Hii mechi mumepigwa,tatizo una kiherehere na gundu kali,[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1361239
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!! Halima gwaya!!Huyu Halima gwaya nae kawa kama morisoni yaani analeta uhuni dhahiri,kampigwa mitchy teke la mapumbu mshenzi sana......hii VAR ya kiboya sana,
Huu ni uhuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Pombe ya kwenye MwengePombe ya ngomani hii man u anajinywea tu [emoji3][emoji16]
Yani ni kuvuliwa nguo kabisa huku. Yani hawapati hata draw. Mechi zote wanapigwa. Kha!Hivi nyie humu ndani inakuwaje mnampa sifa za kijinga Manchester United namna hii yaani mechi 3 msimu huu zote anawafunga kijinga jinga sisi Arsenal hili halikubaliki yaani mechi 3 anabeba point 9 huyu kiwete nimesikitika sana sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kusingizia VAR, kule mbele Chelsea ni uozo, no shoots on target, hakuna chance za maana mlizotengeneza.Var [emoji24]
sawa but goal la Kwanza azpi alisukukumwa Kwanzaa then yeye akaja kumpush beki so First foul was committed by man uAcheni kusingizia VAR, kule mbele Chelsea ni uozo, no shoots on target, hakuna chance za maana mlizotengeneza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cash money humu hataonekana kwa sasa imeniuma sana mechi 3 huyu kiwete anapataje point 9 ??6 za ligi na akawatoa carling cup Lampard Lampard unakuwaje kibonde kwa hawa viwete?ole Gunnar akicheza na Arsenal ushindi wake ni sare
Sent using Jamii Forums mobile app
Maumivu haya ya kugongewa chumbani kwako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakikisha unalala ndugu, usije kukesha Kwa furaha hiiMaumivu haya ya kugongewa chumbani kwako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1361259
Sent using Jamii Forums mobile app