Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
29.12. Jorginho deserved second yellow for pullback on Guendouzi, then went on to score late on vs Arsenal.Goli la kwanza Chelsea lilitakiwa kutambuliwa. Az alisukumwa ndo maana akaelekea kwa beki na kumgusa. Na Chelsea imeendeleza udhaifu wake uleule haina wamaliziaji, wanajua kuzurula na mpira na kurudisha kwa kipa. Kipa mwenyewe hamna kitu. Pale katikati akitoka Kante ndo linabaki tobo.
Anthony Taylor and Chris Kavanagh (the referee and VAR referee for the Chelsea vs United game) are both from Manchester.
Anyone surprised?
Maguire alitakiwa awe nje kwa rafu mbaya dhidi ya batshuayi
Goli la Zouma lilitakiwa lisimame kwa sababu push zote mbili ni very minimal
Man U wameanza kubebwa na refa
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu... jorgniho alichotufanya hukuliona kama ni kosa[emoji23][emoji23][emoji23]Maguire alitakiwa awe nje kwa rafu mbaya dhidi ya batshuayi
Goli la Zouma lilitakiwa lisimame kwa sababu push zote mbili ni very minimal
Man U wameanza kubebwa na refa
Hueleweki mimi ni mzee au mama? Hapo siyo kesi.Mzee unaipondaga arsenal kumbe ww ndiye mamalao
Kwahiyo unakubali kua mmebebwa right?Kwan nyie hamkubebwa mlipokutana na arsenal
Mzee ni wewe... Ila timu yako ndo hivyo.Hueleweki mimi ni mzee au mama? Hapo siyo kesi.
Kesi ni hii hapa, kwa mara ya pili tangu naingia JF napokea tusi huku nikiwa na maumivu. Hivi unapata ujasiri gani kunihusisha mimi na hao jamaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio fan wa nyumbu mmKwahiyo unakubali kua mmebebwa right?
Angepewa red wewe ungeshinda kwanWe played better lakini finishing bado ni tatizo,, pia VAR walikua upande wa man u sana jana. 1st ile faulo ya maguire ilikua ni straight red card (same na ile faulo aliyocheza son wa spur na bahati nzuri refa wa kati ni yule yule kwenye gemu zote mbili), cesc fabregas, gary neville , roy keane wote wanakubali kua hawaelewi imekuaje maguire amepona pale, hata njano tu hakupewa..
Then, 2nd goli la Zouma lilitakiwa li"stand,, alichezewa faulo azpilicueta kabla ya kwenda kumchezea faulo william, sijui kwa hapa VAR maamuzi yao yalikuaje..
N:B in italy au world cup, tulushuhudia VAR refa akienda kuangalia kwenye screen ili atoe maamuzi mwenyewe,, ila EPL imekua ni kama upuuzi flani usio msaidia refa wa kati bali ni maamuzi ya hao waliokaa kwenye video.
Kingine, You cant win a war with boys you need men,, ndo kinachomponza Lampard. Giroud ameshinda world cup akiwa na france, ameshinda ueropa akiwa chelsea,, sio kua ni mbovu kutokufunga sana ila uwepo wake tuu unasababisha pale mbele angalau mpira haupotei hovyo.
Sasa unamuanzisha sharobaro ambaye hawezi kuumiliki mpira,, sio mzuri kwenye mipira ya juu, na pia hana accuracy kwenye mashuti yake
Batshuayi yule ni bora tubadilishane na korosho za pale bagamoyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu yangu mbovu ndio. Ila kunihusisha mimi na Arsenal ni tusi kubwa sana kwangu. Umenikosea heshima mnoMzee ni wewe... Ila timu yako ndo hivyo.
Halima gwaya ndio alisukumwa kidogo ila katika mpira wa miguu kitendo cha kurudishia au kulipiza rafu ni kosa kubwa,pale ilibidi apewe redcard direct,ukizingatia alimpiga maeneo nyeti.....
Unagalagazwa mara 3 mfululizo na nyumbu????nyinyi ndio mnaoitia aibu London yetu.Timu yangu mbovu ndio. Ila kunihusisha mimi na Arsenal ni tusi kubwa sana kwangu. Umenikosea heshima mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ilikuwaje ukatoa nae sare kwa hali ileTimu yangu mbovu ndio. Ila kunihusisha mimi na Arsenal ni tusi kubwa sana kwangu. Umenikosea heshima mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamechanganyikiwa hao wapumzishe mkuu,hebu cheki hiiSasa ilikuwaje ukatoa nae sare kwa hali ile