Liver inawachezaji walio komaa mno kalib First eleven yake yote wako above 25yrs,so huwezi linganisha na hawa ambao walio wengi ni maingizo mapya kabsa af wako below 22yrsBabies....
Kwahiyo UEFA wanashiriki peke yao?
Liver hachezi uefa?
Ukweli unaumaWee tumeshakuzoea unajibu bila kusoma maandishi ya wenzako na ndio maana unajibu kila mtu ndani ya muda mfupi tena offpoint
Kunautofauti kdg hapo:Chelsea INA maingizo mengi mapya ya wachezaji so kucheze game nying mfululizo nichangamoto pili ndo mili yao ina adaptNi Chelsea pekee ndiye aliyecheza UEFA? Liverpool na Spurs hawakucheza?
Keypoint ni UCHOVU wa uefa ,Wee tumeshakuzoea unajibu bila kusoma maandishi ya wenzako na ndio maana unajibu kila mtu ndani ya muda mfupi tena offpoint
Hakuna mtoto mdogo hapa.....na hatuwezi fanana kifikra,wewe uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana ,Ila we ndugu utakua na matatizo kichwani. Ivi umeona nimelalamika hapo? Kupost hiyo picha ni likua namaanisha walidhamiria kutafuta ushindi walifanya lolote kuhakikisha nyavu zao gaziguswi. Sijapost hiyo picha kwa ubaya kwamba tumronewa.
Punguza mihemko ndugu
Tena hasa ukiwa umefurushwa na timu wanazoziita za midtable alafu nyumbani,Ukweli unauma
Yaah najua ila sherehe twaifanyia nyumbani hatuwezi fanya ugeniniNdugu leo upo ugenini haupo nyumbani. Aseeh
Haya ndio maneno.....Wachezaji walicheza chini ya kiwango. Tulishazoea
Pulisic 8
Kovacic 8
Joginho 8
Tomori 8
Bila shaka mtakuwa mnamsubiri Ollachuga Oc naona mnapiga miyayo...msijali wakuu nimemkuta vichochoro vya ngalenaro anakuja mbiombioView attachment 1277970
Bado mihemuko ipo juu. Punguza ndugu halafu hujishtukii uko peke yako unayelilia hiyo picha. LolHakuna mtoto mdogo hapa.....na hatuwezi fanana kifikra,wewe uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana ,
Sasa hiyo picha ukimwambia mtu aitolee maelezo unafikiri itakuwa na maana hiyo unayosema wewe pekee????
Usijifungie kwenye box la fikra ndugu
Kati ya mtu aliye na miaka 22 na aliye juu ya miaka 25 nani anapaswa kuchoka mapema?Liver inawachezaji walio komaa mno kalib First eleven yake yote wako above 25yrs,so huwezi linganisha na hawa ambao walio wengi ni maingizo mapya kabsa af wako below 22yrs
Kabisa, West ham hawakucheza mpira kiwango kikubwa sana cha kutufunga.Wachezaji walicheza chini ya kiwango. Tulishazoea
Pulisic 8
Kovacic 8
Joginho 8
Tomori 8
Kweli kabisa, kuna mambo sio ya kumuachia Mungu, sijajua ile combination ya Giroud na Pedro nani angefunga mana wote wamechoka, ila kuna kila sababu ya kufanya usajiri kutanua kikosi vinginevyo tutarajie mengine zaidi.Epl ni ligi ngumu sana na kibaya zaidi haitabiriki. Westham timu mbovu sana na kocha wao walianza kumuhesabia mechi.
Kwa vyovyote vile lazima wapambane wapate matokeo. Upande wa Lampard alidharau hii mechi kwa kurefer ubovu wa westham na uchovu wa UEFA. Alitegemea angekula pilau kuku ghafla akaletewa ugali tembele.
Kiufupi GAME PLAN ilifeli. Hili ni somo lingine kwa Lampard never underestimate the depth of water.
Pia game ya jana imetoa picha kwamba usajili ni lazima kuna wachezaji viwango vimeshuka sana. Tunaweza kudhani chelsea tunakikosi kipana la hasha.
Kwa sasa timu ifocus kwenye match za mbele tufufue form yetu ya ushindi mfululizo.
Mkuu hii ni kashfa kabisa😂😂Wacha kulialia wewe,muliweka goli wavuni likakataliwa????
Au nyinyi ndio mlipunguziwa idadi ya magoli maana mngekufa 2 kiduara.....mjue na kushukuru alllllaaaaahhhhh
Kocha mpya tu midomo je wakishinda, afadhali leo waliponea chupuchupuIvi kumbe mnakuwaga na vimidomo namna hii
Ungesoma maandiko yangu usingerudia rudia point za kukaririKeypoint ni UCHOVU wa uefa ,
Je, chelsea peke yake ndio wanacheza Uefa?
Sasa mm na ww nani yupo offpoint!!!?