juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Kafundishe wewe mkuuKova jana alijitahidi sana, kiazi jog mpira ukamshinda hamna kitu mchezaji wa ovyo sana halafu anakwenda kumfokea refa halafu ana kadi ya njano akapewe nyingine anakosa mechi ijayo, quality ya wachezaji wa chelsea ni poor poor na kocha uwezo wake ni poorest sijui alipataje kazi Chelsea anaivuruga timu arudi huko derrby
Haya wachezaji wabovu, kocha mbovu, uongozi wa club watume maombi uefa ya kuomba kujiondoa mechi ya marudiano na bayern kuliko kuendelea kupata aibu.Kafundishe wewe mkuu
Vitu vingine unalalamika utasema tim yako inawachezaji wa kupambana na bayern
Mpe wachezaj wazuri ndio uumjudge mtu sio unatim yakina barkley,alonso,pedro etc utegemee utapata matokeo dhidi ya tim kubwa
Ndio maana me nasema nitaanza kumjudge fl kuanzia msim ujao pale atakapoanza kufanya transfer za wachezaj anaowataka
Sent using Jamii Forums mobile app
Shughuli imeisha kinachofuata ni aibu tu....
Sasa kwanini muingize timu uwanjani?. match ya jana Chelsea ata angefanyaje asingeweza kushinda kuna match lampard anazingua ila kwa match ya jna ile ilkuwa nzito kwake
Bayern kacheza with more than six experienced uefa players tena matured players unatgemea Chelsea angeshinda
Mnaomtafuta Ollachuga Oc huyu hapa kaja kivingineLampard ajiuzulu ukocha uwezo wake mdogo kuifundisha chelsea, ametuingiza kwenye marekodi mabaya stanford bridge. Kocha gani huna mbinu, hajui kupanga kikosi, mmbaguzi, wachezaji wanacheza kwa juhudi zao binafsi, kocha hana mvuto. Rubbish kocha kuwahi kuifundisha Chelsea
Aiseeeh wewe....DAH POLENI SANA MASHABIKI NA WAPENZI WA CHAMA LETU.
Jana mpira ulianza vizuri sana, kipindi cha kwanza tulishambuliwa lakini kipa caba alifanya kazi yake vizuri.
Kipindi cha kwanza kama vile tulikuwa tunaangalia movie nzuri ya kusisimua, dah kipindi cha pili movie ikajeuka kuwa ya mazombie.
Bayern walituzidi kwa kila kitu, wachezaji wa Bayern wanaquality kubwa kuliko wachezaji wetu. Wachezaji wa Bayern walicheza veri comfortable kwa kiwango cha hali ya juu.
Kweli walideserve kushinda. Tukubaliane kwamba Chelsea tuna average players, Lampard anahitaji kusajili world class players, wachezaji wanaoamua matokeo.
Aisee mwisho wa msimu chelsea tushushe Injini ya kikosi, tufunge injini mpya.
Jana kabla ya mechi kama tulisifia sana timu yetu wakati tunajua ni hohehae majirani tunaomba mtusamehe
kama tulitoa majibu mabaya kudefend timu yetu kwamba itashinda kwa kishindo tunaomba mtusamehe.
Kama kuna wapinzani walitutukana na kutusema vibaya hapa baada ya kufungwa tumewasamehe
Haya rudini kwenye majukwaa yenu SHUBAAAAAAMIT
. Ww ndo hujui mpira hakun record zinazo dumu milele maybe your are immature in football et mchezaji anacheza kwa uwezo binafsiLampard ajiuzulu ukocha uwezo wake mdogo kuifundisha chelsea, ametuingiza kwenye marekodi mabaya stanford bridge. Kocha gani huna mbinu, hajui kupanga kikosi, mmbaguzi, wachezaji wanacheza kwa juhudi zao binafsi, kocha hana mvuto. Rubbish kocha kuwahi kuifundisha Chelsea
. Yan kuna mashabiki bado wana mentality za kitoto sana kama uyo jamaaHuyu katokea wapi?
Unaitwa nani?
Baba yako anaitwa nani?
Mama yako anaitwa nani?
Kwenu ni wapi?
Unakwenda wapi?
Umekosea njia kupita hapa.
yani ukiona shabiki analalamika ovyo et Chelsea ili stahili kushinda huyo no mtoto badoMnaomtafuta Ollachuga Oc huyu hapa kaja kivingineView attachment 1369542
Sent using Jamii Forums mobile app
. Ww ndo hujui mpira hakun record zinazo dumu milele maybe your are immature in football et mchezaji anacheza kwa uwezo binafsi
Nyie ndo mashabiki wa kutak kushinda only ukipoteza unaanza kuongea shit
Unmjua ata Villa boaz koch mbovu kuliko ata huyu lampard
we shabiki maandazi huna point ya maana. jamani aise huyu mpotezeeni.msichangie hoja zake naona anajaza maserver na pumba na mashudu zakeLampard ukocha pumba , mount kiwango pumba, barkey kiwango pumba, Abraham kiwango pumba, Jognho kiwango pumba, odoi kiwango pumba, pedro kiwango pumba, wilan mzigo, azipuleta mzigo, Alonso mzigo, Emerson mzigo, christen mzigo, batshauyi pumba, girud mzigo.
UONGOZI WA CLUB UANDIKE BARUA UEFA TUJITOE KWENYE MECHI YA MARUDIANO NA BAYERN.we shabiki maandazi huna point ya maana. jamani aise huyu mpotezeeni.msichangie hoja zake naona anajaza maserver na pumba na mashudu zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya tuseme watano haiwezekani ninyi mlisajili wangapiUlitegemea chelsea january isajili wachezaj wa 5 ambao huwezi wapata
Mfano mzuri ni ziyech ajax walikataa kabisa hawawez kumruhusu kuondoka january
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa threedoors wa humuLAMPARD ANAYO CV GANI YA KUIFUNDISHA CHELSEA? ANAYO HISTORIA GANI YA MAFANIKIO KAMA KOCHA?
KAMWE LAMPARD HAWEZI KUFANANA NA KLOP KWENYE KUIJENGA TIMU WALA KAMWE HAWEZI KUPATA MAFANIKIO YA KLOP.
HII MIAKA MITATU YA UWEPO WAKE NI WASTAGE OF TIME. KOCHA HUWEZI KUPANGA 1ST ELEVEN, HUNA MBINU ZA USHINDI, KOCHA HUJUI KUFANYA SUB ZA WACHEZAJI.
TUSITEGEMEE MAFANIKIO KUTOKA KWA LAMPARD ANATUPOTEZEA MUDA TUU. BODI ITAFUTE KOCHA MWINGINE UJUZI MKUBWA.
TIMU INA MAPUNGUFU YA LB, CB, AM, CF DIRISHA LA JANUARY BENCHI LA UFUNDI LIKALALA USINGIZI, HAKUNA USAJILI WAKATI WANAFAHAMU KUNA MASHINDANO YA UEFA NA KUPAMBANIA TOP 4Haya tuseme watano haiwezekani ninyi mlisajili wangapi
HaahahKAMATI YA ROHO MBAYA TUNAOMBA RADHI KWA MASHABIKI WETU WA BUYERN MUNICH KWA KUFUNGA MAGOLI MACHACHE HILO TATIZO HALITAJIRUDIA KWENYE MECHI YA MARUDIANO
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Gnabry na Sancho ni sawa na akina Odoi, Mount, Abraham. Arsenal mlimdharau leo mnamwona lulu, Man City walimdharau Sancho leo kwao ni lulu