Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,056
- 27,460
Mbona husemi na Chelsea ndani ya miaka kumi kavuna Micky Mouse ngapi? Halafu unasema ushabikiAcha ushabiki maandazi,
Arsenal miaka 10 ana mickey maose 6 ,
Chelsea msimu ujao atakuwa mwenyeji wa championship
Endelea kubishana Na UEFA ,
Mpira unachezwa uwanjani mdogo wangu kila siku nakwambia lakini hunisikiiSISI KAMA WACHAMBUZI TUNAONA WEEKEND HII CHELSEA AKILAMBISHWA MCHANGA
[emoji169] Norwich 2-6 Man City [emoji838]
[emoji837] Man Utd 1-1 Leicester [emoji1663]
[emoji191] Wolves 2-1 Chelsea [emoji841]
Charlie Nicholas has penned his full Premier League predictions for the weekend [emoji116]View attachment 1205531
Achana na huyo Charlie Nicholas shabiki wa Arsenal akili yake kama ya AroonMpira unachezwa uwanjani mdogo wangu kila siku nakwambia lakini hunisikii
| Achievement | Points |
|---|---|
| First qualifying round elimination | 0.5 |
| Second qualifying round elimination | 1 |
| Group stage participation | 4 |
| Win (group stage or later) | 2 |
| Draw (group stage or later) | 1 |
| Last-16 participation | 5 |
| Quarter-final participation | 1 |
| Semi-final participation | 1 |
| Final participation | 1 |
| Achievement | Points |
|---|---|
| First qualifying round elimination | 0.25 |
| Second qualifying round elimination | 0.5 |
| Third qualifying round elimination | 1 |
| Play-off elimination | 1.5 |
| Group-stage participation minimum* | 2 |
| Win (group stage or later) | 2 |
| Draw (group stage or later) | 1 |
| Quarter-final participation | 1 |
| Semi-final participation | 1 |
| Final participation | 1 |
Chelsea duo Callum Hudson-Odoi and Reece James are set to step up their returns from injury on Friday in the club's Under-23s match against Brighton.
Ndugu Ngwaba, domestic cups hazichangii loloteYani nyinyi kwa kujiokotea vijipost vya chochoroni mukavifanya ndiyo reference zenu hamuwezekani!!!!
Halafu tukiwachallenge baazi ya washabiki wenzake wanaanza kutuattack kwa kituita "HATUNA AKILI" "MAZUMBUKUKU" "HATUJIELEWI" "HATUJUI KITU" "HATUNA LOLOTE" !!
Hivi hata hutilii wasiwasi hutilii doubt hiyo screen shot kumueka Barcelona kwenye kundi la G.O.A.T ?
Hapo G.O.A.T ni Real Madrid tu pekeyake.
Huyo Barcelona ni wakawaida sana! Ni sahihi kuwa anaingia kwenye kundi la GIANTS.
Nenda kwenye Link ya UEFA utaona Ranking zao mpya walizotoa zipo hivi ↓↓
1/ Real Madrid
2/ Atletico Madrid
3/ Barcelona
4/ Bayern Munich
5/ Juventus
6/ Man City
7/ PSG
8/ Liverpool
9/ Arsenal
10/ Man United
Nilitaka kujiuliza kwanini kuna timu zipo mbele ya Liverpool hapo? Lakini nikahisi pengine ni kwasababu ya kubeba Domestic cups za Ligi zao mfululizo.
Lakini still najiuliza Kwanini Real na Atletico wapo hapo juu kwa hii current Ranking!!!!!!
Hii ina
Lampard> Liverpool in terms of trophies
Aje huko kufanya nini na wakati hana uhakika na makombe pia anaweza poteza kipaji na muda wake. Atleast ungesema Man City au Madrid hapo sawa.Huyu Odoi Msimu huu kama hajapata dakika za kutosha basi atatimkia Liverpool
Aje huko kufanya nini na wakati hana uhakika na makombe pia anaweza poteza kipaji na muda wake. Atleast ungesema Man City au Madrid hapo sawa.
Huyu dogo ana miaka 18 unataka aubiri miaka 15 mpaka 30 tena aje abebe kombe lingine? Yaan abebe akiwa na miaka 30+ na wakati msimu huu anaenda kunyanyua kombe lingine huku wewe hata mickey mouse cup utaendelea kuitolea machoAkija Liverpool anauhakika wa kubeba CL kuliko kubaki Chelsea akawa na uhakika wa kubeba Mickey Mouse Cups
Kesho atapata dk 20, muache kumuwaza mapema.Huyu Odoi Msimu huu kama hajapata dakika za kutosha basi atatimkia Liverpool
Christensen, Kante na Willian hawawezi kuanza kesho nafikiri. Kovacic, Perisic, na Zouma wataanza instead.Predicted starting XI against Wolves Tomorrow
- Kepa
- Alonso
- Christiansen
- Rudiger
- Azpilicueta
- Barkley
- Jorginho
- Kante
- Mount
- Tammy
- Willian
Lampard kacomfirm Kante hawezi kuanza,Rudiger atakuepo kesho.Christensen, Kante na Willian hawawezi kuanza kesho nafikiri. Kovacic, Perisic, na Zouma wataanza instead.
Huyu dogo ana miaka 18 unataka aubiri miaka 15 mpaka 30 tena aje abebe kombe lingine? Yaan abebe akiwa na miaka 30+ na wakati msimu huu anaenda kunyanyua kombe lingine huku wewe hata mickey mouse cup utaendelea kuitolea macho