Ndio plan iliyopo sasa hivi.... Ila striker wa kumnunua alikuwa ni yule jamaa Halaand. Jamaa yupo very clinical...Kwanini tusimuhusishe giroud kwenye deal hilo mchakato uwe mwepesi?
Sent using Jamii Forums mobile app
DRINKING WATER ameshindwa kushine Burnley mpaka jamaa wameturudishia mzigo wetu katikati ya msimu. View attachment 1311213
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona aston villa wanamtakaDRINKING WATER ameshindwa kushine Burnley mpaka jamaa wameturudishia mzigo wetu katikati ya msimu. View attachment 1311213
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmesoma mahali fulani... .
Acha na Sancho hebu njoo kwa Werner.
Hivi kweli tulutegemea katika situation ambayo RB leizpig wapo vizuri na wanaongoza league wamuuze mchezaji wao muhimu kama Werner?
Sent using Jamii Forums mobile app
Villa watepewa drinkwater na pia naona batshuayi wanataka wampeleke pia villa..
Hahahah... tutafanya swap tu... na pesa kiasi...Werner anaangalia zaidi bayern kuliko ata huo ubingwa na leipzig..
Maana amesema hadi baada ya uero 2020.. Ndo ataweza kufikiria..
Summer release clause yake itashuka hadi Ę20mil... Ndo maana ingekua ni maamuzi ya pesa,, ni bora leipzig wamuuze saiv..
Ila naona kabisa wanawaandalia bayern mchezaji..
Kuhusu dembele, jamaa wamegoma Ę40mil,, ila walivo wajinga wanamtaka giroud [emoji23][emoji23].. Yaani apo ndo sijawaelewa kabisaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah amekaa muda mrefu sana majeruhi... Halafu hayo no majaribio tu... yanaweza yakawork au yakagoma... .Hivi wazee LFC hawezi kubadilishwa uchezaji wake akawa STRIKER?, jamaa finisher mzuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan hapo ni kuwakomalia hao hao kusema kusajiri striker kutoka machochoroni uko itatucost. Tunahitaji matured and well talented player kam Werner au DembeleSasa options zetu muhimu za mastriker zimebuma tunasajili striker gani sasa mkali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni aibu unapofungwa unaanza kusingizia refa sijui na uchafu ganiLabda refa awe dume lenu tena...
Mkuu huyo Olmo ni atavking midfield wakati huyo wa CSKA ni striker ana miaka 21 mi naona huyu striker kwa sasa hawezi kuwa msaada zaidi anaweza kuwa flop tuDili ya moto ni uyo striker wa spain olmo, kuna striker wa cska moscow.
Nahisi ndo dili zilizohai hadi muda huu,,
Ila Lampard kaishapewa paund 150 mil..
So tusubiri tu tuone...
Sent using Jamii Forums mobile app
Rlc ni mzuri sanaHivi wazee LFC hawezi kubadilishwa uchezaji wake akawa STRIKER?, jamaa finisher mzuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rlc ni mzuri sana
Juzi kweny game ya bha kuna chance odoi alipaisha mpka nikasema hapa rlc hakukosi
Sent using Jamii Forums mobile app
Leteni £1B tuwape Auba&LacaTuchukue huyo ATTACKING MIDFIELDER anaweza kuwa msaada. Ila kwa striker tukiwakosa dembele na Werner tutulie kwanza.
Muda mwingine tujitoe ufahamu tutume ofa kumtaka Lewandowski, Auba, mauro icardi, harry kane mbona mnakuwa waoga waoga
Lewandowski mshahara huo hapo £500 kwa wiki atakataa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni aibu unapofungwa unaanza kusingizia refa sijui na uchafu gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia mastiker waliotoka france siku za karibuni Batshuayi, Lacazette, viwango vyao sio vikubwa compaired na wakati wakiwa france, hiyo ligue 1 haina ushindani na mikiki mikiki
Twendeni tukasajili bundasliga angalau kuna changamoto.
Sent using Jamii Forums mobile app