Cleansheet haziamui ubora wa goli kipa

Goalkeeper pekee mwenye ballon D'or Levy Yashin aliwahi kusema mwaka 1966;

"a good enough goalkeeper is measured through his task which is only goalkeeping. "

FIFA hawajaangalia kigezo cha clean sheets as a priority bali wameangalia total saves pamoja na save percentage (%) kwa ujumla ambazo ndio moja ya task kubwa kwenye goalkeeping.
-
Wengi wa mashabiki wa Chelsea wanaamini kwamba Jan oblak, na De gea kuwekwa bora au juu ya kepa wamependelewa kwa kuwa hawakushinda kombe lolote last season tofauti na kepa kitu ambacho si kigezo cha FIFA kilichotumika kuwapata.
.
kama mnayo kumbukumbu nilishawahi kusema kepa sio golikipa bali tumeuziwa muanzisha mashambulizi..
.
 
Casper schmeichel(Leicester), Vicente Guaita(Crystal palace) na Jordan Pickford(Everton) kwa pamoja wameruhusu magoli 6 tu! ndani ya mechi 3.. jumla ya thamani yao ni €49 millions.
-
Kepa ameruhusu magoli 9 ndani ya mechi 4 na ikumbukwe tuliuziwa kwa thamani ya €80 millions.

HII NI HABARI NJEMA KWA WANAOBETI , WANA UHAKIKA KILA MECHI LAZIMA KEPA ATARUHUSU GOLI 1.5(2) +

Kweli Wajinga ndio tuliwao
 
"The most expensive goalkeeper that Real Madrid can't buy, Arsenal don't see him, Liverpool don't even know if he exist and that's who chelsea go and robbed much more money on"

Sio maneno yangu ni maneno ya Rene Higuita golikipa pekee wa Colombia aliefanya ile best Scorpion kick save..
-
Kwa haraka haraka tu kepa ameruhusu magoli 95% ya zile air balls(mipira ya juu) zaidi hata ya degea tunaemuita m'bovu msimu uliopita..View attachment 1203402
 
Leo cleansheet ndo unaziona si muhimu? Umeshikwa pabaya, ndo ujue hasara ya kununua magolikipa wa mafungu
Goalkeeper pekee mwenye ballon D'or Levy Yashin aliwahi kusema mwaka 1966;

"a good enough goalkeeper is measured through his task which is only goalkeeping. "

FIFA hawajaangalia kigezo cha clean sheets as a priority bali wameangalia total saves pamoja na save percentage (%) kwa ujumla ambazo ndio moja ya task kubwa kwenye goalkeeping.

HIVI MARA YA MWISHO KEPA KUPATA CLEANSHEET ILIKUWA LINI?
 
Wewe jamaa kichwa ngumu kama serikali yako. Kama ni saves njoo na takwimu za hizo save per game za magolikipa wa EPL nfio utaeleweka. Sasa unapinga maneno matupu tukueleweje?
 
Acha ushamba wewe. Hiki kitu hata Manara anaweza kukifanya na nimekwambia toka mwanzo shirikisha bongo yako kwanza acha kuhusisha makalio kwenye ufikiri wako. Kuna watu wazima humu siyo utoto kama wa Arsenal humu. Hakuna Willock humu
 
Wewe jamaa kichwa ngumu kama serikali yako. Kama ni saves njoo na takwimu za hizo save per game za magolikipa wa EPL nfio utaeleweka. Sasa unapinga maneno matupu tukueleweje?
Kepa Arrizabalaga has the worst save percentage in the Premier League this season (44%), he is the only GK to have saved less than 50% of the shots he’s faced.

Chelsea could really use him kicking on after a strong international break.
 
Soma nilichoandika na ulicholeta hapa.

Nipe sababu tano kwa nini usipuuzwe.
 
Tunapowashinda ni hapa hawawezi kujibu facts utawakuta wanajibizana wenyewe. Nilichogundua hawa ni wajinga wanaelewa vizuri ila wanajitoa ufahamu kuanza kuleta mabishano ya kipuuzi puuzi.

Mkuu ninachoona kwa sasa ili na sisi tusipoteze nguvu zetu ni kuwapuuzia tu. They say no facts no right to speak, hawajawahi kuja na point kwa nini kuendelea kuwajibu? Mpuuzi na apuuzwe.
 
Nilichogundua ni kwamba timu yenye defense mbovu ndio kipa wake ana saves nyingi na kwa hiyo no. of saves is not a standalone factor kwa golikipa mzuri
Kwa hiyo ni sawa na kusema hii ni Ranking ya Defense Mbovu, Arsenal ikiwa ya 6 kwenye EPL kwa ubovu wa Defense

Goalkeeping Ranking based on no. of Saves for 2018/19 Season

Source: https://www.premierleague.com/stats/top/players/saves

Ni swala la muda tu ,Neur atamuachia milingot mitatu,

Kwan hujui Germany ndio kisiwa cha kuzalisha best Gk in ze world?
acha upuuzi ww je Marc-André ter Stegen atakuwa wapi Hadi huyo galasa wenu apewe nafasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…