Utakaa na Mchezaji anayekaa injuries mechi tano anacheza moja kisa ni mchezaji mzuri?ni sawa na Madrid Gareth ni mchezaji mzuri Ila injuries zina ipa team hasara ,anunuliwe savic kuongeza depth ya midfieldersKANTE Auzwe? View attachment 1262760
Hizo injury za kante zimeanza lini? Kwamba tuneshindwa kabisa kumvumilia kante?Utakaa na Mchezaji anayekaa injuries mechi tano anacheza moja kisa ni mchezaji mzuri?ni sawa na Madrid Gareth ni mchezaji mzuri Ila injuries zina ipa team hasara ,anunuliwe savic kuongeza depth ya midfielders
And am sure kama city angetumia hiyo chance akascore basi goal lingekataliwa...
Football sio ujanja ujanja na kutengenezeana mazingira,matukio haya yangekuwa yanatokea kipindi cha nyuma kweli ila kwa sasa mimi nasema kuna WALAKINI,Sasa hapo tunasema makosa yalitokea kwenye build up ya hilo goli.
Silver alinawa lakini Refa hakuona, Liverpool tukaona Faulo lakini haikutolewa. Hapo ikawa ni Advantage kwa Man City, Lakini wakashindwa kuitumia nafasi.
Then kwenye hiyo Move TAA akanawa pia Refa hakuona, Man City wakaomba Faulo lakini hsikutolewa. Hapo ikawa ni Advantage kwa Liverpool na Wakaitumia.
Sasa hapo ilikuwa ni Win Win situation Mkuu but uzembe wa Man City kutokutumia nafasi wanazozipata ndiyo ulioleta Shida.
Nadhani hujanielewa. Sijasema ataflop nilichosema ni ile kawaida yake hasa anapotoka kusign mkataba anaanza kulega lega. Yan hizi juhudi unazoziona sasa yawezekana ni mbinu ili asign mkataba kama miaka ya huko nyuma.Bado willian ni muhimu kwa Chelsea ana offer vitu vingi kwenye uchezaji wake labda chelsea wamuuze Kama watapata replacement yake tofauti na hapo Chelsea itastruggle sana.Pedro ndo mchezaji wa kumuuza pale Chelsea.huwezi ukatabiri eti fulani akiongezewa mkataba ataflop kwani wewe ni mungu.
Ngoja tuone kamari nyingine.Kwa mfumo wa Sarri sio huu wa Lampard. Makocha waliopita walikuwa hawaweki nindhamu kwenye kambi mpaka wachezaji wanalalama ovyo wakati wa Sarri. Kwa Lampard mchezaji akicheza ovyo mchezo mmoja tu, next game hana namba na Willian analijua hilo
Inavyoelekea watampa mkataba wa miaka miwili kwa sababu Willian ndio hitaji lake vinginevyo angeshasaini mkataba wa mwaka mmoja kama bodi inavyotaka. Akiwepo Willian na kumleta Jadon Sacho, kama winga ili wasaidiane na akina Pulisic na Odoi, kule mbele tutakuwa tumekamilika itakuwa bado kwenye LB tu ambapo huyo Ben wa Leicester akija, mwakani tunabeba ndoo.Ngoja tuone kamari nyingine.
Inavyoelekea watampa mkataba wa miaka miwili kwa sababu Willian ndio hitaji lake vinginevyo angeshasaini mkataba wa mwaka mmoja kama bodi inavyotaka. Akiwepo Willian na kumleta Jadon Sacho, kama winga ili wasaidiane na akina Pulisic na Odoi, kule mbele tutakuwa tumekamilika itakuwa bado kwenye LB tu ambapo huyo Ben wa Leicester akija, mwakani tunabeba ndoo.
Willian atapewa huo mkataba kwa sababu ya experience yake ila kiukweli kuna uhitaji mkubwa wa kumleta Sancho kwa ajili ya kuchukua ile nafasi ya Willian.Inavyoelekea watampa mkataba wa miaka miwili kwa sababu Willian ndio hitaji lake vinginevyo angeshasaini mkataba wa mwaka mmoja kama bodi inavyotaka. Akiwepo Willian na kumleta Jadon Sacho, kama winga ili wasaidiane na akina Pulisic na Odoi, kule mbele tutakuwa tumekamilika itakuwa bado kwenye LB tu ambapo huyo Ben wa Leicester akija, mwakani tunabeba ndoo.
Hawa Madrid hata kama ni kujenga timu hii sasa inakua ni tamaa. Wana Vinicius Jr, Rodrigo, Hazard, Vazquez, Bale sasa wanamtaka na Odoi. Hii habari niliiona jana ila nikaamua kuipuuziaReal Madrid add Chelsea star Callum Hudson-Odoi to transfer target list
Timu gani zenye class ya kununua wachezaji kama hao na kama utaweza tutajie vigezo vya kuingia class hizo.Hivi unaijua bei ya Sancho lakini? Kawaulize Manure.
Najua Timu yenu inahela lakini sidhani kama imeshafikia class ya kununua wachezaji wa £130m
Anataka miaka miwili. Mjanja yule keshasoma alama za nyakatiKweli Willan aongozewe mwaka mwaka 1 amematch mfumo wa Lampard.
Nafasi ya Pedor ndio iko waziWillian atapewa huo mkataba kwa sababu ya experience yake ila kiukweli kuna uhitaji mkubwa wa kumleta Sancho kwa ajili ya kuchukua ile nafasi ya Willian.
Maeneo matatu ambayo Chelsea itahitajika kuziba January kama adhabu itapunguzwa
LB: Lampard ameshamchoka Alonso na huenda January akaruhusiwa kuondoka na mbadala wake anahitajika sana na Chelsea wanamlenga Ben Chilwell wa Leicester city
Winger: Pedro mkataba wake unaishia na Willian bado wako kwenye mjadala wa kusaini mkataba mwingine
Atahitajika winger makini wa kusaidiana na Pulisic na Odoi na anayelengwa hapa ni Jadon Sancho
Striker: Olivier Giroud muda wake darajani umefikia mwishoni na Batsuayi bado hajafikia kwenye viwango vya Lampard. Kwa hiyo striker wa kusaidian na Tammy atahitajiwa sana
Unadhani baada ya hiyo miaka miwili kuisha nani atakua successor wa WillianNafasi ya Pedor ndio iko wazi
Bado kuna zaidi ya milion 300 zilizookolewa kwa akina Tammy, Tomori, Mount, Odoi nkWhats 130 kwa Abromovich? Bado Tuna 100 ya hazard, 42 Ake, 8 luiz, 35 cotous, 50 Morata
Huyo anachohitaji ni coaching tu. Kepa ni kipa mzuri sana, Lampard anataka kumleta kocha wake wa makipa kule Derby County, bwana GivenUnasahau eneo muhimu la goalkeeper, sasa hv tatzo kubwa tulionalo kwa chelsea ni goalkeeper
Kepa amekuwa hana msimu mzuri kwa kipindi hki, anahitaji changamoto