Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Hiyo sentensi ya mwisho unamawnisha nini?Dammit!
[emoji1022]Chelsea's potential Champions League R16 opponents [emoji460]
[emoji632] PSG
[emoji629] Bayern Munich
[emoji634] Juventus
[emoji633] Barcelona
[emoji629] RB Leipzig
Kazi kweli kweki
Unategemea wanacho wafanya nyinyi ndio na sisi itakua ivyo?Hongereni sana kwa ushindi wana Chelsea.
Barcelona wapo mlangoni wanawasubiri....
Inapangwa J3 ijayoNaomba kuuliza Chelsea wenzangu , hivi drow ya 16 bora ya mtoano inapangwa this Friday? Au badobado sana
Hqbari imeisha hapoNaomba kuuliza ivi kwa anayepigwa kwenye mtoano anaenda futuhi au habari yake ndo inaishia hapo
Pamoja na chances walizocreate na 3 shots on target bado Ajax ya jana haikuwa aggressive sio ile tuliocheza nayo ya kutafuta magoli kwa nguvu, sio ile iliyocheza na Valencia kwa mara ya kwanza wakawabugiza 3-0. Hii ya jana ilikosa aggressiveness na pia washambuliaji muhimu kama akina Promes na Neres hawakuwepo ambao ndio walioisumbua sana Defense ya Chelsea na Promes alikuwa mojawapo ya wafungaji tena goli la kasi sanawalicreate chances nyingi sana... ni haikuwa bahati yao tu...
Anaonekana mchovu lakini shughuli yake si mchezo,ukiingia anga zao lazima ufurahianaonekana ndio mchovu hapo...
Hata wewe kuna barca,psg na bayern wote wanatamani wapangiwe Chelsea ambayo ndio inaonekana under wooh wooh wooh kamweneDull jr kazi mnayo kwenye europa wakina inter na ajax wapo na kuna wengine leo watakuwepo
Yaani hiyo arsenal yako anzen safari mapema ya kujiondoa huku europa kwa maana kitakacho watokea ni zaidi ya kifo hamna kingine zaidi
Cha tatuPasalic aifungia Antalanta goli la pili na inaweza kuivusha Atalanta kwenda kwenye GO16
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mmiliki wa team au ni nanSasa nyinyi Majirani munata nani kati ya hawa ↓
PSG
BARCELONA
BAYERN
JUVENTUS
RB LEIPZIG
Najua Dua zenu munamtaka RB Leipzig lakini hamukutani nae kirahisi kwani Perez atafanya figisu wakutane na Real Madrid.
Sasa nyinyi Majirani munata nani kati ya hawa ↓
PSG
BARCELONA
BAYERN
JUVENTUS
RB LEIPZIG
Najua Dua zenu munamtaka RB Leipzig lakini hamukutani nae kirahisi kwani Perez atafanya figisu wakutane na Real Madrid.
Ivi perez pale real Madrid huwaga ni nani?Ndo mmiliki wa team au ni nan
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu mimi chelsea kufikia hatua hiyo ni mafanikio makubwa sana hasa ukiangalia aina ya kikosi tulicho nacho cha vijana ambao wengi ndio mara ya kwanza kushiriki mashindano haya, pia askari hachagui adui kwa kupambana nae, tutapambana dk 180 (home and away) and time will tell, hatutakufa kiboya,Sasa nyinyi Majirani munata nani kati ya hawa ↓
PSG
BARCELONA
BAYERN
JUVENTUS
RB LEIPZIG
Najua Dua zenu munamtaka RB Leipzig lakini hamukutani nae kirahisi kwani Perez atafanya figisu wakutane na Real Madrid.
Real Madrid timu ya wananchi/wanachama. Yeye pale ni Rais wa club. Kila baada ya muda flani wanachama wanapiga kura kumchagua rais wa club.
Wanachama wakisema NO wanamtimua. Wanampima uongozi wake kwa mafanikio aliyoyaleta na atakayoyaleta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo akija yeyote tutapambana nayeHata wewe kuna barca,psg na bayern wote wanatamani wapangiwe Chelsea ambayo ndio inaonekana under wooh wooh wooh kamwene
Sent using Jamii Forums mobile app