Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea tunakosa wachezaj wa kuamua matokeo
Sahiv tutafute wachezaj wa short term mpk msim utakapoisha hawa wa long term kuwapata saiv ni ngumu tusijidsnganye et dirisha hili tunawez kumpata sancho or werner haitowezekan kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We have a poor mentality ever..

Hawa boys sio wakuwategemea kabisa kutupa matokea. Mtu kama batshuayu anakosa goli kwenye clear chance matokeo yakiwa 2-2 alafu unacheka.. Mtu kama huyu sioni kama ana umuhimu wa kwenye hii timu..

Poa barkley ni average team player kwa kweli,, sio lampard anatushika masikio kua anauwezo wa kante..

Left wing anahitajika,, its better to die trying na sio kukaa tuu.. Naona kwa upande wa kushoto wamchukue hata zaha tu atatusaidia ...

Tammy & kepa wanahitaji watu wa kuwapa competition , vinginevyo naona kabisa kila siku uwezo wao unazidi kupungua..
Spirit of fighting imepungua sana kwa sababu they are untouchable

Lampard nae kwa upande wangu naona ni kama anatembelea nyota ya sari tu,, kuanzia mfumo hadi position za wachezaji.
Sema Sarri ali"enjoy uwepo wa hazard..
Ila mbinu ni ile ile ,,kila siku atatudanganya mashabiki kua they have to shoot(outside the box), lakini kimsingi mazoea hujenga tabia..
Naamini mazoezi wanayoyafanya nfo result ya tunachokiona kwenye mechi..


Tunatakiwa ku"improve kwenye set pieces na pia long shoot range,, vinginevyo kila siku tutabaki kujisifia tu tumecheza vizuri ila matokea hamna..

N.b hawa ma"legend Mung anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimeamini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…