Kuna ukweli gani aliondika hapo?Ukweli mchungu, uongo mtamu, huu ujumbe watau SKIP sana tu!
maajabu unataja wachezaji ambao hata kuitwa team ya taifa Ndoto, Tomori kaitwa national team kwa mechi nne tu huyo holding yupo yupo tu ni wa nchi ipi Kwanini asiitwe? , kepa anadaka Spain ulishasikia Leno akidaka German, azpiculeta anacheza Spain huyo Hector ni wa nchi gani? ,Barkley na ujinga wake anatamba England ya SouthgateChelsea kwa makelele bhanaView attachment 1223321
Wewe mpira hujui kitu kabisa, nisamehe mkuu kwa kusema hadharani.maajabu unataja wachezaji ambao hata kuitwa team ya taifa Ndoto, Tomori kaitwa national team kwa mechi nne tu huyo holding yupo yupo tu ni wa nchi ipi Kwanini asiitwe? , kepa anadaka Spain ulishasikia Leno akidaka German, azpiculeta anacheza Spain huyo Hector ni wa nchi gani? ,Barkley na ujinga wake anatamba England ya Southgate
huyo ceballos umemuona akitamba Spain? Vipi William? Lazima umkute Brazil, sijamtaja Emerson, Jorgihno, Kante, Rudiga ,Giroud first eleven mataifa yao, Kuna wachezaji na vichezaji,usifananishe wachezaji wa Chelsea na vichezaji vya Arsenal,
babu nimeamini kweli jamaa inatakiwa awe anafatilia soka na sio kujifungia ndani na chelsea yake,mwisho anakuja kupata aibu humu....eti Ceballos haitwi aiseeeehKuna ukweli gani aliondika hapo?
Mtu asiyejua ceballos anacheza spain ni wakubishana nae?
Mtu asiyejua ROB na HECTOR wamekaa injury mwaka mzima bado anataka waitwe National team, anajua mpira kweli huyo?
Giroud ni mchezaji wa kumsifia mbele ya straika za Arsenal eti kisa anaitwa National team, hata kwa Martinelli hafiki.
Amemuongelea Willian, Ni nani asiyejua Copa America aliitwa baada ya injury ya Neymar??
katika watu ambao munaongoza kuongea pumba ni nyinyi hapa na mara nyingi tunawajibu kama munavyopenda ili siku ziende ....maana tukiwakaushia mutaona ni dharau hivi mtu timamu kabisa unafananisha Tomori na Holding.......Azpi huyu wa sasa na Hector....Emerson na KT???????Huu ni uwendawazimu aiseeeeehhhhKajibu pumba mkuu. Achana naye huyo
Pepe ni bonge la mchezaji ila kucheza arsenal ni kama kupoteza muda tu ..hakuna kitu atavuna apo, angalau Auba anapata pata ata golden boot ..sasa uyo Pepe atajuta kuenda kweny hii genge ya wala ugoro..arsenal ni kikundi cha akina mama waliokosa kazi ..na kazi yao kubwa ni kukodishwa ili walie kwenye misiba ..ndio maan mnalia lia Kila Siku..kwanza ile pesa ya Pepe mumemaliza kulipa[emoji23][emoji23][emoji23]na ndio maana wewe unamsifia leo hii kwakuwa yupo hapa Chelsea,maana hata Luiz pia ulikuwa mnamsifia ila alivyokuja Arsenal amekuwa sio mchezaji tena hahahahahh,huyu PEPE mnaomponda leo angekuwa amesinya hapo kwenu leo hii mngekuwa mnacreate hoja kibao za kumdefend
[emoji725]View attachment 1223646
Cante yule ciyo muongeaji ..hana sifa za uongozi aise ...yeye kazi tu...I'd prefer it to be Kante though.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atamuachia MunguBaadhi ya vigezo vinavyotumika kumchagua Team Captain
