Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea karibu timu A yote kasoro GK wako injury, kweli tutapona msimu huu?
 
kituko ni nini?

kituko ni kumcheka mbabe wa London kudroo alafu wewe unakuja kutobolewa tundu na valencia.

vituko havitoisha duniani
 
Barkley garsa kwetu ila akija Arsenal hakuna wa kumuweka bench hapo. take my words
hahahhhahha usinichekeshe mkuu, pale Emirates atacheza namba ya nani huyu galasa wenu?
 
tukizungumza kuhusu UEFA hakuna kitu unajua wewe na ka arsenal seriousless kaeni pembeni mambo ya wakubwa haya
huyo valencia ambaye wewe kakufanya vibaya hapo kwako mimi nilipiga in and out.....kubali kuwa wewe ni underCAT
 
kituko ni nini?

kituko ni kumcheka mbabe wa London kudroo alafu wewe unakuja kutobolewa tundu na valencia.

vituko havitoisha duniani
Haya ndio maajabu tunaongelea mashindano mazito kabisa ulaya unaleta vituko tafuta pa kushika huku sio saizi yenu huku ni mabingwa wa ulaya, ukiwa arsenal mitazamo, maisha, akili inakuwa useless
 
huyo valencia ambaye wewe kakufanya vibaya hapo kwako mimi nilipiga in and out.....kubali kuwa wewe ni underCAT
Ulimpiga mashindano gani ?unafunga team unajisifu halafu unaishia kufungwa final chuma 4, kuwa serious, Valencia katufunga sisi tulikukanda 4, tumia akili vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…