njoo kwetu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 801
- 1,802
Essien dah ...ilikuwa ni moto sana hii Chelsea, apo sub utamkuta mtu kama Calou, J Cole, Philipe Luis, Ob Mikel badae kidog akaja David Luiz, Torres, Ramires, ..ilikuwa ni balaa..
Daaah hapa kuna watubwalikuwa wanachezea 7 tunamaliza msimu tunamkandamiza wigan 8Anelka a.k.a Mapungo baadae alikuwa super sub. Kikosi bora kuwahi kutokea Epl
Utakuw uwanja bomba sana ila ndo hvy wanamwekea sana vpngamz mmlk wa timuChelsea new stadium project redevelopment remain unholdView attachment 1237695
Huyo chalii hata oscar hamjuiPhilips luiz...hv kweli umeiona hyo chelsea... au umeanza kushabikia mpira enzi za diego costa
Chelsea ndio team pekee aliyoichezea kwa miaka mingi (4years) zingine sio zaidi ya miaka miwili)Anelka sikumuelewaga alifunga magoli kiutani uitani na kuna wakati aliongozza EPL kiutaniutani kwa kufunga magoli 19, 2008/09 juu ya Ronaldo 18 na Steven Gerrad 16 na kumfanya kuwa mshindi wa Golden Boot EPL wa pili kwa magoli machache baada ya EPL ya 1997/98 na 1998/99 washindi watatu walifungana kwa magoli 18 kila mmoja
Pia ni mchezaji aliyecheza timu lukuki
1996–1997 Paris Saint-Germain
1997–1999 Arsenal
1999–2000 Real Madrid
2000–2002 Paris Saint-Germain
2001–2002 → Liverpool (loan)
2002–2005 Manchester City
2005–2006 Fenerbahçe
2006–2008 Bolton Wanderers
2008–2012 Chelsea
2012–2013 Shanghai Shenhua
2013 → Juventus (loan)
2013–2014 West Bromwich Albion
2014–2015 Mumbai City FC
Wamefungana sasa nafikiri baada ya kura yanguIngia hapo upambane na kiitaliano
Mkuu samahani hivi we ni "ke" au "me" mbona kama unachamba kama dem.Ahahah etty sarah yan umepanik had unakosea kuandk punguza povu ukavae nep.
Ya kwak yamekushnd kazi kufuatlia ya wenzako ndo maan wabongo mnakosa maendeleo coz ya kufuatlia ya wenzen wny maendeleo.
Na hata hvy cwez bshan na mtoto kama ww ambaye bado unavaa pampers na unajkojolea hovy ktandan
Afu we jamaa ni mtoto kweli,maana uandishi wako ni ujinga tupu.Kwani ukiandika "kitu" instead of "k2" kuna shida gani.Umeshashndw ndo unaanz kusem spelling error sema niny wa kanda ya ziwa haujui kutofautisha kat ya l na r kwny kuandk na kuongea hamjui k2 niny back 2 school
Afu we nae kila mchezaji mzuri kwako huwa ni wa chelsea, mahaba yasikuzidi broh! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kna tujamaa Twitter walikua wanajaribu kuwafananisha Terry na VVD. Katikati ya mjadala zikatumwa hizi picha mbili mjadala ukakata hapohapoView attachment 1237589View attachment 1237590
Ukiwa unakikosi kizuri ni raha Sana.Andreas Christensen and N'Golo Kante -OUT
Mateo Kovacic, Emerson Palmieri and Ross Barkley -IN
Antonio Rudiger and Ruben Loftus-Cheek bado wako injury
Watakaocheza probably kwenye 4-2-3-1
Tammy
Odoi Mount Willian
Jourginho Kovacic
Alonso Tomori Zouma Azpilicueta
Kepa
Watakaocheza probably kwenye 4-3-3
Odoi Tammy Willian
Mount Jourginho Barkley
Alonso Tomori Zouma Azpilicueta
Kepa
Jeshi la kazi Hilo.POINT 3 MUHIMU [emoji123]View attachment 1238100
Azam wataonesha mechi ya Chelsea?
Game ya Chelsea inaoneshwa wapi?wataonesha match ya totte
Uyo mlevi achananaye..Wakati Arsenal mtamaliza nafasi ya ngapi
Apo kuna option ya kubadili kwend English kama akitumia Google Chrome ..ata ivyo ni simple tu kupigaIngia hapo upambane na kiitaliano
Phillipe Luis unamfahamu alienda Atlentico. Alitoka Chelsea...sasa unasemaje???Philips luiz...hv kweli umeiona hyo chelsea... au umeanza kushabikia mpira enzi za diego costa