1. Mentally Strong
2. Excellent Communicator
3. Emotionaly Disciplined
4. Know the Players
5. Self Confident
6. Influence.
Kwa Ngolo Kante sio mzuri kwenye kuongea, full aibu. Mchezaji mwenzake anaweza kuchezewa Rafu mbaya badala ya kukemea na kuhitaji refa afanye maamuzi ngolo hataweza aisee atamuachia Mungu
maajabu unataja wachezaji ambao hata kuitwa team ya taifa Ndoto, Tomori kaitwa national team kwa mechi nne tu huyo holding yupo yupo tu ni wa nchi ipi Kwanini asiitwe? , kepa anadaka Spain ulishasikia Leno akidaka German, azpiculeta anacheza Spain huyo Hector ni wa nchi gani? ,Barkley na ujinga wake anatamba England ya SouthgateChelsea kwa makelele bhanaView attachment 1223321
Luiz aliflop tangu akiwa Chelsea na tulishaanza kumkosoa hata kabla hajahama, pekua threads za nyuma na uache kutapatapa ovyo. Mimi nilikuwa mashabiki mkubwa wa Luiz lakini nilianza kumkosoa Tangu enzi za Conte hadi majuzi alipozidisha kuruhusu mabao kwenye preseason.na ndio maana wewe unamsifia leo hii kwakuwa yupo hapa Chelsea,maana hata Luiz pia ulikuwa mnamsifia ila alivyokuja Arsenal amekuwa sio mchezaji tena hahahahahh,huyu PEPE mnaomponda leo angekuwa amesinya hapo kwenu leo hii mngekuwa mnacreate hoja kibao za kumdefend
Kwanini usiseme kuwa wana defence mbovu kuliko Chelsea????Huko mwanzoni kabisa nilisema Norwich ni moja ya timu weak EPL King Ngwaba akanibishia. Baada ya kuwafunga Man City Norwich ni dozi tu anapokea Nyumbani na ugenini. Wana defense mbovu hata kupata Arsenal
Aiseeehhh kweli nimeamini kuhusu zile tetesi zinazowahusu mashabiki wa kitimu hiki.....maana niliona kama uonevuPepe ni bonge la mchezaji ila kucheza arsenal ni kama kupoteza muda tu ..hakuna kitu atavuna apo, angalau Auba anapata pata ata golden boot ..sasa uyo Pepe atajuta kuenda kweny hii genge ya wala ugoro..arsenal ni kikundi cha akina mama waliokosa kazi ..na kazi yao kubwa ni kukodishwa ili walie kwenye misiba ..ndio maan mnalia lia Kila Siku..kwanza ile pesa ya Pepe mumemaliza kulipa[emoji23][emoji23][emoji23]
maajabu unataja wachezaji ambao hata kuitwa team ya taifa Ndoto, Tomori kaitwa national team kwa mechi nne tu huyo holding yupo yupo tu ni wa nchi ipi Kwanini asiitwe? , kepa anadaka Spain ulishasikia Leno akidaka German, azpiculeta anacheza Spain huyo Hector ni wa nchi gani? ,Barkley na ujinga wake anatamba England ya SouthgateChelsea kwa makelele bhanaView attachment 1223321
Tafadhali usiache kutupa hizi updates mpaka mwisho wa msimu maana itatufaa sanamaajabu unataja wachezaji ambao hata kuitwa team ya taifa Ndoto, Tomori kaitwa national team kwa mechi nne tu huyo holding yupo yupo tu ni wa nchi ipi Kwanini asiitwe? , kepa anadaka Spain ulishasikia Leno akidaka German, azpiculeta anacheza Spain huyo Hector ni wa nchi gani? ,Barkley na ujinga wake anatamba England ya Southgate
huyo ceballos umemuona akitamba Spain? Vipi William? Lazima umkute Brazil, sijamtaja Emerson, Jorgihno, Kante, Rudiga ,Giroud first eleven mataifa yao, Kuna wachezaji na vichezaji,usifananishe wachezaji wa Chelsea na vichezaji vya Arsenal,-------------------Mimi ukiniletea ujanjaujanja nakuletea takwimu alafu hapo sema wewe yupi kipa na yupi pazia.....View attachment 1224609View attachment 1224610View attachment 1224611
Ujuba unakusumbua Willian kacheza World Cup ,sio copa amerca tu, hiyo inatosha kukuonyesha ni mwamba kuliko wachezaji wako wote hapo ,ruka ruka tu tutaenda SawaKuna ukweli gani aliondika hapo?
Mtu asiyejua ceballos anacheza spain ni wakubishana nae?
Mtu asiyejua ROB na HECTOR wamekaa injury mwaka mzima bado anataka waitwe National team, anajua mpira kweli huyo?
Giroud ni mchezaji wa kumsifia mbele ya straika za Arsenal eti kisa anaitwa National team, hata kwa Martinelli hafiki.
Amemuongelea Willian, Ni nani asiyejua Copa America aliitwa baada ya injury ya Neymar??
Huyu akae tu tuendelee kuwa na mafather wachache wenye experienceWillian has told pals he is not interested in joining Juve as he disliked Sarri’s style of football while he was at Stamford Bridge.
Tafadhali usiache kutupa hizi updates mpaka mwisho wa msimu maana itatufaa sana