyo kuliko hata mechi zote huko nyuma, apigwe benchi ni bora hata Batshuayi acheze ili ajifunze
Kovacic hatakuwepo hata benchi ni majeruhi mnpamoja na Tomori
Hiv kwanini unamu underrate Sana Giroud?Yaani michy acheze instead of Giroud upo serious kweli?Mechi iliyopita Tammy alicheza hovyo kuliko hata mechi zote huko nyuma, apigwe benchi ni bora hata Batshuayi acheze ili ajifunze
Kovacic hatakuwepo hata benchi ni majeruhi mnpamoja na Tomori
Ni nafasi ya 6 sio 7Kwa matokeo ya leo kabla hatujacheza kuna kila dalili tutahamia kwa muda namba 7 kwenye mzimamo wa ligi. Chelsea imejitakia yenyewe kwa kuupoteza ule mchezo wa Derby na Westham
Elewa lugha ya mafumboHiv kwanini unamu underrate Sana Giroud?Yaani michy acheze instead of Giroud upo serious kweli?
Me nafikiria amekuwa anafeli kwenye squad selection, nashangaa last game vs westham alianzishwa Tammy badala Olivier giroud maana ukiangalia game zilizopita kabla ya game dhidi ya westham Giroud kafanya vizuri Sana, me naamini akistiki na giroud we can do good. Squad selection anapenda Sana waingereza mwangalie Barkley dhidi ya Leicester city japo alifunga lakini alicheza vibaya sanaHizo sajili kubwa zinazoendelea kufanyika, zitakuwa kazi bure kama tutaendelea kuwa na Lampard kocha asiyekuwa na mbinu wala ubunifu.
Lampard ni overrated hadhi yake ni championship, uwezo wake mdogo sana kuliko Arteta na OGS.
Wachezaji wanashinda mechi kwa juhudi zao binafsi, Lampard kupanga kikosi na kufanya sub yenyewe kunamshinda sembuse kuwatumia wakina Ziyech?