aisee leo kweli Chelsea wamefanya kweli
Hivi Man City ukiwawekea ngumu wanachanganyikiwa sana nimeona hawana kocha wana vipaji vya wachezaji lakini kocha zero kwa timu kama ile bado wanatafuta wachezaji hapo ndio utaona kocha hana mfumo kwani mpira si kuwa na wachezaji wazuri wote ila uwe na mfumo